Tanzania Commision for Universities- kujitoa kwa MOROGORO ISLAMIC UNIVERSITY

MUSLIM UNIVERSITY OF MOROGORO
The following candidates have been approved by TCU to join various undergraduate
degree programmes at Muslim University of Morogoro for the Academic year 2012-
2013.The university will open on 1st October, 2012.The selected candidates should
come with their original certificates for registration. The registration fee is Tshs
35,000/=...............

mume majiahidi na kusoa kwanza siyo kukurupuka tu, kila ktu kipo wazi....Muslim University of Morogoro
 
Hawajajitoa kwasababu hawajawahi kujisajili huko toka mwanzo
Wao ni kivyao vyao tu
 
Chuo kinatoa vilaza hamna kitu pale bora wangekifanya kuwa secondary school tu hawawezi kuendesha chuo
 
mum hawajajitoa tcu ni member wa tcu ila wao wamejitoa katika huo mfumo wa tcu wachaguliwa wanafunzi sababu wanadai wenyewe hawaangalii mtu amefaulu kwa kiwango gani bali na nidhamu na maadili kupitia mfumo wa tcu wanajua hilo litakuwa gumu kidogo.hvyo huwa wanapenda watu wakawaone kwa macho na pia mwanafunzi kama akiomba basi hatawasumbua katika mambo ya nidhamu na pia wakishamaliza kuwaregister wenye sifa majina huwa wanayapeleka tcu
note.mfumo wa tcu kwa vyuo vya serikali ni lazima ila private ni option but majina lazima wayapeleke tcu
 
Kwanza niwaulize mnalifahamu mnaloongea? MUM haikujitoa TCU na ipo chini ya TCU ila haipo kwenye mfumo wa CAS na si MUM tu hata Chuo kikuu cha Zanzibar hakipo kwenye mfumo huo. Kumbuka kile chuo kina vigezo vyake vya ziada kujiunga nacho.
 
Kwanza niwaulize mnalifahamu mnaloongea? MUM haikujitoa TCU na ipo chini ya TCU ila haipo kwenye mfumo wa CAS na si MUM tu hata Chuo kikuu cha Zanzibar hakipo kwenye mfumo huo. Kumbuka kile chuo kina vigezo vyake vya ziada kujiunga nacho.

umeongea fact.... Huyu mtoa mada yuko BIAS kupita maelezo...as a great thinker hutakiwi kukurupuka.... Hata jina la chuo limemshinda kuandika.....
KILE CHUO HAWAPO KTK MFUMO WA TCU "CENTRAL ADMISSION SYSTEM"" ila wanachagua wanafunzi wao kufuatana na criterias zote zinazotakiwa '''TENA HUWA KINAADMIT HADI CHRISTIANS""
after the selection process majina na alama za selected students HUPELEKWA TCU KUWA APPROVED*** AND FINALLY THE SUCCESSFULL STDNT'S names are released.....
 
MUM wamejitoa kwenye selection through Central Admission system,lakini vigezo vingine vyote wanafuata vya TCU,wanafanya selection wenyewe lakini wanapeleka majina TCU ili yakawe approved bcoz bila kupeleka TCU majina huwezi pata loan na HESLB wanapokea majina toka TCU na sio chuoni,ndoo maana wengi walioapply direct TEKU mwaka jana hawakupata mkopo bcoz majina yao hayakupitia TCU.Nawasilisha
 
Ila kwenye ratio ya muslim na Christians,kweli wakristo ni wachache sana sasa cjajua kuwa wakristo hawaombi au hawawi selected?
 
Hawajajitoa kwasababu hawajawahttp: kujisajili huko toka mwanzo
Wao ni kivyao vyao tu

Chuo ili kitoe elimu ya Shahada na kuendelea hapa nchini lazima kisajiliwe na TCU au NACTE,otherwise ni feki.MuM wamesajiliwa na TCU, List hii hapa http://www.tcu.go.tz/universities/universities.php

