Tarehe ambayo sitoisahau

Tarehe kama ya leo 2008 siku niliyompoteza dada yangu kipenzi Rose B Masawe kwa kifo cha kikatili ni kwa kuchinjwa na msemeno na muuwaji yupo huru paka leo pumzika kwa amani dada yangu Rose Masawe kifo chako kiliaribu maisha yangu kabisa
Po;e sanaaaa, kuondokewa kubaya na hasa kwa kifo cha aina hiyo,ila Muombe sana mwenyezi mungu na amini aliefanya hicho atalipa dhamani kubwa sana,huenda ukamuona ana tembea kwa furaha ila ndani ya nafsi yake hana furaha na mwenyezi mungu atalipa kama alivyo mdhulumu mwenzie nafsi yake na yeye atamlipa kwa njia yoyoyte ile, kilio chako mpe mwenyezi mungu ndio hakimu wa haki.
 
Asante sana
 
Back
Top Bottom