siri ipo.
Haya makampuni kutoa taarifa binafsi za watu na kuzichapisha kwenye magazeti,hili limekaaje wakuu????
Sio sahihi kabisa. Ila najiuliza, nani anayeweza kuifanya kazi hiyo bila mkono wa watu wa serikali? Maana ukusanyaji wa taarifa kama hizo sio kitu rahisi mtu wa kawaida kukifanya?
kumbeeee? ila habari ile ilikuwa ya ukweli sio?Hicho ndio kimefanya Mwanahalisi lifungiwe sio haki kuingilia uhuru wa mtu hata kwenye katiba yetu inakataza pitia kifungu cha 30 cha katiba kinachoweka ukomo wa uhuru wa habari, hakuna uhuru usiokuwa na mipaka.
Hicho ndio kimefanya Mwanahalisi lifungiwe sio haki kuingilia uhuru wa mtu hata kwenye katiba yetu inakataza pitia kifungu cha 30 cha katiba kinachoweka ukomo wa uhuru wa habari, hakuna uhuru usiokuwa na mipaka.