oUlNdT7gAAAABJRU5ErkJggg==




WpBF4Qf27tWfaaMcpZBpkyNIyKAx1WGAkAMhC0FgHOsghwlkUY5SyDTBkaRsWBDiuMBAAZCFqLAGdZBDjLIoxylkGmDA2j4kCHFUYCgAwErUWAsywCnGURRjnLIFOGhlFxoMMKIwFABoLWIsBZFgHOsgijnGWQKUPDqDjQYYWRACADQWsR4CyLAGdZhFHOMsiUoWFUHOiwwkgAkIGgtQhwlkWAsyzCKGcZZMrQMCoOdFhhJADIQNBaBDjLIsBZFmGUswwyZWgYFQc6rDASAGQgaC0CnGUR4CyLMMpZBpkyNIyKAx1WGAkAMhC0FgHOsghwlkUY5SyDTBkaRsWBDiuMBAAZCFqLAGdZBDjLIoxylkGmDA2j4kCHFUYCgAwErUWAsywCnGURRjnLIFOGhlFxoMMKIwFABoLWIsBZFgHOsgijnGWQKUPDqDjQYYWRACADQWsR4CyLAGdZhFHOMsiUoWFUHOiwwkgAkIGgtQhwlkWAsyzCKGcZZMrQMCoOdFhhJADIQNBaBDjLIsBZFmGUswwyZWgYFQc6rDASAGQgaC0CnGUR4CyLMMpZBpkyNIyKAx1WGAkAMhC0FgHOsghwlkUY5SyDTBkaRsWBDiuMBAAZCFqLAGdZBDjLIoxy1v8Hl16FQWhy3aAAAAAASUVORK5CYII=
 
Hiki chuo kweli hakitizami alama "principals" pekee kama criteria pekee ya kukupa admission, nimestaajabu leo hii kuona matokeo ya o level & a level ya mmoja wa wanafunzi wa chuo hiki cha MUM nikabaki najiuliza alipataje admission ya chuo kikuu? Kwa Div 4, O level & A level eti alikuwa admitted?
Au lengo ni kuzalisha idadi kubwa ya muslims wenye shahada tu?
 
Ila kwenye ratio ya muslim na Christians,kweli wakristo ni wachache sana sasa cjajua kuwa wakristo hawaombi au hawawi selected?

hakuna mkristo(khafir)kama wanavyo dai pale ila angalia tumaini st j na st aug utaniambia tu
 
Wewe mtoto najua wewe ni ex form six aspiring for university education. Sidhani kama baba na mama yako wamekufundisha matusi , ULAANIWE wewe na UZAO wako: NAKULAANI! UKO UNAKOKWENDA UDISKO UENDE MITAANI

mwenzio ADISCO CHUO ILA WEWE NADHANI UTADISCO MAISHA.
 
mwenzio ADISCO CHUO ILA WEWE NADHANI UTADISCO MAISHA.

Nakula pension mwaka wa 11, uzao wangu wa kwanza, male, yuko Washington, na second born girl and last yuko London. Naandika msg hii nipo kijijini ndani ndani kabisa Bukoba, you can not imagine. Kwa kiasi fulani, sio sana maisha hayajanidisco. Basi naondoa laana. Mungu akubariki uendelee vizuri na shule yako. Uwe ka kauli nzuri humu wengine ni wazee wako.
 
TCU wanajipa kazi zisizo za kwao? Wao wanatakiwa washughulikie masuala ya sera na miongozo na sio kudahili wanafunzi. Suala la kudahili wanafunzi ni la vyuo vikishirikiana na baraza la mitihani. MUM wapo sahihi na wanachokifanya ndiyo inatakiwa vyuo vingine viangalie. TCU wanavifanya vyuo viwe kama shule za sekondary mtu anapangiwa aende wapi. This is wrong, University mwanafunzi ndoo unachagua uende chuo gani na unaweza hata ukawa unawafuata specific professors. Kwa mtindo huu ndoo maana tunazalisha viazi halafu tunaanza kulalamika. Nimelazie uzi wangu kwa kuwakumbusha jinsi mwl. Nyerere alivyoelezea maaana ya university kwa kimombo. Alisema hivi " A University is an institution of higher learning, a place where people's mind are trained for clear thinking, analysis and problem solving at the highest level" Je TCU inavisaidieje vyuo vyetu kufikia tafsri hii ya mwalimu Nyerere? Tujadili
 
aisee, kwanza sio MUM pekeyake haipo TCU vpo vio vngne ambavyo havpo TCU, na pia MUM ni chuo cha kidini kuna masomo ya kawaida na kidini pia. asa ukisema wapitie TCU inamana watapelekewa wanafunzi ambao ni tofauti na vigezo ambavyo wameviweka, that's why wakataka kwa atakayetaka achukue form chuoni hyo inamana atakua amekubaliana na masharti ya chuo. Na sio MUM tu haa vyuo vingine vyote kuna wanao chukua form vyuon na si kupitia TCU
 
c kweli kwa mwanafunzi mwnye 4 kuwa addmited MUM, asa alikua na 4 at o level how comes akaweza kuingia A level?
 
  • Thanks
Reactions: Wun
Mimi binafsi nasoma MUM chuoni pale kuna uzingatiwaji wa maadili kupita maelezo kwaiyo si kila mtu anaitajika kusoma pale ndo maana chuo kina MISSION & VISION yake ?
 
Back
Top Bottom