Al Zagawi
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 2,461
- 1,448
Naunga mkono hoja, Mh Dr H. A. Mwinyi, na General Mwamnyange onyesheni uadilifu wenu.
ikiwa wanao uadilifu wa kutuonyesha.
Naunga mkono hoja, Mh Dr H. A. Mwinyi, na General Mwamnyange onyesheni uadilifu wenu.
kweli madhara tumeyaona................waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wajihudhuri kwa uzembe wa mara ya 3 kutokeaChadema walishatuonya wakati wa kampeni kuwa kuichagua CCM ni kuleta maafa katika nchi hii,sasa nimeelewa maana ya kauli ile. Maafa kama haya ya kizembe yataendelea kutokea siku hadi siku (nasi tutabaki kusema Mungu aepushilie mbali) kwa vile hakuna wa kumwajibisha mwenzie ndani ya serikali hii. Wale wabunge wa chama kinachowakilisha watanzania kila wakisema yaliyo ya msingi wanaishia kuzomewa na hao wabunge maslahi.
huuu ni ujinga kwakweli wewe ni mbunge wa ccm au unacheo gani mkuu!???
Chadema Tamko lenu lina mapungufu yafuatayo:-
a. Kwanza waziri wa ulinzi amehusika vp na mlipuko wa Gongo la mboto hamjajua pengine ni uchakavu wa vifaa, ubovu wa kambi zenyewe, joto kali na mvua ya ghafla iliyonyesha jumamosi,jumapili mpaka jumatatu, hujuma pengine vyote vinachangia kutokea mlipuko kama huo nyie mmekimbilia kuwahukumu mawaziri pasina kujadili chanzo cha mlipuko huo???
b. Chadema kabla ya kuandika barua hii wangelianza kwa mfano kwenda kuwasaidia walioathirika wamebakia maneno tu vitendo hakuna. Watupatie basi zile millioni 90 zipunguze makali ya uchungu tulionao badala kukaa kuanza kulaumu pasina wao kwanza kutoa msaada.
c. Nawaunga mkono ripoti ya mbagala iko wapi na matatizo yalikuwa wapi na kwanini hili jambo limeendelea. Tukishafahamu tatizo liko wapi ndio tuandamane na kuwang'oa CCM wote.
Kuna mambo nawaunga mkono chadema ila hili kuwanyooshea vidole viongozi wakati nyie hamna lolote mlilolifanya siwaungi tena bora hata msiwaseme tunataka vitendo.
Mkuu heshima kwako mkuu hata mimi ni mmoja wawaathilika wamaboom hayo mkuu! But kwa hili lazima watu wawajibike hata kama ni hujuma ilitakiwa wazitambue mapema sasa kazi yao ni nini mkuu kama wanashindwa kulinda silaha zao wenyewe na wanajua kuwa maboom ni very sensitive yaani hata kama walimpa mtu asiyenaakili kwanini!? wawajibishwe mkuu ni njia pekeee ya kufanya kabla hawajaleta siasa hapa! I HATE SIASA mkuu hasa kwa mambo kama haya, Hii ni mala ya 3 kitu kilekile mkuu unakaa wapi wewe!? Kama leo ni kwetu ujue itakuja kwako tuu siku moja hawa watu si wakuwachekea hata kidogo WATOKE WAWAACHIE WANGINE HUO NDO USTAARABU MKUU!Henge sina cheo mkuu na infact mie pia nimeathirika na hayo mabomu kwani kuna ndugu zangu ni wakaazi wa huko ila wewe huoni kama kuwahukumu viongozi ikaja kutokea ni hujuma iliyopangwa utasemaje? Think twice mkuu usikurupuke tu kukumbatia kitu halafu ukaja kujuta baadae.
Mkuu wewe ni Mtanzania?
Mkuu heshima kwako mkuu hata mimi ni mmoja wawaathilika wamaboom hayo mkuu! But kwa hili lazima watu wawajibike hata kama ni hujuma ilitakiwa wazitambue mapema sasa kazi yao ni nini mkuu kama wanashindwa kulinda silaha zao wenyewe na wanajua kuwa maboom ni very sensitive yaani hata kama walimpa mtu asiyenaakili kwanini!? wawajibishwe mkuu ni njia pekeee ya kufanya kabla hawajaleta siasa hapa! I HATE SIASA mkuu hasa kwa mambo kama haya, Hii ni mala ya 3 kitu kilekile mkuu unakaa wapi wewe!? Kama leo ni kwetu ujue itakuja kwako tuu siku moja hawa watu si wakuwachekea hata kidogo WATOKE WAWAACHIE WANGINE HUO NDO USTAARABU MKUU!
