TBC Taifa aibu tupu!

Sir luta

Senior Member
Nov 28, 2022
148
209
Mpira uliochezwa ni wa singida vs prisons, matokeo yanaonyesha ni mpira wa YANGA vs Simba lakini logo zilizopo kwenye majina ya team siyo za team zenyewe.

Sisi tunaamini TBC ni chombo Cha habari Cha kitaifa na kina waandishi wa habari waliobobea kwenye taaluma ya uandishi wa habari. Sasa ni vitu gani hivi wanaripoti kwa wananchi? Hii inadhihirisha TBC kumejaa vilaza na haipaswi kuitwa channel ya Taifa? Hizi ndizo habari za uhakika na ukweli? Hii ndo TBC ya Nape anayotaka tuiamini? Hatari sana!

Screenshot_20230822-185145.jpg

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2725414

Huku Sasa ndo kutafuna jongoo Kwa Meno.
Yaani unachukua remote unatune TBC?
Una ujasiri wa kukanyaga Nyoka mkiani.
 
Mpira uliochezwa ni wa singida vs prisons, matokeo yanaonyesha ni mpira wa YANGA vs Simba lakini logo zilizopo kwenye majina ya team siyo za team zenyewe.

Sisi tunaamini TBC ni chombo Cha habari Cha kitaifa na kina waandishi wa habari waliobobea kwenye taaluma ya uandishi wa habari. Sasa ni vitu gani hivi wanaripoti kwa wananchi? Hii inadhihirisha TBC kumejaa vilaza na haipaswi kuitwa channel ya Taifa? Hizi ndizo habari za uhakika na ukweli? Hii ndo TBC ya Nape anayotaka tuiamini? Hatari sana!

View attachment 2725414

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
CCM ILISHAFELI KOTE MPAKA LITIBISII LAO
 
Back
Top Bottom