mwanangu hata mimi yangu haipo!! nahis tiari!! haswa hiyo ambayo hazipo ndo umepangwa
kwa mantik hiyo nimepangwa st joseph ya dar!! tujuane waungwana!!!
Source frm tcu ni kwamba ukikuta kozi yoyote haipo ujue ndo ushatupwa nje kwa sababu hujakizi vigezo so omba sana kwa Mungu hizo nyingine zilizobaki zisipotee

hakuna anaejua,tatzo ni hlo kwa wengne wanakuta baadh ya course hazpoBadoo acheni kutudanganya selection badoo