TCU & HESLB na "Amount of Loan" mbona siwaelewi?

Wametoa viwango kamili vya fedha vikiwa vimeandikwa loan amount. Hatujui ni kwa mwaka o miaka 3. Ni pam0ja na acumdatn na meal o vipi. Yani nishapata moto

bord hawatoi interms of percentage?. Sijakuelewa naomba unieleweshe.

usitumie masaburi kufikiria...

What is the difference between HELSB Loan amount and the highest paid secondary school fees? If the difference is negligible why should all Higher Education admissions be offered loans?

Wametoa viwango kamili vya fedha vikiwa vimeandikwa loan amount. Hatujui ni kwa mwaka o miaka 3. Ni pam0ja na acumdatn na meal o vipi. Yani nishapata moto

hiyo itakuwa ni kwa ada tu usiogope. Maana meals &acc wanafunz wote wanapewa sawa hata wale waliokuwa wamepata 0% kwa kipindi hicho. Kwa formula hii mpya waliyotumia sijafatilia. Hiyo itakuwa ni nje ya meals na accomodation.

Nashukuru mzaz kwa kunipa moyo bt bila kupata evdnc a dnt tnk if i can evenly rest 4 5min..
Huuuuuuuu

hiyo itakuwa ni kwa ada tu usiogope. Maana meals &acc wanafunz wote wanapewa sawa hata wale waliokuwa wamepata 0% kwa kipindi hicho. Kwa formula hii mpya waliyotumia sijafatilia. Hiyo itakuwa ni nje ya meals na accomodation.

Wamenipa 2560500 alafu ada na makorokoro huku mucobs ni 2860000 per year so ela ya acumudation & meal inakuaje? Reseach & field nayo vipi? Imejumlishwa humu humu? Huu mwaka kama kwenda chuo ni story.. Na nitajuaje asilimia walizo nipa? Naombeni msaada wana jf nisha changanyika...
Hiyo in 90% ya mkopo wako lakini pia mshukuru Mungu maana kuna wenzako wamepata 20% je wao watasemaje na pia ni watoto wa wakulima?

Thanx mate. Ninakubaliana na wewe. Now nimeshajua nimepata asilimia ngapi.
Kujua asilimia uliyopata chukua total fees kwa kozi kwa miaka 3 kutoka kwenye guide book gawanya na hicho kiasi ulichopewa kwa miaka mitatu zidisha kwa 100.Jibu utakalopata ndo asilimia yako ya mkopo.

Hii ndio Tanzania, mambo yanafanyika shaghala baghala.

Embu nijuze tena kidogo mzaz, kuna watu wamenipiga gap la laki 6 yani wana 3130000 hao watakuwa ni %ngapi? Tena same courc
Hiyo in 90% ya mkopo wako lakini pia mshukuru Mungu maana kuna wenzako wamepata 20% je wao watasemaje na pia ni watoto wa wakulima?

Du mbona kama wamenyimwa wengi sana.
Bt unaweza apeal kaka wory 0ut mi mwenye japo wamenipa nna mpango huo cs navigezo n cna wazazi w0te..
Sory bro
shukuru Mungu. wenzako tuko kwenye list ya "NO LOAN"

Kaka hizi ni njia za kujiendeleza tu. Kuna tempo vip kama iliniwezesha kupata smart phone. Je iyo laki na nusu ya miez 4 na imesha2mika kwa mavaz msosi na extr itanipeleka chuo.?
Thnk a litle pls br0w

hata me niltaka kumuuliza hilo2

Bado cjielewi na hichi kiwango. Alofanikiwa kupata any info jaman. Cs hata kuwapigia heslb namba yao c0nectn error. Tupambanuane wajameni...

Simple ushauri wewe ulie dar just nenda TIRDO officn kwao bodi utapata ufafanuzi zaidi hata tulio sitimbi mtatujuza kinachoendelea hapo.La sivyo up nw we are working with ges answers.

Heri ww hata umepata hiyo asilimia

mm mwanangu amenyimwa mkopo

ilihali ni single parent (mama)

kwa kweli nimechanganyikiwa

hivi hakuna kukata rufaa huko HESLB

kukata rufaa kupo nenda Kajaze appeal form watakurekebishia

Back
Top Bottom