TCRA: Kutoa taarifa za siri za mawasiliano ni kosa la jinai

TCRA msitumike vibaya na kina mwigullu,Mmekuja juu baada ya mwigullu kuwalamikia kwamba watu wametoa siri jinsi alivyokuwa anawasiliana na ludo pamoja na ile ya kupewa elfu 50 za hongo,mbona ile ya msangi na ighondu hamjalalamika wakati kubenea alivyoanika mawasiliano yake na Dr ulimboka? TCRA acheni kutumika vibaya na kina prezo pamoja na chemba
 
TCRA msitumike vibaya na kina mwigullu,Mmekuja juu baada ya mwigullu kuwalamikia kwamba watu wametoa siri jinsi alivyokuwa anawasiliana na ludo pamoja na ile ya kupewa elfu 50 za hongo,mbona ile ya msangi na ighondu hamjalalamika wakati kubenea alivyoanika mawasiliano yake na Dr ulimboka? TCRA acheni kutumika vibaya na kina prezo pamoja na chemba

TCRA mlikuwa wapi tangu mwaka 1992 wakati cm za kiganjani zinaanza mbona tumekuwa na huo utaratibu wa kuingilia mitandao??? hii ipo dunia nzima hata china juzi kalalamika kwa marekani sembuse tanzania
 
TCRA hili wameliona leo? Mbona wanasema baada ya tukio la lwakatare? Bora kwa kipindi hiki wange kaa kimya maana waliamua kunyamaza muda mrefu bora wanyamaze tuu!
 
Naomba wafungue case za jinai kwa wanae muona amefanya hivyo maana wameamua kuonesha wazi rangi yao!
 
TCRA acheni hizo, eti kuingilia mawasiliano? yaani watu wanafanya hujuma waachwe tu eti ni kuingilia mawasiliano? Mlikuwa wapi siku zote? afterall it is too late.. wameisha naswa walivo rushiana dau... na njama za kuhujumu chama.
 
TCRA nyie ndiye mlipeleka atu 3 mafunzo nje wakala 3bn,na tunajua ndiyo taasisi ya kuchotea pesa za CCM!WEKENI WAZI MAPATO YENU NA MATUMIZI NDIYO MJEE NA HOJA YA KIPUUZI!!!!TCRA imeshindwa kusimamia makampuni ya simu kulipa kodi stahiki,mmeshindwa kumdhibiti multichoice mpaka leo anatoza huduma zake kwa dola!
 
TCRA mbona 2010 wakati wa kampeni hamkudili na SMS chafu zilizokuwa zikimchafua Dk.Slaa?
fanyeni kazi kwa haki na ujasiri.
 
Huyo Mkurugenzi wa TCRA alishamaliza mgogoro wa uraia wake au bado wamenyamaza tu!

Tusije tukawa tunasumbuliwa na mtu toka Malawi kama ilivyowahi kuandikwa tena na tena!
 
TCRA mmeshindwa kusimamia usajili WA namba za simu na kushushusha gharama za kupiga simu, leo mnakuja na upuuzi wa kuwalinda dhaifu! !! Mkulu unaogopa baba riz atakunyanganya kitumbua usipoongea neno? Ndio matatizo ya kazi za kupewa.
 
Hawa wanatumika na Magamba kama walivyopigia kimya sms za kummliza Slaa mwaka 2010..Mwigulu kafadhili Ugaidi,ataenda na maji soon.time wil tel.
 
Tuanze na TCRA wenyewe wajipeleke mahakamani kwa kuingilia mawasiano ya watu kwa kuwatumia sms 2010 kutukana wagombea wa nafasi mbali mbali ikiwemo Urais. Walitukera sana, hatujasahau kutumika kwao na ccm!
 
halafu mkurugenzi wake na mugabe, au mwanawe?

wanafiki wakubwa nyinyi!walipolalamika akina Slaa kuwa kuna mtambo wa kunasa mawasiliano yao ya simu umenunuliwa na akina fulani mlikaa kimya leo hao hao wanaolalamikiwa kucheza rafu wamefanyiwa counter attacking wamelalamika mmekuja juu kama vile mna hisa kwenye chama chao!yaangalie hata aibu hayana,lol!kweli bongo double standards!
 
Nyang'aus @work
What a coincidence when Mwigulu need u most thats when mnakurupuka. Haya basi mtakaa mseme kuwa hizi taarifa haziwezi kuwa admissible in court kisa kuingilia mawasiliano yake.....jeez this drama ina so many angles had basi
 
Ndo maana ni muhimu sana kuirudisha nchi yetu sasa kutoka mikononi mwa hawa madalali na kupangua systems zote kwasababu mashirika ya umma sasa nayo yanaonekana yapo si kwa interests za UMMA bali za chama cha mapinduzi.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom