Thanks GOD, it is the Lady

sweetlady sabuni zipo za kutosha, ila kuna mmoja inaitwa rexona Arushaone amenitonya kuwa badala ya kuitumia kuniogesha, we unaweza kuitumia kumfanyia mzee mzima masaji. So nimei ommit kwenye hesabu.
We agiza vyote ambavyo unadhani vitafanya zoezi zima la kukuogesha likuache mwenye furaha teh teh! Mie najitolea na mafuta ya masaji pia!
 
Last edited by a moderator:
Mungi, Bishanga nimempakata kama kifaranga chini ya mbawa ya mamaye vitega uchumi vyake vyote namiliki hana ya kuonga ndo maana analalamika women
 

Similar Discussions

9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom