omujubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 4,325
- 2,498
Heshima mbele wana jamvi
Ni zaidi ya saa 24 sasa tangu mgomo wa madaktari uanze.
Je, ni kweli serikali imeshatoa tamko au taarifa rasmi juu ya mgomo au bado. Na kama bado inasubiria nini. Au ndio uleule ugonjwa aliosema ndugu yetu mwingine ambaye naye yuko Ujerumani kwa ajili ya check up ya macho!? yaani Kutokuwa na Maamuzi.
Nimemuona jana Mh. Waziri Mkuu akiongea pale Ikulu lakini ilivyokuwa ni kama alikuwa anaongea kama Ngugu Mizengo Pinda na sio Waziri Mkuu. Nasema hivyo kwa maana iaelekea waandishi walimvamia na ndio akasema alivyosema kwa hiyo sidhani kama hiyo inaweza kuwa taarifa rasmi.

bado napitia pitia vyanzo vya habari na sioni tamko la Serikali
hivi waziri na naibu wake si wajiuzulu tu wenyewe maana mgomo huu ni kwa ajili yao!!
mpaka sasa kikwete yuko kimya