Tayari!

mwanangu hata mimi yangu haipo!! nahis tiari!! haswa hiyo ambayo hazipo ndo umepangwa
 
kwa mantik hiyo nimepangwa st joseph ya dar!! tujuane waungwana!!!
 
Acheni kujipa mabichwa,system ya cas ina matatizo ndo maana baadhi ya kozi zenu mlizoapply hazionekani!
 
kwa mantik hiyo nimepangwa st joseph ya dar!! tujuane waungwana!!!

Source frm tcu ni kwamba ukikuta kozi yoyote haipo ujue ndo ushatupwa nje kwa sababu hujakizi vigezo so omba sana kwa Mungu hizo nyingine zilizobaki zisipotee
 
mmh acha hzo wewe kwan ingekuwa hujakiDH vigezo coz siingekuwa NOT ILEGIBLE??
 
Source frm tcu ni kwamba ukikuta kozi yoyote haipo ujue ndo ushatupwa nje kwa sababu hujakizi vigezo so omba sana kwa Mungu hizo nyingine zilizobaki zisipotee

hizo habari zilisemwa lini na nan?
 
Source frm tcu ni kwamba ukikuta kozi yoyote haipo ujue ndo ushatupwa nje kwa sababu hujakizi vigezo so omba sana kwa Mungu hizo nyingine zilizobaki zisipotee

yan Muhimbili iachwe alaf st.joseph itolewe.
 
scared.gif
 
Back
Top Bottom