Tarehe ambayo sitoisahau

Umeongea point moja kubwa sana. Akifunguka tukio zima lilivyokuwa, anaweza kupata msaada wa kisheria/kimawazo, na pengine haki ikapatikana.

Huo mfano uliotolea, tuta-overlook kwa leo. Ila you have to be the slowest kind kuamini ulileta impact yoyote.
Huyo uliyemnukuu anataka umbea, hana nia ya kusaidia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nenda kwenye kituo cha kutetea haki za binadamu kapeleke malalamiko yko watakusaidia maana hata kama muda wa kukata rufaa umepita unawexa kuomba na mkakata rufaa ya hiyo kesi
 
Miaka 12 Sasa dada yangu bado upo moyoni mwangu

Sent using Jamii Forums mobile app

Pole sana ndugu,

Nafsi yako, moyo na akili vyote vinamaumivu juu ya kuondokewa na ndugu yako.

Naomba uniruhusu niseme haya, pengine ikasaidia kupunguza sumu unazobeba tangu dada yako aage dunia.

Mimi si mwanasaikolojia ila unahitaji kuhama (kimawazo, kifikra, kimtazamo) hapo ulipo ili maisha yako mengine yaendelee. Naomba ufungue ufahamu wako twende pamoja...

1. Wakristo tumeagizwa kwenye neno la Mungu, Linda sana MOYO wako kuliko vyote ulindavyo maana ndiko zitokako chemchem za UZIMA. Ukitaka kuendelea kuishi kwa amani, usiruhusu MOYO wako ujeruhiwe au ubebe mawaa, uchungu, chuki, au kushikilia watu kwa hasira.

2. Kuna mahali umesema marehemu alikuwa ndo baba yako na mama yako kwa maana alikuwa anasimamia makuzi yako ili uweze kujitegemea (aidha alikuwa anakusomesha au akutafutie kazi au akupe mtaji wa biashara au akuunganishe na biashara) bahati mbaya umauti ukamkuta kabla alichokuahidi hakijatimia au kukikamilisha. Wakristo tunaagizwa kwenye neno la Mungu, ALAANIWE AMTEGEMEAYE MWANADAMU NA KUMFANYA KUWA KINGA YAKE.. sina hakika hilo neno liko kitabu gani ila najua linazungumza namna hiyo. Ndugu yangu, jitahidi na anza kufikiri kwa upya namna ya kumtoa dada yako kwenye moyo wako kuwa yeye ndo alikuwa amebeba DESTINY ya maisha yako. Hujatamka hivyo ila maneno yako yanaonesha hivyo.

3. Ulishawahi kufikiri pengine dada yako angefariki siku hiyohiyo mwaka huo huo ila kwa ajali ya gari au angeumwa na nyoka au angeumwa malaria na kabla hajafika hospitali akafa bado ungekuwa na maumivu kama uliyonayo leo...? Jaribu kuwaza zaidi na zaidi... Je angekuwa hai hadi leo ila angebadilisha msimamo wake juu yako wa kuto kukushughulikia kama mdogo wake ilhali uwezo anao, Je, bado ungekuwa na uchungu ulionao leo?

4. Tangu 2016 umeandika huu uzi hadi leo bado mtuhumiwa hajapata hukumu inayostahiki, kwa mara nyingine wakristo tunaaswa, DUNIANI MNAYO DHIKI, ILA JIPENI MOYO.... (The World is NEVER fair)
Sasa unawezaje kujipa moyo ilhali una uchungu, kufarijiwa ya pole kwa msiba wa dada haitoshi. Yapasa kufanyika jambo, chukua hatua ondoa uchungu moyoni ili Mungu aliyekuleta duniani aruhusu njia zake kwa kumhukumu muuaji, upate amani ya moyo na maisha mengine yaendelee. Usisahau tena wakristo tumeendelea kuaswa...TAFUTENI KUWA NA AMANI NA WATU WOTE.... Pia tumeambiwa, MAMBO MENGINE HAYAWEZEKANI ILA KWA KUFUNGA NA KUOMBA...

Kwa maana VITA TUNAYOPIGANA SI YA DAMU NA NYAMA BALI YA ROHO....

Tena... NITWIKENI MIMI SHIDA NA FADHAA kwa maana MIMI NIRA YANGU NI LAINI NA MZIGO WANGU NI MWEPESI...

Aiseeh, mie sio mhubiri ila sijui kwanini maneno haya yamenijia kichwani wakati naandika hapa...

Naweza sema unahitaji mwanasaikolojia kuutibu moyo wako ila ukitulia na neno la Mungu ukayasoma hayo maandiko na kufuata kipengele kimoja kimoja hapo juu; kwa uponyaji wa MOYO wako kwanza, kisha mengine yote yatafunguka.

Sijui ni kwa namna gani ila wakati unajihudumia, utashangaa watesi wako wanajipeleka kwa kadhi kujistaki...mambo ya rohoni ni ya ajabu sana...

Usisahau hili, ZABURI 23:.....WAANDAA MEZA MBELE YANGU MACHONI PA WATESI WANGU.....

Yaani ile unataka ufanikiwe ndoto zako zinazimwa paap, kama kibatari... kibinadamu hasira na huzuni lazima zikushike....kumbuka tumeaswa, JUA LISIZAME BADO MNA HASIRA MIOYONI MWENU....

Niseme tuu pole sana kwa yaliyokusibu, ila hapa ilipofika yatosha, okoa muda maana muda haurudi tena, ni miaka 12 sasa. Kama moyo umekamatia mtu na bado marehemu pia amejaa moyoni si rahisi mambo mengine kuendelea kwenye maisha yako kwa ufasaha, kumbuka hili.....NDIKO ZITOKAKO CHEMCHEM ZA UZIMA.... (MOYO)

Alamsiki na uwe na wakati mwema.

Usiache kuchukua tahadhari kujikinga na Korona na hata siku moja usimuombee adui yako mabaya bali ....MSHUKURU MUNGU KWA KILA JAMBO.

KASINDE.
 
Asante Sana kwa ushauri wako ila kuandika ni rahisi sana.

Natambua ayo yote uliyoandika mimi nasoma vitabu sana na uhakika katika kitabu nilichosoma zaidi kwenye maisha yangu ni biblia ila uchungu wa kuondokewa na dada yangu kwa kifo cha kikatili vile auwezi kuniisha milele.

Alikuwa mtu muhimu sana nilipotupwa na kuachwa na watu alisimama na mimi nilivyomkera na kufanya yanayomuuzi na kumkasirisha bado alinipenda na kuniamini.

Alikuwa na maisha yake ila aliona maisha yangu yalikuwa muhimu sana akuniacha kwenye dhiki akuniacha kwenye mateso alisimama na mimi nisipotee na kunishauri na kunisaidia .

Mama yangu alivyofariki alikuwa yeye ndio mama ndio rafiki ndio msaada ndio mshauri mkuu kwenye maisha yangu alikuwa anaupendo wa dhati ambao sijauona kwenye hii dunia.

Nampenda sana nitamlilia sana kwasababu bila miongozo yake pengine ata hapa nisingekuwa naandika sasa hivi

Pumzika kwa amani my love dada wangu rose nakupenda sana sana
 
Hakuna kitakacho kuweka sawa we muombee ndugu yako kumbuka mazur yake then tabasamu ,usilie roho yake utaitesa uko ilipo chukua huu ushauri .kuhusu muuajii muulizeie karma
 
Back
Top Bottom