Notorious thug
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 2,817
- 10,594
Wengi tulimfahamu alipokua diwani wa Chadema kata ya Sombetini Arusha mke wake ni mmoja kati ya wale COVID-19 wa Chadema. Ally Bananga(MARIOO WA CCM)
Marijuana is realWengi tulimfahamu alipokua diwani wa Chadema kata ya Sombetini Arusha mke wake ni mmoja kati ya wale COVID-19 wa Chadema. Ally Bananga(MARIOO WA CCM) View attachment 2720666
Nahisi kichwani kuna wadudu huyu MariooYuko timamu kweli?
TumbakuMarijuana is real
PointBora aongee chochote tu, maana najua asipoongea chochote ataonekana hafanyi kazi yake vizuri.
Usisahau jamaa analelewa na mkeweBora aongee chochote tu, maana najua asipoongea chochote ataonekana hafanyi kazi yake vizuri.
Vichwa maji wengi CcmCCM SIWAPENDI
ILA NAMPENDA SAMIA TU
Shida ya kulelewa na mwanamkeYuko timamu kweli?
Acha ubaguzi wa Kijinsia sote tumezaliwa na kulelewa na WanawakeShida ya kulelewa na mwanamke
Acha ubaguzi wa Kijinsia sote tumezaliwa na kulelewa na Wanawake
Kwahiyo wewe ulipotioka tumboni kwa Mama yako ukaanza kujilea?Tofautisha kuzaliwa na kulelewa
Njaa Mbaya wasee.., watu wa jamii hii wana njaa ya kudumu.Wengi tulimfahamu alipokua diwani wa Chadema kata ya Sombetini Arusha mke wake ni mmoja kati ya wale COVID-19 wa Chadema. Ally Bananga(MARIOO WA CCM) View attachment 2720666
Daaah leo wanamtaka Mzee wa bapa tena na wengine ambao walidai hawana hoja kaz yao matusi?Wengi tulimfahamu alipokua diwani wa Chadema kata ya Sombetini Arusha mke wake ni mmoja kati ya wale COVID-19 wa Chadema. Ally Bananga(MARIOO WA CCM) View attachment 2720666
Jamaa ndio kafikia huko.Njaa Mbaya waste.., watu wa jamii hii wana njaa ya kudumu.