Wile GAMBA
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 1,809
- 595
Mwanahalisi hawakukosea walichofanya, kama kova angekuwa ameyafanya kabla. Lakini kama unaona mtu anaficha ukweli makusudi kwa kujifanya hajui namna ya kufanya lazima umuonesha kazi... kufungiwa kwa mwana halisi inaonesha moja kwa moja serikali ina husika na swala hili...
Kama chadema ndiyo wangekuwa wanahusijka na mwana hasili wakatoa kitu kama hicho leo kubenea angekua ikulu anapewa zawadi kama gazeti makini la kiuchunguzi. Amani usiamin taifa lina kwenda ukingoni, tunakwenda kuchambua tulichokuwa tunavuna