mkuu pesa kitu gani kwenye maisha ya watu mkuu!henge,
mkuu mie sikatai ila kwanza tujue chanzo nini maana kuna maeneo mengi, upanga, kigamboni, lugalo, kawe, kunduchi, na kwengineko sasa tuambiwe chanzo nini au kama vp wahamishe makambi yao kwenda huko mbali na makazi ya watu. Kukimbilia kuwaambia mawaziri wastaafu sio sahihi mkuu kwani kama hakuhusika kwanini ajiuzulu, ila kama amehusika then ni sahihi na yeye ajiuzulu. Kwasasa hivi tunataka kwanza an emergency plan watu wamepoteza baba zao na mama zao huku, watu wamepoteza watoto wao, nyumba, biashara, marafiki, wangelichukua pesa wanazogawana bungeni kuwasaidia hawa jamaa kwanza kuwapoza hasira. Then ikaanza utafiti wa nini chanzo na kutafuta solution ya moja kwa moja. Sio kukimbilia kufukuza watu kama mapunda wakati chanzo hujakijua wakikuambia kuwa mhusika ndio yule uliyemfukuza utasemaje???
swala hapa sio mushabiki,waziri mwinyi alichukua hatua gani za kuwalinda raia baada ya milipuko ya mbagala?katika hili ni lazima wawajibike kwani hata kama ni bahati mbaya yani ni ndani ya miaka miwili tu?na mbaya zaidi wao wenyewe ndio waliowahakikishia wananchi kuwa maeneo yale ni salama kwa kuishi kwakuwa hali kama ile haitajirudia tena?sasa leo hii imejirudia tena kwa ari zaidi,nguvu zaidi na kasi zaidi!kama umeamua kuleta ushabiki mbele ya mambo ya msingi hapo sitakataa...na sitoshangaa wakiunda tume zao kuendelea kutafuna pesa zetu walipa kodi,na sitotarajia majawabu ya msingi kutokana na tume zao,kwani kwa uzoefu wa kawaida hakuna tume iliyowahio kuundwa na serikali ya awamu hii ya nne ikawa na mafanikio katika kutoa majawabu ya matatizo husika zaidi ya kubebana na kufichiana makosa kwa kisingizio cha bahati mbaya,sasa umefika wakati wahusika waachie ngazi na uchunguzi huru ufanywe kwani huwezi kumpa panya kesi ya kuiba mahindi na ukategemea upate majawabu ya tatizo husika.Mfano mzuri hadi leo hii yaku wapi majibu ya kashfa ya Polisi waliotaka kumbambikia madawa ya kulevya mtoto wa mengi?cha ajabu polisi hao wameamishwa vitengo tuu na hakuna jipya.....Chadema Tamko lenu lina mapungufu yafuatayo:-
a. Kwanza waziri wa ulinzi amehusika vp na mlipuko wa Gongo la mboto hamjajua pengine ni uchakavu wa vifaa, ubovu wa kambi zenyewe, joto kali na mvua ya ghafla iliyonyesha jumamosi,jumapili mpaka jumatatu, hujuma pengine vyote vinachangia kutokea mlipuko kama huo nyie mmekimbilia kuwahukumu mawaziri pasina kujadili chanzo cha mlipuko huo???
b. Chadema kabla ya kuandika barua hii wangelianza kwa mfano kwenda kuwasaidia walioathirika wamebakia maneno tu vitendo hakuna. Watupatie basi zile millioni 90 zipunguze makali ya uchungu tulionao badala kukaa kuanza kulaumu pasina wao kwanza kutoa msaada.
c. Nawaunga mkono ripoti ya mbagala iko wapi na matatizo yalikuwa wapi na kwanini hili jambo limeendelea. Tukishafahamu tatizo liko wapi ndio tuandamane na kuwang'oa CCM wote.
Kuna mambo nawaunga mkono chadema ila hili kuwanyooshea vidole viongozi wakati nyie hamna lolote mlilolifanya siwaungi tena bora hata msiwaseme tunataka vitendo.
ntaandamana mimi na mke wangu na mwanangu, kama risasi bora tupigwe!nahisi majibu ya waziri yanaweza kua hivi
mimi kama waziri sijiuzu na sitafukuzwa kazi kwa sababu zifuatazo
•nchi yetu hatuna historia ya kufukuzana kazi
•pia hatuna utaratibu wa kujiuzulu ovyo hovyo, wazungu wao hujiuzulu ovyo hovyo kwa sababu wanajiweza kifedha, mi nikijiuzulu unataka familia yangu ikale wapi.
•tatu, tulisema milipuko kama ya mbagala haitatokea tena, kwa kuthibitisha hivyo, mbagala yalipiga mchana, gongo la mboto yamepiga usiku, huoni hapo kama ni tofauti? Kua kama msomi, hata mungu alipoahidi hataiangamiza dunia kwa mvua, haina maana mvua hazinjeshi tena.
