kilaza mwenzie
Na bado vyuo vitazidi kuongezeka tu.Roho zinawauma mlitaka muonekane lulu nchi hii wakati wengine mlifika hapo ud kwa kukariri tu.
Upuuizi wa vyuo vichache vya umma uko bongo tu.Tungekuwa makini leo hii vyuo vikongwe kama ud vingekuwa vingi tu ila ni hao viliaza waliosoma ud ndio walishindwa kuwa na sera nzuri ya elimu ya juu.
Miaka ya nyuma eti mtu akipata division 2 basi hawezi soma degree ya sheria.Sasa unafikiri hiyo ni sifa kama sio kudumuza elimu ya juu.Mtihani wa mara moja sio kipimo na ndio maana vyuoni utaratibu ni tofauti.
Hizo zilikuwa zama za giza kwa elimu ya juu na ndio maana mpaka leo nchii graduates ni wachache.
hahahahahha kijana nna dv1 kali tu!!! sa sielew unaongelea nini hapa!!!lazma ulipata 2 kilaza ww
i gat u hilo nalo neno!!!!!!ur righthaya ni matusi kwa vyuo vingine vinavyochukua wasio na div. 1. Acha ukiritimba na superiority complex.