TCU yaidhalilisha UDSM...

mkuu umenitisha bali nimepiga 1 safi na wamenipa iyo kitu mh! Inabidi nianze kukamuwa muda huu
Duh kweli wewe bado Form Six. Unakamuwa nini sasa wakati unaweza kukuta course iliyofundishwa mwaka jana First year imehamishiwa 3rd Year au Mwalimu wake ameenda sabbatical Leave? Chuo unasoma kwa semester ukimaliza tupa kule Mdogo wangu
 
Mkuu Vuta Nkuvute,TCU hawajamdhalilisha yeyote nenda kaulize huko shuleni A level,F 5 unasoma Old syllabus then F6 new syllabus then akafanye mtihani halafu unategemea nini TCU hawana tatizo na nawapongeza sana kwa kufanya vyuo vyote kuwa sawa

Tutaonana UDSL Mkuu.
 
acha upumbavu,,,,UDSM huchukua div 1 za artistists tu MASOMO YA KIDEMU....sie tulosoma SCIENCE wanatuchukua hadi ukitoa div 1 au 2...vinginevyo nenda SAUT...huna lolote...UMEFULIA
 
pumbavu pumbavu alieandika habari hii, mimi niko hapa udsm mwaka wa nne, na sikubaliani hata kidogo na huyo alieandika upuuzi hapo juu. chuo ni chuo, tunayosoma udsm na sua, na sauti na st.joseph, na udom , mazumbe ni hayo hayo. wakufunzi ni hao hao. niwaambie jambo moja ukishaanza kubagua wenzio, basi ubaguzi utakuja mpaka ndani kwenu. udsm hapa ndani ya chuo kuna ubaguzi ulikithiri, prof anajiona prof, docka hivo ivo, tutor ivovo. na si wanafunzi muda mwingi tunawakosoa walimu hapa kwamba hawajui kufundisha, hawajui vitu, wao ni theory tu.
Kwa mjadala wa kuTOKUchukua division 2, kwa kozi ya kijinga na ngwini kama sheria, sio sahihi , kama Coeti maenginia wanachukua mpaka div 3, kwa masoma ya hesabu ngumungumu, ndo ije sheria , sijui ,act, tax law, businesi law. ni vitu hata aliepata div o anaweza mudu. UBAGUZI MI SIPENDI, KILA SIKU NAWAAMBIA WANA UDSM WASIJIONE WAO NDO BORA MAANA HAMNA LOLOTE. ANGALIA RATE YA EMPLOYMENT IFM ,NA SAUTI ZIKO JUU. SHENZI KABISA WE MBWA UNAEFUNDISHWA NA KABUDI, MAJAMBA, KIFIMBO,SHAO,DR TULIA, .HAPA UDSM HAO WATU WASHERIA WANAJIDAI SANA, WANARINGA, WANAJIONA NI WA KIPEKEE. KWA HIYO MSIMSHANGAE HUYO NI TABIA ZAO HAO NA WALIMU WAO. WAJINGA TU NYIE SHERIA.
KWANZA NIWAPE SIRI HAPA UDSM HAO SHERIA WANAJENGO MOJA, MADARASA WANATUMIA YA WATU, HAWANA HATA COLLAGE, KAZI KUIBIA MADARASA YA SKUL NYINGINE, SHERIA HAMNA MAKAZI HAPA UDS ZAIDI YA HICHO KIGOROFA CHA OFISI SHENZI WE. NIMEKUJA UDSM KABLA YAKO MBWA WE
 
udsm bado ni mama wa elimu si tu Tanzania bali kwa ukanda wote wa Africa mashariki na Kati! Kama hukuwahi au hujapata kusoma pale pole, kiukweli udsm hakuna mfano
 
Yawezekana weng hawakuomb sheria coz haina mkopo nd ushndan ukawa mdogo mpaka weny div 2 wamepata pipo are after mkopo dis w2 na 1 zao wamekimbilia eductn ili 2 apate mkop dts th prbm
 
