Tamko fupi la Jumuiya ya Madaktari - Juni 28, 2012

Kamanda Msangi aliyemkamata na kumtesa Dr Ulimboka yupo katika jopo la kuchunguza nini kilimtokea Dr Ulimboka. Alipofika kumuhoji Dr Ulimboka alimwambia 'Nirudishie simu na waleti yangu'. Kamanda Msangi taratibu akatoka wodini kichwa chini.

ukweli utajulikana tu!there is no perfect crime
 
  • Thanks
Reactions: 654
Kamanda Msangi aliyemkamata na kumtesa Dr Ulimboka yupo katika jopo la kuchunguza nini kilimtokea Dr Ulimboka. Alipofika kumuhoji Dr Ulimboka alimwambia 'Nirudishie simu na waleti yangu'. Kamanda Msangi taratibu akatoka wodini kichwa chini.

ah ah ah ah ah....what? Hatuna Jeshi la polisi!
 
Mbona katika madai ya madaktari kinacho tamkwa sana ni posho mbalimbali na mishahara?Kama kweli wanaumia kuon watanzania wakisongamana hospitalini mbona sasa wana waacha wana kufa bila kuonyesha jitihada za kuokoa maisha wagonjwa hao?Hu ni uzalendo au ubinafsi mbele?

hata mimi hili linanitatanisha,ni kama hawafahamu kua hawamgomei mtt wa mkulima au baba riz wanatugomea watanzania wa hali za chini kbs,tufe kwa maslah ya matumbo yao!
 
roho ya binadamu haitoki kirahisi namna hii ....imekula kwao waliodhani watampoteza Dr. Ulimboka
 
Wazushi tu nyinyi ..nyinyi mnadai fedha sasa mnakuja na uboreshaji wa afya .tumewachoka sasa msifikiri sisi wananchi tuko pamoja nanyi wauaji wakubwa ambao mumeweka fedha mbele... tumewachoka kama mmeshindwa kufanya kazi serikali nende mkaazishe zahanati zenu..... hongera serikali asiyetaka kazi fukuzeni tu tujue moja hatuna hawa binadamu wapenda fedha badala ya utu kwanza. mana madai yenu ya msingi mumetekelezewa lakini bado tu sijui mnawatakia nini watz... mengine mumeambiwa yatatekelezwa huko mbeleni kama uwezo ukiwepo lakini bado tu..ni haki kusema anajambo lenu nyuma
 
mwanzoni kilichokuwa kinasikika sana kwenye madai ya migomo yao ilikuwa ni mishahara kupanda na allawances sasa hv mambo yamekuwa magum mumeanza kuhusisha na matatizo ya wananchi ili mpate saport hamna lolote msemo wa mhe.pinda acha liwalo na liwe
 
Jamani sasa fike mahali Watanzania tusimame kwa Tanzania tuache nidhamu ya uoga na udhaifu usio na manufaa kwanini tusiungane kwa pamoja na kuihoji serekali juu ya uozo na utumbo unaoendelea? Poleni sana Madaktari haswa Dr. Ulimboka usihofu Mwenyezi Mungu atakuafu... Heri kufa ukipigania Haki kuliko kufa kwa maradhi ya uzembe. Godbless Lema...
 
wazushi tu nyinyi ..nyinyi mnadai fedha sasa mnakuja na uboreshaji wa afya .tumewachoka sasa msifikiri sisi wananchi tuko pamoja nanyi wauaji wakubwa ambao mumeweka fedha mbele... tumewachoka kama mmeshindwa kufanya kazi serikali nende mkaazishe zahanati zenu..... hongera serikali asiyetaka kazi fukuzeni tu tujue moja hatuna hawa binadamu wapenda fedha badala ya utu kwanza. mana madai yenu ya msingi mumetekelezewa lakini bado tu sijui mnawatakia nini watz... mengine mumeambiwa yatatekelezwa huko mbeleni kama uwezo ukiwepo lakini bado tu..ni haki kusema anajambo lenu nyuma

Hata kama wanadai fedha ni haki yao. Sheria inawaruhusu. Na serikali kama inaona kuua mtu anayedai haki ni sahihi imekula kwao. Kwa taarifa yenu madaktari wote wanaacha kazi. Hata hao wanaoenda kutibiwa ulaya watakufa tu kwa sababu hawatakuwa na madaktari wa kuwasaidia njiani. Kuna vijamaa vingine afya mbovu vinadondoka dondoka ovyo lakini vinatuma watu waue. Vikidondoka tena this time vitakufa
 
Nashukuru Mungu Baba kwa kuwa naiona Tanganyika uitakayo inakuja kwa nguvu na ushindi mkubwa toka katika mikono ya wanyang'anyi na wezi, toka kwenye mateso na dhuruma kwenda kwenye maziwana asali. Amen
 
Hata kama wanadai fedha ni haki yao. Sheria inawaruhusu. Na serikali kama inaona kuua mtu anayedai haki ni sahihi imekula kwao. Kwa taarifa yenu madaktari wote wanaacha kazi. Hata hao wanaoenda kutibiwa ulaya watakufa tu kwa sababu hawatakuwa na madaktari wa kuwasaidia njiani. Kuna vijamaa vingine afya mbovu vinadondoka dondoka ovyo lakini vinatuma watu waue. Vikidondoka tena this time vitakufa

hizo pesa wanazopewa na mabwana zao waarabu haziwatoshi mpaka watuletee chokochoko . nani alikuambia afya mbovu au ndio wimbo wenu huo Uamsho na masultani??
 