•sababu ya milipuko ya gongo na mbagala ni tofauti, mbagala ilikua ni uchakavu. Gongo ilikua ni sikukuu na mkusikia fataki hata moja, hii ina maana iliwakilisha fataki pia, pia chama cha riadha kinakufa kwa hiyo ilikua nafasi ya kuwapata wanariadha pia, pia hua tunafanya majaribia oa mioto, hii pia ilikua kujaribu milio ya somalia pia.
Mwisho kabisa naomba kumwambia selathin kua yeye mwenyewe tembo husumbua wananchi wake kila mwaka huko rombo, mbona hajiuzulu huo uwaziri kivuli? Kujiuzuli sio mchezo
Jamani hili la ajali lichukuliwe kwa uzito wake na si kwa ushabiki wa kisiasa...kiungwana nadhani zifanyike juhudi za haraka za kuokoa maisha ya wahanga wa tukio hili na zichukuliwe hatua za haraka kuhakikisha hakuna maafa zaidi baadaye...na baadaya hali kuwa shwari mamlaka husika zijipime kama kuna uzembe wowote katika hili uwajibikaji uwepo!
mkuu pesa kitu gani kwenye maisha ya watu mkuu!
Kwa hapo anahusika tuu apende asipende lipoti ya kwanza aliifanyia kazi gani,
mkuu unamtetea means hakuna viongozi wengine mkuu,
unataka awe mhusika mpaka aonekane alikwenda kwenye hilo ghala,
kunakuhusika kwa namna nyingi mkuu na kwa upande wamwinyi hana pakujitetea.
Kama serikali inawatendaji wa hovyo hovyo maafa kama haya yataendelea kujirudiarudia maana hakuna utatuzi wala tahadhari yeyote inayochukuliwa. Kweli ni janga la kitaifa,lakini halituzuii kuwanyooshea kidole wale wahusika. Ndio wajibu wetu. Ulitaka tukae majamvini na kulia tuu kuwa mapenzi ya Mungu yatimizwe? Think twice!Tuache ushabiki wa kisiasi,hili ni janga.Sidhani kama chadema walijua janga hili kwa umoja wetu tuhakikishe wahanga wanahudumiwa kwanza,watu wanawajibishwa tena kwa uwazi hasa viongozi.
Henge,
Mkuu mie sikatai ila kwanza tujue chanzo nini maana kuna maeneo mengi, Upanga, Kigamboni, Lugalo, Kawe, Kunduchi, na kwengineko sasa tuambiwe chanzo nini au kama vp wahamishe makambi yao kwenda huko mbali na makazi ya watu. Kukimbilia kuwaambia mawaziri wastaafu sio sahihi mkuu kwani kama hakuhusika kwanini ajiuzulu, ila kama amehusika then ni sahihi na yeye ajiuzulu. Kwasasa hivi tunataka kwanza an emergency plan watu wamepoteza baba zao na mama zao huku, watu wamepoteza watoto wao, nyumba, biashara, marafiki, wangelichukua pesa wanazogawana bungeni kuwasaidia hawa jamaa kwanza kuwapoza hasira. Then ikaanza utafiti wa nini chanzo na kutafuta solution ya moja kwa moja. Sio kukimbilia kufukuza watu kama mapunda wakati chanzo hujakijua wakikuambia kuwa mhusika ndio yule uliyemfukuza utasemaje???
mkuu nimekungongea lihasante hapo juu hilo lihasante nikwamsaada uliotoa na huo ndiyo utu mkuu! Asante sana!mkuu,
umeenda hospitali ya amana kuna nesi mmoja nimesikia alitaka kudai hela eti dawa hakuna anasahau watanzania hawa wanalipa kodi zinazoilipa hospitali ya amana nasikia watu karibu wampige. Sasa serikali iwe na emergency plan ya pesa kama vitu vya kula, nauli na dawa. Mie tangu lianze hilo zahama jana usiku hadi sasa nimeshatumia pesa nyingi sana kwa ndugu jamaa na majirani maana kuna watu hata kadi za benki wameacha nyumbani. Vilevile huko majumbani kumeibiwa hakutamaniki sasa usiseme hela haina faida ni muhimu sana mkuu.
Pili kumfukuza mtu wakati hatujajua kosa sio sahihi ninavyoona mie. Kuna mtu amesema ni uwajibikaji lakini uwajibika wakati hujajua kama kuna makosa au uzembe umefanyika ni sahihi?. Hatujajua nini kimetokea mbagala tunakimbilia kuwaambia jamaa wajiuzulu niwaulize wajiuzulu kwa lipi??? Pia ikija ikagundulika akina dr hussein mwinyi walifanya kazi yao ila ukata umesababisha hizo solution kutekelezeka mtasemaje? Au pengine zilitekelezwa but kuna watu wanafanya hujuma kuleta hofu nchini mtasemaje?? Bado sikubaliani nanyi kwa hilo i am very sorry.