pumbavu pumbavu alieandika habari hii, mimi niko hapa udsm mwaka wa nne, na sikubaliani hata kidogo na huyo alieandika upuuzi hapo juu. chuo ni chuo, tunayosoma udsm na sua, na sauti na st.joseph, na udom , mazumbe ni hayo hayo. wakufunzi ni hao hao. niwaambie jambo moja ukishaanza kubagua wenzio, basi ubaguzi utakuja mpaka ndani kwenu. udsm hapa ndani ya chuo kuna ubaguzi ulikithiri, prof anajiona prof, docka hivo ivo, tutor ivovo. na si wanafunzi muda mwingi tunawakosoa walimu hapa kwamba hawajui kufundisha, hawajui vitu, wao ni theory tu.
Kwa mjadala wa kuTOKUchukua division 2, kwa kozi ya kijinga na ngwini kama sheria, sio sahihi , kama Coeti maenginia wanachukua mpaka div 3, kwa masoma ya hesabu ngumungumu, ndo ije sheria , sijui ,act, tax law, businesi law. ni vitu hata aliepata div o anaweza mudu. UBAGUZI MI SIPENDI, KILA SIKU NAWAAMBIA WANA UDSM WASIJIONE WAO NDO BORA MAANA HAMNA LOLOTE. ANGALIA RATE YA EMPLOYMENT IFM ,NA SAUTI ZIKO JUU. SHENZI KABISA WE MBWA UNAEFUNDISHWA NA KABUDI, MAJAMBA, KIFIMBO,SHAO,DR TULIA, .HAPA UDSM HAO WATU WASHERIA WANAJIDAI SANA, WANARINGA, WANAJIONA NI WA KIPEKEE. KWA HIYO MSIMSHANGAE HUYO NI TABIA ZAO HAO NA WALIMU WAO. WAJINGA TU NYIE SHERIA.
KWANZA NIWAPE SIRI HAPA UDSM HAO SHERIA WANAJENGO MOJA, MADARASA WANATUMIA YA WATU, HAWANA HATA COLLAGE, KAZI KUIBIA MADARASA YA SKUL NYINGINE, SHERIA HAMNA MAKAZI HAPA UDS ZAIDI YA HICHO KIGOROFA CHA OFISI SHENZI WE. NIMEKUJA UDSM KABLA YAKO MBWA WE

dah kaka ahsant maana nimechaguliwa sua bt nina mdogo wangu kachaguliwa ud bsi tabu 2pu ananiita sua na sio jina langu nw
 
Huo ni uongo hakuna mtu wa two aliyechaguliwa mwenye two. Mimi nipo hapa. Acha kuleta story za kwenye korido hapa.
 
Duh kweli wewe bado Form Six. Unakamuwa nini sasa wakati unaweza kukuta course iliyofundishwa mwaka jana First year imehamishiwa 3rd Year au Mwalimu wake ameenda sabbatical Leave? Chuo unasoma kwa semester ukimaliza tupa kule Mdogo wangu

mkuu Futa kuuli yako unaniita Form six umenitusi kiasi hicho
 
udsm bado ni mama wa elimu si tu Tanzania bali kwa ukanda wote wa Africa mashariki na Kati! Kama hukuwahi au hujapata kusoma pale pole, kiukweli udsm hakuna mfano

Product za ud sio ndio zimefanya nchii hii kuwa nyuma kwa kila kitu kuanzia elimu,uchumi,siasa utamaduni,michezo na maeneo mengine mengi tu.Product za ud hasa hao wanasheria sii ndio wanaliingiza taifa katika mikataba mibovu,hao product wa ud sio ndio wameshindwa hata kuboresha elimu.Yaani wana elimu ya makaratasi tu lakini ubora wa elimu yao katika maendeleo ya taifa hili ni ya kusikitisha.

Bora sasa vyuo vimeoongezeka na ile tabia yao ya kula hela za application sh 30000 kwa kila mwanafunzi sasa zimefika mwisho.Utaratibu wa kulipia application kwa vyuo vyote kupitia TCU bila shaka umewaweka pabaya na umesaidia kupunguza gharama kwa wanafunzi hasa kutoka familia maskini.

Miaka 50 ya uhuru product za ud zimeshindwa kuongeza vyuo vya umma na kubaki na vyuo vya kuhesabu.Tunashukuru mashirika ya kidini,taasisi na watu binafsi kuongeza vyuo vikuu.

Product za ud si ndio vinara wa ufisadi na sio ndio maana taifa letu liko nyuma kwa kila kitu.Poduct za ud si ndio zimeshindwa kutumia maliasili za taifa kugharamia elimu ya juu na badala yake wanafunzi kunyanyasika na mikopo ya bodi wakati wao walisoma bure.
 
Wanafunzi wa UDSM kwa kujiona mpaka wanabore wakati wengi wao hawana kaz na sisi vyuo vingine tunakubalika katika soko la ajira!
 
Whether una div one au four maisha ya chuo hayanaga connection na izo div after all usikute mtu siku ya mtiani aliugua.
Personally huwa siamini kwamba mtihani ndo kipimo cha akili ya mtu you need to combine other factors
Na mara nyingi hao wenye two vyuoni huwaburuza hao wenye one.
 
udsm bado ni mama wa elimu si tu Tanzania bali kwa ukanda wote wa Africa mashariki na Kati! Kama hukuwahi au hujapata kusoma pale pole, kiukweli udsm hakuna mfano

Product za ud sio ndio zimefanya nchii hii kuwa nyuma kwa kila kitu kuanzia elimu,uchumi,siasa utamaduni,michezo na maeneo mengine mengi tu.Product za ud hasa hao wanasheria sii ndio wanaliingiza taifa katika mikataba mibovu,hao product wa ud sio ndio wameshindwa hata kuboresha elimu.Yaani wana elimu ya makaratasi tu lakini mchango wa ubora wa elimu yao katika maendeleo ya taifa hili ni ya kusikitisha.