David Abeid bado anaishi? inakuaje kama kweli kuna peoples power how long shall they kiil our prophets while we stand aside and look? hivi tunaakili sisi, lazima wanza kudondoshwa mmoja baada ya mwingine kuanzia leo,

Kweli kabisa mkuu inauma sana ukimuangalia Dr. Ulimboka.
 
wazushi tu nyinyi ..nyinyi mnadai fedha sasa mnakuja na uboreshaji wa afya .tumewachoka sasa msifikiri sisi wananchi tuko pamoja nanyi wauaji wakubwa ambao mumeweka fedha mbele... tumewachoka kama mmeshindwa kufanya kazi serikali nende mkaazishe zahanati zenu..... hongera serikali asiyetaka kazi fukuzeni tu tujue moja hatuna hawa binadamu wapenda fedha badala ya utu kwanza. mana madai yenu ya msingi mumetekelezewa lakini bado tu sijui mnawatakia nini watz... mengine mumeambiwa yatatekelezwa huko mbeleni kama uwezo ukiwepo lakini bado tu..ni haki kusema anajambo lenu nyuma

hawa ni vibaraka wa masultani na waarabu wanataka kufanya fujo tu hata hawajali maisha ya muafrika
 
mwanzoni kilichokuwa kinasikika sana kwenye madai ya migomo yao ilikuwa ni mishahara kupanda na allawances sasa hv mambo yamekuwa magum mumeanza kuhusisha na matatizo ya wananchi ili mpate saport hamna lolote msemo wa mhe.pinda acha liwalo na liwe

Kama umekuwa unafuatilia huu mgogoro wa madaktari kwa karibu utakumbuka mambo yaliyojadiliwa kwenye mkutano wa Mh Pinda na Madaktari pale Muhumbili. Kwa kukumbusha tu madaktri walimwambia waziri mkuu haya:

1. Serikali sasa ipige marufuku kwa wagonjwa kulala chini
2. Serikali ihakikishe dawa muhimu zinakuwepo wakati wote (kumbuka ukosefu wa hizi dawa ndio unachangia vifo)
3. Watu wanaokufa (bila hata ya mgomo) ni wengi sana na hii ni kwa sababu hakuna dawa.
4. Madaktari kazi yetu ni kuokoa maisha ya mgonjwa, lakini tunashindwa kufanya hivyo kwa sababu hatuna dawa muhimu hivyo wagonjwa wanatufia, mnafikiri (serikali) sisi (madaktari) tuna mioyo ya chuma?

Nimejaribu kuweka summary ya vitu muhimu vilivyojadiliwa kwenye huo mkutano ili kuweka kumbukumbu sawa. Na kama una doubt yoyote, basi jiulize kwa nini wakubwa wamegeuza Muhimbili kuwa kituo cha daladala kabla hawajaenda India? Stephen Ngonyani (Prof Maji Marefu) leo ana ujasiri wa kutukana madaktari kwa sababu ni hivi majuzi tu karudi toka India. Hajaonya adha ya kulala chini sakafuni ukisali ili walau upate aspririn.

Kwa kifupi sekta ya afya sasa hivi hali ni mbaya mbaya sana. Mgomo wa madaktari ni jambo la kuhuzunisha lakini pengine litatusukuma sasa kama taifa kuangalia sekta hii muhimu inayohusu uhai wa raia. Serikali inaonekana kuwa na hela kwa mambo yake, magari, safari, posho, samadi kila mwaka, lakini linapokuja swala la madaktari serikali hiyo hiyo inalia umaskini. Kwa mtindo huu hatutafika.
 
  • Thanks
Reactions: 654
Kamanda Msangi aliyemkamata na kumtesa Dr Ulimboka yupo katika jopo la kuchunguza nini kilimtokea Dr Ulimboka. Alipofika kumuhoji Dr Ulimboka alimwambia 'Nirudishie simu na waleti yangu'. Kamanda Msangi taratibu akatoka wodini kichwa chini.

aaaaaaaaaah! sasa kwa nini hapohapo raia wema wasingejichukulia sheria mkononi na kumpiga kama mwizi???? je tunahitaj ushahid gani??? Piga ua choma moto ka mwizi'' Liwalo na Liwe''
 
Tamaa za pesa zinawaponza .yani mshahara kima cha chini cha Laki 9 hazitoshi wakati wenu wanalilia nagalu iwe laki 3?Tamaa iatwapeleka kuzimu
 
Tamaa za pesa zinawaponza .yani mshahara kima cha chini cha Laki 9 hazitoshi wakati wenu wanalilia nagalu iwe laki 3?Tamaa iatwapeleka kuzimu

Je ni tamaa ipi ww unayoongelea??? je kuna tamaa zaidi ya watu kujilimbikizia mabilion ya pesa na kuficha nje ya nchi(Uswis),je kuna tamaa ipi kubwa ya watu kuingia mikataba ya ulaghai (madini) kisa wamepewa 20%?? je kuna tamaa ipi kubwa kujilimbikizia posho kubwa 100,000@day? je kuna tamaa ipi kubwa ya kuiba mabilioni ya EPA na kujilimbikizia? bado hujaeleweka unapowatuhum madk eti wanatamaa!!!!!!!!!! shame on you! liwalo na liwe!
 
Back
Top Bottom