Hata mirathi hujadiliwa msibani na mali za marehemu hugawiwa msibani na mrithi wa familia kama yupo hujulikana hapo hapo, kwa hiyo si jambo la ajabu kuongelea kazi aliyoiacha marehemu ambayo ni siasa.Ni jambo la nadra sana kukuta watu wanagombana msibani na hapa tunashindwa kuelewa wakuu inakuwaje mnagombana msibani?
Punguzeni jazba na itikadi kali za kisiasa!
R.I.P diwani katika safari yako ukikutana na Nyerere,mwambie nchi yake imeuzwa kwa bei ya hasara,saa hizi sisi tunahaha hatuna pa kwenda.
inawezekana CCM wanatoa machozi lakini si ya huruma na uchungu kama ya ndugu na jamaa wa diwani ila yao ni ya kupoteza kiti cha udiwani kwa cdm. Heri wale ambao wanasikitika ki ukweli pamoja na wafiwa.pole sana CCM na wafiwa wote
Jamani ni mapema mno kuzungumzia uchaguzi sasa tusije tukwa kama Z'bar walioshindwa hata kuzikana kwa sababu ya itikadi ya siasa tu
naomba matajiri na wanasiasa wafeeeee....... maana ni wanyonyaji, waongo na matapeli!!"
tubaki akina sisi..........
PJN
Naiombea faraja familia yake na watu walioathirika. Muungu awaongoze kufikia toba na hatimae uzima wa milele waliobaki.Mungu aiweke roho yako mahali pema peponi AMINA.
Too late kwani CCM wamesha ongelea hilo tangu alipokuwa ICU.RIP Mh Diwani.
Kwa leo tusiongelee habari za nafasi yake ya udiwani...tuache kwanza hadi apumzishwe kwa amani kwanza!...Ustaarabu!
R.I.P Bashir!
Makamanda tuwe na moyo wa huruma na subira kwa hili, sidhani kama ni wakati mwafaka kuzungumzia urithi wa kiti hicho, tuwe na ubinadamu zaidi kuliko ushabiki
Kwa Kaka kafulia vipi, uchaguzi lini?
Laana inawatafuna.Naunga mkono hoja. R.I.P Mh. Lakini Why Madiwani wengi wa Magamba wanakufa kabla hata ya kutimiza miaka m2 ya utumishi?