Tarehe ambayo sitoisahau

lara 1 alianzisha perereee hapa kuhusu kaka Mond na Abuse ya wanawake, though alishambuliwa sana na pro Mond ila ujumbe ulifika na dunia ilijua na kwa kiwango fulani imempotezea eligibility huyu de Mond...hapo ni abuse tu, kwanini na huyu ndugu asiweke hili lake la kifo ambalo ni kubwa kuliko abuse?

Umeongea point moja kubwa sana. Akifunguka tukio zima lilivyokuwa, anaweza kupata msaada wa kisheria/kimawazo, na pengine haki ikapatikana.

Huo mfano uliotolea, tuta-overlook kwa leo. Ila you have to be the slowest kind kuamini ulileta impact yoyote.
 
Ilikuwaje dadako akakatizwa maisha kikatiri namna hiyo na ni nani huyo aliyefanya tukio hilo? Nadhani wanasheria wanaweza kukusaidia humu kila kitu kikaanza upya maana ni jinai hiyo.
Cc: Petro E. Mselewa
 
Pole Sana ndugu na vile SHERIA Ni msumeno naye kautumia kutoa uhai wa dada yako kipenzi .

Sheria inaudhi Sana huenda naye kesi yake imeonekana aliua bila kukusudia ila Kwa nini awe huru Leo ? Hivi kuua bila kukusudia Ni kuachwa huru au kuepushwa na adhabu ya kunyongwa tu ?

Mleta uzi rudi utuambie pengine utapata msaada wa ama kupunguza maumivu ya moyo wako au kupata haki stahiki
 
pole mkuu! achana na habari ya sintasahau,, unless otherwise utajikuta unafanya kisasi kibaya ambapo haipendezi kwa MUNGU,.
 
Mkuu aliuwa kwa kukusudia kabixa kwasababu alimuuwa na kukaa na mwili ndani siku tatu siku ya tatu akaona mwili unaaribika ikabidi amfuate mwenye nyumba na kumuambia nenda ndani rose anaumwa amelala ndiyo yeye akakimbia kwa kujua alicho fanya ndiyo mama mwenye nyumba kwenda ndani akakuta arufu mtu alisha fariki ndiyo kapiga simu polis
 
pole mkuu! achana na habari ya sintasahau,, unless otherwise utajikuta unafanya kisasi kibaya ambapo haipendezi kwa MUNGU,.
sitoweza kusahau kwasababu ningekupa historia ya maisha yangu na jinsi huyo dada alivyokuwa msaada wangu utaamini ni ngumu kusahau kwasabu alikuwa ndiyo baba ndiyo mama yani huyo aliye muuwa ni bora ata asingezaliwa yani namuona kama shetani
 
Serious boy kwamba mtu aliyemuua dada yako,akabadilisha maisha yako, mwenye tuhuma kubwa namna hii ya mauaji, na ambaye unamtaja kwamba yuko juu ya sheria unamwita tu Casto, yaani as if humjui kabisa ama unahisi tu? Kuwa siriazi kidogo!
Serious mkuu jina lake ndiyo ilo casto mwacha ndiyo jina
 
Serious boy kwamba mtu aliyemuua dada yako,akabadilisha maisha yako, mwenye tuhuma kubwa namna hii ya mauaji, na ambaye unamtaja kwamba yuko juu ya sheria unamwita tu Casto, yaani as if humjui kabisa ama unahisi tu? Kuwa siriazi kidogo!
Ila kwasasa alibadili jina baada ya tukio na ajiita gasto mushi anapatikana maeneo kcmc kwa mara nyingi
 
Ila kwasasa alibadili jina baada ya tukio na ajiita gasto mushi anapatikana maeneo kcmc kwa mara nyingi

Sijui huyu binadamu ametokaje mikononi mwa sheria na kubadili jina lake kirahisi tu .
Pole Sana ndugu Kwa vyovyote inaonekana huna mtu wa kukupatia msaada ili haki itendeke Kwa huku Casto Mwacha then later Gasto Mushi .

Natamani Kama ukisimulia iweje muuaji awe huru Leo huko KCMC na dada yako Ni marehemu

Kama itakuwa Ni uchungu mkubwa basi muachie Mungu atamuhukumu . Ila naamini JF Ni mahali panipatikana ufumbuzi wa mambo mengi Sana
 
Wivu na hasira haiwi sababu ya kutoa uhai wa mtu ni ukatili tu.hata wanyama naogopa kuwasingizia km wanaroho mbaya iyo.
dah, mkuu kwani nimekataa sio ukatili?
ila kwa watu wapelelezi wa kesi za mauaji ndio watafahamu nililoeleza, aina ya mauaji yanatumika ku determine sababu ya mauaji...kama huna insight yoyote kwenye masuala ya saikolojia na mauaji naomba tusibishane
 
Back
Top Bottom