TCU & HESLB na "Amount of Loan" mbona siwaelewi?

Nakumbuka 2loingia chuo 2009,kuna wa2 walipewa mkopo ka hawa wa sa hz,wakapewa na percentage zao,kufka chuo majna yakachambuliwa upya,wale wenye dv 3 hawakupewa bum hadi leo.so na nyie mlopata jiangalien mcfurahie sana.

Mtoto wa mkulima hajaenda chuo anajua kukaa kwenye computer na kuchangia hoja jamiiforums!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

KUCHANGIA HOJA HAIJALISH UPO KATIKA HALI GANI KIMAISHa.SIKU HIZI UNAWEZA KUCHANGIA HOJA JF HATA KWA KUTUMIA CM YA MCHINA.ME NINA UWEZO WA KUCHANGIA KILA CKU LAKINI NI CHOKA MBAYA..

Mwaka huu.
Cjui. Hawa heslb wameandika am0unt ili wa2changanye au? Wangesema kama 7500 zipo nje ya that amount apo heri na pia ni kwa year iyo hela or? Walopita huko embu mnijuze huwa acumdtn, fee na meal full 3year inakuwa kama how much? Nikimaanisha marejesho ya mkopo ni milli0n ngap?

Kabisa,mfano mimi ni mil.4.5,ada ni mil1.2!cjaelewa mbado!
Mzazi kama ni ivyo kunawatu wanakula milioni 3 laki tisa. Mbona inazidi ada field na research alwns cs ada yake ni 1100000 kwa mwaka na ni human resourcs tena ana wazazi tena mambo safi. Vipi hii

Wajamen emb nambien mnakalkulate kiwaje asilimia??me nina mil.4,ada mil.1.2....nmeshndwa kugundua!

kwa miaka mitatu au mwaka mmoja?

mwaka mmoja, ada zinatofautiana baina ya chuo na chuo pia walisema kwa vyuo vya private wao wanaotoa ada kwa kuangalia vyuo vya serikali. Hvyo ada nikubwa kuliko mkopo inabidi ujigharamie zilizobaki.

mwaka mmoja, ada zinatofautiana baina ya chuo na chuo pia walisema kwa vyuo vya private wao wanaotoa ada kwa kuangalia vyuo vya serikali. Hvyo ada nikubwa kuliko mkopo inabidi ujigharamie zilizobaki.
kama kwa mwaka mmmoja kuna watu itakuwa inazidi.

naona kadri siku zinavyokwenda tcu ndo wanzaid kuchemsha-binafsi utaratibiu wao sijauelewa kabsa

Hiyo itakuwa ni accomodation, stationaries na meal. Percent zako za mkopo ni kwa ajili ya tuition fee tu na haimaanishi board wanakupa mkononi bali wanalipa wenyewe kwenye chuo chako na wewe utajilipia % zilizobaki.
Hiyo hela uliyopewa nafikiri itakuwa ni kwa semester moja au mbili(inategemea na utaratibu wa chuo chenu). Pesa ya field na research mtapewa wakati ukifika.
Kama nimekosea wadau watasahihisha kidogo.
Masomo mema.

Back
Top Bottom