Tanzia: Diwani wa CCM - Daraja Mbili (Arusha) afariki

pole kwa familia ndugu na jamaaa wote.Mola ailaze roho ya marehemu pahala pema peponi
 
Wacha kupotosha,
Hawa CCM hata wakifa Mia kila siku na MICHANGO tutatoa, Tule pilau, Tuwazike na Tuwasahau!!

Mkuu,mimi ni mpenzi wa CHADEMA,lakini nina ndugu wengi tu ambao ni wana magamba.
TUTAPOTEA KAMA TAIFA ENDAPO TUTARUHUSU SIASA ZITAWALE HADI MAHUSIANO YETU YA KIJAMII KAMA MISIBA,NDOA,ELIMU NK!

Pole wanafamilia. Kuhusu pa kwenda apandacho mtu nicho atakachovuna. Mungu na aamue!
 
Pole nyingi kwa familia, ndugu, jamaa na wapiga kura wa marehemu mh Diwani Bashir, Mungu ailaze mahala pema amani roho ya marehemu. Amen
 
Mkuu,mimi ni mpenzi wa CHADEMA,lakini nina ndugu wengi tu ambao ni wana magamba.
TUTAPOTEA KAMA TAIFA ENDAPO TUTARUHUSU SIASA ZITAWALE HADI MAHUSIANO YETU YA KIJAMII KAMA MISIBA,NDOA,ELIMU NK!

Mkuu,wewe ukoo wenu wote ni
CHADEMA nn?
Tuache siasa za
kipumbavu bana!!!

Tatizo lako ni uvivu wakufikiri hivi unafikiri kila mtu humu ni CHADEMA?
MAGAMBA mmeishjiwa huwezo wakufikiri, Poleni san!

ADUI yako MUOMBEE NJAAA, Ila kwa vyovyote hata wakijivunga humu CHEDEMA wanshangilia KUMOYO kimyakimyaa, Sasa unatka mimi niwe MNAFIKI kama CHADEMA? Unataka MWIZI nimuite FISADI? Sitaki Ukweli ndio huo CCM WAKIFA hata 1000 kwa siku watu watachanga na kuwazika na kula pilau kama kawa na TUTAWASAHAU. Kama wewe una ukweli mwingine NIAMBIE?
Hivi unafikiri MWAKYEMBE angfia huko INDIA CHADEMA wangesemaje? Pole sana GAMBA kifupi NCHI hii MMEBAKI peke YENU na kiukweli Mpo 1% na wataka mabadiliko wapo 99%.

Naomba nitake RADHI huwezi kuita MPUMBAVU, Please nitake RADHI.
 
RIP Bashir, poleni ndugu wa marehemu hasa CCM Arusha najua machungu mliyonayo mkifikiria tuendako, pole sana.
 
pole sana CCM na wafiwa wote

Jamani ni mapema mno kuzungumzia uchaguzi sasa tusije tukwa kama Z'bar walioshindwa hata kuzikana kwa sababu ya itikadi ya siasa tu

Kweli kabisa mkuu lazima tuwe makini sana na hizi siasa tunazofanya.
Ubinadamu wetu na utanzania wetu ubaki kuwa juu ya itikadi zetu za kisiasa ama kidini.

Kwa sasa tuwafariji wafiwa, ndugu, jamaa na marafiki.
 
Tatizo lako ni uvivu wakufikiri hivi unafikiri kila mtu humu ni CHADEMA?
MAGAMBA mmeishjiwa huwezo wakufikiri, Poleni san!

ADUI yako MUOMBEE NJAAA, Ila kwa vyovyote hata wakijivunga humu CHEDEMA wanshangilia KUMOYO kimyakimyaa, Sasa unatka mimi niwe MNAFIKI kama CHADEMA? Unataka MWIZI nimuite FISADI? Sitaki Ukweli ndio huo CCM WAKIFA hata 1000 kwa siku watu watachanga na kuwazika na kula pilau kama kawa na TUTAWASAHAU. Kama wewe una ukweli mwingine NIAMBIE?
Hivi unafikiri MWAKYEMBE angfia huko INDIA CHADEMA wangesemaje? Pole sana GAMBA kifupi NCHI hii MMEBAKI peke YENU na kiukweli Mpo 1% na wataka mabadiliko wapo 99%.

Naomba nitake RADHI huwezi kuita MPUMBAVU, Please nitake RADHI.

Ni jambo la nadra sana kukuta watu wanagombana msibani na hapa tunashindwa kuelewa wakuu inakuwaje mnagombana msibani?
Punguzeni jazba na itikadi kali za kisiasa!
 
RIP Mh Diwani.
Kwa leo tusiongelee habari za nafasi yake ya udiwani...tuache kwanza hadi apumzishwe kwa amani kwanza!...Ustaarabu!
Kama alikuwa anatenda mema anakula bata. Kama ameshiriki uhuni wa CCM sasa hivi anakomaje huko kwa waovu!! Amekufa hawezi rudi, tujadili sasa hiyo nafasi aliyoiacha wazi.
 
Kweli kabisa mkuu lazima tuwe makini sana na hizi siasa tunazofanya.
Ubinadamu wetu na utanzania wetu ubaki kuwa juu ya itikadi zetu za kisiasa ama kidini.

Kwa sasa tuwafariji wafiwa, ndugu, jamaa na marafiki.

Mkuu heshima. Hakika umenena vyema. Lakini pia kwetu sisi tulio hai, tulio wazima, na tunaopumua leo - vifo vya waliotangulia ni ishara kwetu kwamba hatutadumu milele hapa duniani.

Ni heri kuchagua JINA LILILO JEMA kuliko kutaka MALI MENGI na kuchagua jina jema ni pamoja na kutoshirikiana na mafisadi au taasisi zao vikiwemo vyama vya siasa vyenye mwelekeo wa kifisadi usiojali mafukara walio wengi.

RIP Mh. Diwani - Jina ulilochagua mwenyewe litaandamana na wewe popote katika safari yako - AMEN.
 
Ni jambo la nadra sana kukuta watu wanagombana msibani na hapa tunashindwa kuelewa wakuu inakuwaje mnagombana msibani?
Punguzeni jazba na itikadi kali za kisiasa!

Mwita Maranya,

Umeuliza swali ambalo jibu unalo. kwanza kabisa tambua hili ni jukwaa la siasa, na bahati mbaya hii thread imerushwa humu. so many jokes.
Pili unanikumbusha swali alilowahi kuuliza Musa alipowakuta wana wa Israeli wanapigana. jibu ilikuwa rahisi. wakamwambia kuwa unataka kutupiga na kutuua kama ulivyomwua yule Mmisri?
 
R.I.P diwani katika safari yako ukikutana na Nyerere,mwambie nchi yake imeuzwa kwa bei ya hasara,saa hizi sisi tunahaha hatuna pa kwenda.
 
Back
Top Bottom