JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,308
- 5,460
Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi anasema "Ilipotokea ajali ya mabomu kule Gongo la Mboto, mimi nikiwa Waziri wa ulinzi nilipeleka ujumbe kwa Rais wangu wakati huo Mhe. Kikwete nikimtaka aliridhie nijiuzulu lakini sikukurupuka kwenda kwenye vyombo vya habari nikatangaza kwamba nimejiuzulu sio utaratibu.
Utaratibu unataka umwambie aliyekuteua akubali ndio ukatangaze kujiuzulu, Mhe.Kikwete akasema hii ni ajali huna sababu ya kujiuzulu, hakuna mtu aliyesikia kama nilitaka kujiuzulu leo nasema hili hadharani lakini sikuwahi kulisema."