Tamko la CHADEMA kuhusu Mabomu ya Gongo la Mboto

wanajeshi wetu wa ngazi za juu hawataki kukaa porini, wanataka kukaa oysterbay na masaki kisha waende kazini asubuhi kama waziri anavyofanya. hili ndilo lililotufikisha hapa kwamba vifaa vya kijeshi inabidi viwafuate wakubwa wa jeshi dar

Nafikiri kwa viongozi wenye akili...sasa wameona madhara ya kuweka silaha kubwa mijini.... wazipeleke huko kwenye majeshi porini!! It is enough kuona innocent people are dying kwa uzembe wa viongozi wetu!
 
Wanatakiwa kujiuzuru kwa sababu hawajachukua tahadhari yoyote baada ya issue ya Mbagala. Siyo issue ya kufanya utafiti tena - kwa sababu tayari kuna findings.
 
Wanatakiwa kujiuzuru kwa sababu hawajachukua tahadhari yoyote baada ya issue ya Mbagala. Siyo issue ya kufanya utafiti tena - kwa sababu tayari kuna findings.

tena wewe cdf- chief of defense forces ndio unatakiwa ujiuzulu wa kwanza
 
Wanatakiwa kujiuzuru kwa sababu hawajachukua tahadhari yoyote baada ya issue ya Mbagala. Siyo issue ya kufanya utafiti tena - kwa sababu tayari kuna findings.

Haswaaaaa, kutokea milipuko ya namna ile ile kwa mara ya pili ni sababu tosha wajiuzulu
 
Nafikiri kwa viongozi wenye akili...sasa wameona madhara ya kuweka silaha kubwa mijini.... wazipeleke huko kwenye majeshi porini!! It is enough kuona innocent people are dying kwa uzembe wa viongozi wetu!

Hebu mfano wa kiongozi mmoja mwenye akili kwenye hii serikali mama
 
Ukisikia viongozi hawana dira ndio hawa ,yaani baada ya kuitisha uchunguzi unakurupuka na kusema nani na nani wajiuzulu,basi huyo msemaji nae ajiuzulu ,wacheni uhuni,yaani unarukia watu wajiuzulu wakati hujui ni nini chanzo cha tukio.

Wandugu mkisikia watu wanajiuzulu huko majuu msifikiri wanakurupuka tu na kuachia ngazi kuna stage mbalimbali hupitwa na ndio kufikia ni nani wa kujiuzulu.

Mi nilifikiri katika taarifa hiyo CDM wamefanya uchunguzi na kugundua chanzo na sababu ni ya wakuu flaniflani ,kumbe hamna kitu ni mazungumzo baada ya habari.
Kwa ufupi tahadharini na habari za mitaani na kuzivalia njuga ,mtakuja kuumbuka baadae,embu wekeni kitengo cha uchunguzi na muwe mnazifanyia uchunguzi habari kabla hamjazitilia ubavu, yaani mkiulizwa suali la papo kwa papo kwa nini hao wajiuzulu sijui mtajibu dudu gani ? Zaidi mtasema ni uzembe ,mkiulizwa uzembe gani mtaanza kutafuna kucha.
WaCDM wacheni hizo karata za magarasa tumieni turufu ,natumai nimeeleweka.
Mwiba: Nimekusoma, lakini kuna kitu kinaitwa "Accountability Model" hii haihitaji kuwa aliyefanya uzemba ni Waziri au Mkuu wa Ulinzi, ina maana kuwa wako accountable kwa yaliyotokea. Maana yake ni kwamba hata kwa waliochini yao ambao itajulikana wamefanya uzembe lazima wawajibishwe. Pili, hii ni janga "rudia" tulishashuhudia tena 2009 April, na Waziri na General wakasema halitarudia, sasa limerudia, wala hawahitaji kuambiwa wajibikeni, inabidi tu wawajibike wainusuru nchi.
Ubishi ukianza inaweza ikawa baraza zima la mawaziri lijiuzulu pamoja na mwenyekiti wake. Maana yawezekana kabisa CDF kupitia WU wamepeleka mapendekezo ya kufanyiwa kazi ili haya yasitokee tena lakini wakaambiwa hakuna fedha kwenye cabinet ambayo mwenyekiti wake ni rais. Sasa hapo mwenye kosa nani? Unaweza ukaangalia kwa undani ukaona ni system nzima na sasa ili kupunguza chain, inabidi someone somewhere awajibike!!!
Maisha ya watu kupotea, ni kitu cha thamani sana ambayo si rahisi kuthaminisha na chochote kile. Pia WU akijiuzulu itakuwa ni uwajibikaji na pia itamjenga kwa baadaye, kama ilivyomjenga baba yake kwa vifo vya Tabora!!!!
 
