Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,500
Hapa nasikiliza TBC habari TV, nasikia sauti mbilimbili, namsikia shyrose kwa mbaliiii na spika pia duh haya mambo gani jamani TBC taifa??? Shyrose anashukuru na habari ya Tandahimba juuu

Nani kawagombanisha mkuu?Umelazimishwa kutazama TBC?
mbona kuna TV nyingi ambazo wanaweka habari saa 2?
hebu msituchonganishe na serikali yetu bana! mambo mengine ni udhaifu wa watendaji tu.
Umelazimishwa kutazama TBC?
mbona kuna TV nyingi ambazo wanaweka habari saa 2?
hebu msituchonganishe na serikali yetu bana! mambo mengine ni udhaifu wa watendaji tu.
Mbona habari za PROPAGANDA huwa zipo safi tu, inaonekana walioajiriwa TBC ni maalumu kwa kutangaza propaganda
Hiyo ni tv ya tanganyika na wala sio Zanzibar kaa kimya wewe mpemba hapa sio kwenuUmelazimishwa kutazama TBC?
mbona kuna TV nyingi ambazo wanaweka habari saa 2?
hebu msituchonganishe na serikali yetu bana! mambo mengine ni udhaifu wa watendaji tu.
Nani kawagombanisha mkuu?
Mkuu utakufa kwa jazba, tua huu mzigo uwe huru.Umelazimishwa kutazama TBC?
mbona kuna TV nyingi ambazo wanaweka habari saa 2?
hebu msituchonganishe na serikali yetu bana! mambo mengine ni udhaifu wa watendaji tu.
mimi kilichonifuraisha ni hotuba ya mkuu huko brazil
-bunge la tz ni huru na wabunge wanaisimamia serikali
-tz kuna uhuru wa vyombo vya habari mpk watu wanalalamika kwamba uhuru wa vyombo vya habari umepitiliza
-kuna CAG aneyefanya kazi zake kwa uhuru
-
-
-
Hiyo ni tv ya tanganyika na wala sio Zanzibar kaa kimya wewe mpemba hapa sio kwenu
mimi kilichonifuraisha ni hotuba ya mkuu huko brazil
-bunge la tz ni huru na wabunge wanaisimamia serikali
-tz kuna uhuru wa vyombo vya habari mpk watu wanalalamika kwamba uhuru wa vyombo vya habari umepitiliza
-kuna CAG aneyefanya kazi zake kwa uhuru
-
-
-
Inaonekana mkuu alikuwa anatazama live bunge la leo.
na katika hayo aliyoyasema yote ni sahihi ukizingatia mwenendo wa bunge la leo.