TBC Habari aibu duh

ndio amatatizo ya kupeana ajira za undugu ..hakuna mtaalamu hapo wamepeana tu ajira kiundugu kwa hiyo tutegemee madudu kwa sana tu
 
ndio amatatizo ya kupeana ajira za undugu ..hakuna mtaalamu hapo wamepeana tu ajira kiundugu kwa hiyo tutegemee madudu kwa sana tu

wanafanya TV ya watanzania kuwa shamba la bibi. ipo siku TV hii itasitisha matangazo yake kabisaaaa maana ni kama haina uongozi now. Sidhani kama kiongozi anayejua kazi yake atakubali kuona uchafu huu kila siku na kuvumilia
 
Umelazimishwa kutazama TBC?
mbona kuna TV nyingi ambazo wanaweka habari saa 2?
hebu msituchonganishe na serikali yetu bana! mambo mengine ni udhaifu wa watendaji tu.

wewe mnafiki sana unataka watu wasiongee ukweli. Tutolee ushamba wako na uzezeta. Nyi ndo mnatakiwa kuanza kunyongwa na mkae sawa maana hata Mbunge wenu Godrey madhambi amesema 2015 mtawekwa pembeni. Masikini sijui mtakimbia nchi na nduguzo kina Rajao na wote wapenda mahaba ya mafisadi?
 
Hapa nasikiliza TBC habari TV, nasikia sauti mbilimbili, namsikia shyrose kwa mbaliiii na spika pia duh haya mambo gani jamani TBC taifa??? Shyrose anashukuru na habari ya Tandahimba juuu

acha ulimbukeni mwana unakuwa kama mtoto wa mbw.....
 
ten teh teh, chombo cha propaganda hicho, wenzio tuliacha kuangalia, wamefulia hao
 
Umelazimishwa kutazama TBC?
mbona kuna TV nyingi ambazo wanaweka habari saa 2?
hebu msituchonganishe na serikali yetu bana! mambo mengine ni udhaifu wa watendaji tu.
binafsi nimeona hlo tukio, nasikitika kuwa siyo mara ya kwanza, lakini pia TBC ni chombo kikubwa cha habar ambacho no mali yetu sisi Watz, wanapokosea tuna haki ya kusema, kwa sasa TBC ni kama imepoteza dira siyo kwa hilo la leo tu bali hata vipindi vyake vinapoteza dira.
 
Umelazimishwa kutazama TBC?
mbona kuna TV nyingi ambazo wanaweka habari saa 2?
hebu msituchonganishe na serikali yetu bana! mambo mengine ni udhaifu wa watendaji tu.

acha upuuzi!!
Watanzania wote tunayo haki ya kuhoji kuhusu mwenendo wa vyombo vya habari vya umma kwa sababu vinaendeshwa kwa kodi za watanzania,. hatuwezi kulinganisha vyombo vya umma na vile vya binafsi. TBC wanawajibika kwa uzembe au upendeleo wowote kama shirika la umma.
 
Hapa nasikiliza TBC habari TV, nasikia sauti mbilimbili, namsikia shyrose kwa mbaliiii na spika pia duh haya mambo gani jamani TBC taifa??? Shyrose anashukuru na habari ya Tandahimba juuu
Mkuu tuna mengi ya kujadili ya maana sana sio TBC tena tumeshafunga huo mjadala now tunajadili hawa wageni wanaohamia CDM ndio vichwa VINAUMA. TBC waachieni wenyewe jamani!
 
Hapa nasikiliza TBC habari TV, nasikia sauti mbilimbili, namsikia shyrose kwa mbaliiii na spika pia duh haya mambo gani jamani TBC taifa??? Shyrose anashukuru na habari ya Tandahimba juuu
kwa kweli wana matatizo makubwa tangu Tido aondeke quality ya kazi ya TBC1 imeshuka sana!
 
Akirudi toka Brazil mwambie atueleze ametekelezaje maazimio ya Bunge kuhusu Jairo kama kweli Bunge liko huru na serikali inakubali kuwajibishwa. Acha uvivu wa kufikiri jitahidi uwe Great Thinker japo siku moja moja

Anapitia kwanza kumzika Rais wa Malawi R.I.P Bigwa wa Muthalika
 
Back
Top Bottom