Tarehe ambayo sitoisahau

Miaka 10 sasa pumzika dada yangu
IMG_20180502_104226.jpg
 
Tarehe kama ya leo 2008 siku niliyompoteza dada yangu kipenzi Rose B Masawe kwa kifo cha kikatili ni kwa kuchinjwa na msemeno na muuwaji yupo huru paka leo pumzika kwa amani dada yangu Rose Masawe kifo chako kiliaribu maisha yangu kabisa
Pole sana Mkuu dunia imekuwa na watu makatili hawana ubinadam hawamuogopi hata aliye waumba! Hata wao hawajui hatma zao! Pole ndugu.
 
Pole sana.
Baada ya kusoma huu uzi wako page ya kwanza mpaka ya mwisho nimefeel maumivu makubwa sana.

Mungu akufute machozi
 
sitoweza kusahau kwasababu ningekupa historia ya maisha yangu na jinsi huyo dada alivyokuwa msaada wangu utaamini ni ngumu kusahau kwasabu alikuwa ndiyo baba ndiyo mama yani huyo aliye muuwa ni bora ata asingezaliwa yani namuona kama shetani
Alikuwa mpenzi wake
 
Pole sana.
Baada ya kusoma huu uzi wako page ya kwanza mpaka ya mwisho nimefeel maumivu makubwa sana.

Mungu akufute machozi
Asante kuna mambo yanatokea duniani paka unafikiri sana na kujiuliza maswali yasiyo na majibu ila ndio hivyo akuna jinsi
 
Tarehe kama ya leo 2008 siku niliyompoteza dada yangu kipenzi Rose B Masawe kwa kifo cha kikatili ni kwa kuchinjwa na msemeno na muuwaji yupo huru paka leo pumzika kwa amani dada yangu Rose Masawe kifo chako kiliaribu maisha yangu kabisa
Mkuuu pole sanaaaa mkuuuu wanguu hii ndio nchii yangu na yakoo
Lkn neno la Mungu linasema Auwae kwa upanga atakufa kwa upangaaa
Na Mungu hachelewi kutoa majibu
Malipo ni hapa hapa duniania
 
Back
Top Bottom