Kuitisha maandamano immediately siyo sahihi sana; fikiria familia ambazo zimesambaratika - wazazi hawajui watoto wako wapi na watoto hawajui baba na mama wako wapi; hapa ukiitisha maandamano unazidi kuzikoroga familia za aina hii.
Nashauri maandamano yaanze jumatatu
 
Good chadema ......the peoples party. Huwezi kusikia hata siku moja ccm ikatoa tamoko km hili
Wanasubiri kwenda kupigwa picha wakitembelea eneo lililoathirika, ndio maana Anna nae kaairisha bunge ili awahi huko kupiga picha. Muungu awalaani wote watakaouza sura zao kutokana na tukio hila.
 
Kuna kazi sana Tanzania maana haiwezekani kabisa kwa taifa lenye mambo ya ajabu kama haya na kuona kuwa wanafanya mambo yale yale maana sio siku nyingi sana walisema hakutakuwa na mabomu tena sasa haya yametoka wapi?? maana kama ni kulipuka kuna uwezekano mkubwa sana wa kutokea tena
 
Naunga mkono hoja 100% kwamba kamati Teule ya Bunge iundwe kuchunguza chanzo hasa cha tukio hili - Tatizo huyu mama yetu atakubali hoja hii ijadiliwe bungeni?

Nahisi Mama yetu atasema " Mbunge mleta hoja haya ni mambo ya usalama wa taifa tuache yashughulikiwe na vyombo husika, na waziri kwenye dhamana atatupa habari baada ya uchunguzi kukamilika" mwisho wa kunukuu
Inasikitisha sana aisee mbona tunaleta utani kwenye mambo haya!
 
Ukisikia viongozi hawana dira ndio hawa ,yaani baada ya kuitisha uchunguzi unakurupuka na kusema nani na nani wajiuzulu,basi huyo msemaji nae ajiuzulu ,wacheni uhuni,yaani unarukia watu wajiuzulu wakati hujui ni nini chanzo cha tukio.

Wandugu mkisikia watu wanajiuzulu huko majuu msifikiri wanakurupuka tu na kuachia ngazi kuna stage mbalimbali hupitwa na ndio kufikia ni nani wa kujiuzulu.

Mi nilifikiri katika taarifa hiyo CDM wamefanya uchunguzi na kugundua chanzo na sababu ni ya wakuu flaniflani ,kumbe hamna kitu ni mazungumzo baada ya habari.
Kwa ufupi tahadharini na habari za mitaani na kuzivalia njuga ,mtakuja kuumbuka baadae,embu wekeni kitengo cha uchunguzi na muwe mnazifanyia uchunguzi habari kabla hamjazitilia ubavu, yaani mkiulizwa suali la papo kwa papo kwa nini hao wajiuzulu sijui mtajibu dudu gani ? Zaidi mtasema ni uzembe ,mkiulizwa uzembe gani mtaanza kutafuna kucha.
WaCDM wacheni hizo karata za magarasa tumieni turufu ,natumai nimeeleweka.
Light travels faster than sound. This is why some people appear bright until you hear them speak.
 