Bora sasa vyuo vimeoongezeka na ile tabia yao ya kula hela za application sh 30,000 kwa kila mwanafunzi sasa zimefika mwisho.Utaratibu wa kulipia application kwa vyuo vyote kupitia TCU bila shaka umewaweka pabaya na umesaidia kupunguza gharama kwa wanafunzi hasa kutoka familia maskini.

Miaka 50 ya uhuru product za ud zimeshindwa kuongeza vyuo vya umma na kubaki na vyuo vya kuhesabu.Tunashukuru mashirika ya kidini,taasisi na watu binafsi kuongeza vyuo vikuu.

Product za ud si ndio vinara wa ufisadi na sio ndio maana taifa letu liko nyuma kwa kila kitu.Poduct za ud si ndio zimeshindwa kutumia maliasili za taifa kugharamia elimu ya juu na badala yake wanafunzi kunyanyasika na mikopo ya bodi wakati wao walisoma bure.

Hata mfumo wa vyama vingi ulipoanza watanzania wengi hawakuwa na iamani navyo kakini jiulize leo hali ikoje.Hali kadhalika kwa upande wa vyuo vikuu hali ni hiyo hiyo mtu anazaliwa mpaka anakua anasikia udsm kwahiyo si ajabu wabongo kuona vyuo vikuu vinavyoanza havifai.Ndio watanzania tulivyolelewa na product za ud kwa miaka 50 ya uhuru.Kwa maneno mengine sio kosa letu.
 
Jiulize hawa wanasheria boma wanaosaini mikataba mibovu inayoangamiza taifa walisoma chuo gani.

Hata hao wanafunzi wa kata unaodharau shule zao utakutana nao hapo ud na ukika vibaya wanakukimbiza tu.

Mkuu acha dharau.Kama unaona ud iko juu waliosoma Havard,cambrige na kwingineko watasemaji?

UDSM haina hati miliki ya maisha bora baada ya kumaliza masomo.

Muombe mungu tu akusaidie usome vizuri na umalize na ufanikiwe baada ya hapo.

Mkuu natumia simu,pokea "like" yangu hapo!
 
pumbavu pumbavu alieandika habari hii, mimi niko hapa udsm mwaka wa nne, na sikubaliani hata kidogo na huyo alieandika upuuzi hapo juu. chuo ni chuo, tunayosoma udsm na sua, na sauti na st.joseph, na udom , mazumbe ni hayo hayo. wakufunzi ni hao hao. niwaambie jambo moja ukishaanza kubagua wenzio, basi ubaguzi utakuja mpaka ndani kwenu. udsm hapa ndani ya chuo kuna ubaguzi ulikithiri, prof anajiona prof
Sina tabia ya kucomment sana hasa hili jukwaa lakini imenibidi.. kwanza nawasiwasi ata kama unapajua udsm, chuo chetu hakina makapi kama wewe wa kutoa lugha ya namna hiyo kwenye mitandao kama hii.. ata hiyo coet imekushinda kuandika, mwaka wa nne kwa corse yoyote udsm lazima atakua anajielewa na sio kama wdwe. na mwisho kabisa acha udsm hiitwe udsm, uwezi kuilinganisha na vyuo vingine vya siku hizi kama kiu, saut, teku, jordan kama upo uko usijipe kabisa moyo
 
Hamna lolote roho zinawauma mlitaka graduates nchii hii muwe wachache ili muendeleze majivuno yenu.Hata vyama vya upinzani vilivyoanza hapa bongo wengi walividharau kwasababu walikariri ccm kama nyinyi mlivyokariri ud ila niambie leo ni wangapi wanaipenda baada ya upinzani kuwafumbua macho.

Hili ni swala muda tu na huenda mlitaka muwe wachache kwenye soko la ajira.

Ukiritimba wa ud unaelekea ukingoni miaka si mingi.
 
mkuu Futa kuuli yako unaniita Form six umenitusi kiasi hicho
Futa wewe kwanza kauli ya kuanza kukamuwa. Zaidi ya hayo wewe Nitachelewa sana kufuta kauli hii au vipi Mkuu!!! Naomba uchukue ushauri niliokupa kwamba usijisumbue kukamua chochote kabla ya kwenda Chuo
 
Back
Top Bottom