Tangazo Hili la Haki Elimu Linamdhihaki JK.

kapotolo

JF-Expert Member
Sep 19, 2010
3,727
2,214
Kuna tangazo la Hakielimu ambalo mwalimu anafundisha somo la computer kwenye shule ambayo jengo lake linakaribia kuangua, wanafunzi wanaona mchoro wanaulizana ile sijui nini iko kama video, wanalalamika mwalimu angekuja nayo labda wangeelewa. Lakini masikini shule haina umeme wala haijulikani lini itapata umeme, kwa sababu hata jengo lenyewe ukiweka umeme umeweka mtego kwa watoto, kwa hiyo somo la computer practically ni ndoto.

Nikiliangalia Tangazo hili naona kama wanamdhihaki JK na ahadi yake ya kueneza computer katika mashule nchini kwa ajili ya kujifunzia. Kwamba hili haliwezekani kwa kuwa shule hazina miundombinu ya kusupport matumizi ya computer.

Sijui wenzangu mnalionaje tangazo lile.
 
nadhani tangazo linaongelea kuhusu nadharia na vitendo ktk elimu yetu kuanzia msingi hadi vyuo vikuu, na sio hiyo ahadi ya computer pekee!tumesoma mi-chemistry hiyo unaangalia mashine za kufanya analysis unaambiwa ziko 2 tu tz,hii na ya kwa mkemia mkuu so msishike.kiufupi elimu yetu ni ya kukariri na haitusaidii kuelewa wala kukumbuka.saa hizi mambo ambayo ulisoma chuo na huyafanyii kazi ukiulizwa na mtu ni aibu tupu!
 
Hawa hakielimu waangalie sana, hii ahadi ya pc kwa kila mwanafunzi ss ttulikuwa tumeshaanza kuisahau na hasa kwa kuwa rural electrification bado inafanyikia mjini. JK awachukulie hatua kali
 
<p>
Hawa hakielimu waangalie sana, hii ahadi ya pc kwa kila mwanafunzi ss ttulikuwa tumeshaanza kuisahau na hasa kwa kuwa rural electrification bado inafanyikia mjini. JK awachukulie hatua kali
</p>
<p>&nbsp;</p>
hahaha,na kweli rural electrification bado inafanyika mjini!huu umaskini tutaukomesha ngoja misafara ikolee kwanza.halima mdee aliuliza lile bunge la mwisho kabla ya uchaguzi pinda akamjibu kiutani utani tu!ahadi ya toka 2005
 
Hawa hakielimu waangalie sana, hii ahadi ya pc kwa kila mwanafunzi ss ttulikuwa tumeshaanza kuisahau na hasa kwa kuwa rural electrification bado inafanyikia mjini. JK awachukulie hatua kali

Dah, mkuu hapo kwenye red umenifanya nicheke sana........yaani inaitwa Rural electrification alafu inafanyikia magogoni!...hahahaaa
 
HAKI ELIMU ni NGO ambayo indeed ni mwiba kwa serikali na taasisi zake, ni kama CDM
 
Hawa hakielimu waangalie sana, hii ahadi ya pc kwa kila mwanafunzi ss ttulikuwa tumeshaanza kuisahau na hasa kwa
kuwa rural electrification bado inafanyikia mjini. JK awachukulie hatua kali

naona na ww huelewi unachokiongoea!!!
 
Katika matangazo ambayo ni mazuri na ni fundisho kwetu na serikali ni hili, mimi naona ni changamoto kwa serikali ili itimize ahadi zake, binafsi nalifurahia sana sana, na kati ya matangazo ya HakiElimu, hili ndo tangazo hasa
 
kwaukwel lipo sawa kabisa mana hata shule za msingi hapa mjin hazina umeme hvyo hakuna tatzo lipo sawa kabisa yan lipo flesh wala halimfedhesh wala nini yeye mwenyewe ame2haid uwongo
 
Tangazo hili huwa linanifurahisha sana.....hii ni sipiyu sawa jamani? ha ha ha ha.....viva haki elimu!!!

hahaha SIPIYU yule ticha msanii sana si ni yule tangazo la kwanza alikuwa mwalimu anayesisitiza wanafunzi wake waongee kiingereza na yeye mwenyewe ni cha kuungaunga!
 
Safi sana Haki Elimu...

".. Ukitaka kuzima unabonyeza windows...halafu kioo kinabadilika rangi kuwa nyeusi...."
 
Hapa hakuna dhihaka ila ni kuwakumbusha wakubwa ahadi zao ziendane na uhalisia wa mazingira yetu vinginevyo itakuwa ni usanii tu .
 
hiii ni sipiyu ,jaaaaaami kweli tutafika ama ndio kama kuukimbiza upepo?let the man be serious na si kujuvuua magamba bila mpango wowote.
 
....unabofya yaani unaklik alafu rangi inaanza kubadilika kama kujivua gamba au sio jamani .... msiogope ni rahisi....
 
Back
Top Bottom