Madaktari Wasio na Mipaka watangaza kuondoka Al Aqsa Hospital Gaza City wakihofia mashambulizi ya IDF

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,133
Madaktari Wasio na Mipaka ambao wamekuwa Msaada mkubwa kwa majeruhi wa Palestine huko Al Aqsa Hospital Gaza City wametangaza kuondoka kwa Sababu za kiusalama

Madaktari hao wamesema Israel imekuwa ikiishambulia hospital Hiyo mara kwa mara

Source Al jazeera news
 
Hatari
 
Hao itakua magaidi ndio maana walikua wanashambuliwa

Israhell over-rated anachojua yeye kuua wasioshika hata manati
 
Hao waarabu wanachokoza afu wanaenda kujificha round hii myahudi kapiga Rivella ni mwendo wa kufyatua mpaka akili ziwakae sawa
 
Safarii Hamas wameyatimba ,unaleta uchokozi ukipigwa unataka utetewe Hilo halipo
Wapate kibano takatifu
 
Safarii Hamas wameyatimba ,unaleta uchokozi ukipigwa unataka utetewe Hilo halipo
Wapate kibano takatifu
Anaepata kibano wala sio hamas wanaopata kibano kina mama na watoto
Israhell uwezo wakupigana na hamas hana hana na hawezi kua nao hata siku moja
 
Back
Top Bottom