Chadema Tamko lenu lina mapungufu yafuatayo:-

a. Kwanza waziri wa ulinzi amehusika vp na mlipuko wa Gongo la mboto hamjajua pengine ni uchakavu wa vifaa, ubovu wa kambi zenyewe, joto kali na mvua ya ghafla iliyonyesha jumamosi,jumapili mpaka jumatatu, hujuma pengine vyote vinachangia kutokea mlipuko kama huo nyie mmekimbilia kuwahukumu mawaziri pasina kujadili chanzo cha mlipuko huo???

b. Chadema kabla ya kuandika barua hii wangelianza kwa mfano kwenda kuwasaidia walioathirika wamebakia maneno tu vitendo hakuna. Watupatie basi zile millioni 90 zipunguze makali ya uchungu tulionao badala kukaa kuanza kulaumu pasina wao kwanza kutoa msaada.

c. Nawaunga mkono ripoti ya mbagala iko wapi na matatizo yalikuwa wapi na kwanini hili jambo limeendelea. Tukishafahamu tatizo liko wapi ndio tuandamane na kuwang'oa CCM wote.

Kuna mambo nawaunga mkono chadema ila hili kuwanyooshea vidole viongozi wakati nyie hamna lolote mlilolifanya siwaungi tena bora hata msiwaseme tunataka vitendo.
 
halafu nyie cdm acheni kuingiza siasa kwenye issue siriaz, tunazungumzia vifo nyie mnafikiria kujiuzulu. ebu onyesheni kujali kwenu kwa wahathirika kwa vitendo, mfn ningesikia cdm wabunge au chama wametoa milioni kazaa kama pole, mnabaki kelele tu huku mnamun'gunya mamilioni ya posho na ruzuku ya uchaguzi. tuache siasa kwenye mambo ya ukweli tuishauli serikali kipi cha kufanya kwa sasa,
we mpumbavu kweli watu wamekufa wewe unasema kupeleka pesa nyinyi mafisadi kibuli cha pesa kinawapeleka pabaya saana unatuua kwa maboom kisha mtulipe?? Mungu atawalaaani tuuuu nyinyi na sasa iwe kwenu tuu!
 
mwiba hivi wewe ni mtanzania mzalendo kweli?hivi unaweza kifamfanyia uchunguzi kiongozi wakt bado ameshikilia madaraka?au uccm umekulevya?mbona hueleweki wewe?
M
 
Chadema Tamko lenu lina mapungufu yafuatayo:-

a. Kwanza waziri wa ulinzi amehusika vp na mlipuko wa Gongo la mboto hamjajua pengine ni uchakavu wa vifaa, ubovu wa kambi zenyewe, joto kali na mvua ya ghafla iliyonyesha jumamosi,jumapili mpaka jumatatu, hujuma pengine vyote vinachangia kutokea mlipuko kama huo nyie mmekimbilia kuwahukumu mawaziri pasina kujadili chanzo cha mlipuko huo???

b. Chadema kabla ya kuandika barua hii wangelianza kwa mfano kwenda kuwasaidia walioathirika wamebakia maneno tu vitendo hakuna. Watupatie basi zile millioni 90 zipunguze makali ya uchungu tulionao badala kukaa kuanza kulaumu pasina wao kwanza kutoa msaada.

c. Nawaunga mkono ripoti ya mbagala iko wapi na matatizo yalikuwa wapi na kwanini hili jambo limeendelea. Tukishafahamu tatizo liko wapi ndio tuandamane na kuwang'oa CCM wote.

Kuna mambo nawaunga mkono chadema ila hili kuwanyooshea vidole viongozi wakati nyie hamna lolote mlilolifanya siwaungi tena bora hata msiwaseme tunataka vitendo.
huuu ni ujinga kwakweli wewe ni mbunge wa ccm au unacheo gani mkuu!???
 
Back
Top Bottom