Tambwe Hizza amshambulia Mwanakijiji

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
Kwa mlio Tanzania, nasikia Tambwe amemvaa Mwanakijiji "Live" katika Tv ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam almaarufu UDSM...

Kipindi kinaendelea kwa wakati huu, kama kuna ambao wanaangalia tafadhali tufahamishane nini ameongea
 
Anasema wananchi wana imani kubwa sana na CCM na CUF ikiendelea kudorora kama ilivyo sasa mpaka kufikia kwenye uchaguzi 2010 basi CCM itafanya vizuri zaidi na kupita ile 80% ya mwaka 2005.
 
Kasema nini kuhusu Mwanakijiji?
Anasema Mwanakijiji ni nani kwani? JK amechaguliwa na wananchi na Mwanakijiji kazi yake kuandika tu na kumpinga JK kuuchafua uongozi wake.

Am not watching mkuu, am being notified vie SMS na mtu aliye kwenye Tv
 
Anasema Mwanakijiji ni nani kwani? JK amechaguliwa na wananchi na Mwanakijiji kazi yake kuandika tu na kumpinga JK kuuchafua uongozi wake.

Am not watching mkuu, am being notified vie SMS na mtu aliye kwenye Tv

So far yuko 75-85% right!
 
Duh,

Kahitimisha vibaya!

"Mwanakijiji anatumia kijigazeti chake kuchafua amani ya Tanzania"

Vipi unaweza kupata audio/video?

Na sijui hao watu wa tv ya UDSM watampa Mwanakijiji equal amount of airtime kujibu majibu? Na sijui hata kama Mwanakijiji yuko interested na kujibu mapigo? I dunno
 
anyways ananichefua sana!amekunywa maji ya bendera ya chama tawala!ngoja nirudi kulala.
 
Vipi unaweza kupata audio/video?

Na sijui hao watu wa tv ya UDSM watampa Mwanakijiji equal amount of airtime kujibu majibu? Na sijui hata kama Mwanakijiji yuko interested na kujibu mapigo? I dunno
Mwishoni nimepasikia mwenyewe maana aliweka simu kwenye Tv nikasikia akihitimisha kwa namna hiyo!
 
Who is Tambwe Hiza?
tambwe.JPG


accm03.JPG


Mzee wa Propaganda ndani ya CCM
 
Tambwe is a looser just like his brother Makamba na ka gege kao .Tambwe ni msukule tu yaani akili za wana CCM ni za ajabu .Leo kama anadhani Mwanakijiji hasemi ya Ukweli why atumie muda kujibu hoja zake. Tambwe ni muhuni opportunist. Ndiyo nasema kamwambieni then akijua ni mimi ata atafyata maana anajua namjua kuliko anavyo jijua.

Nitatoa siri zake zote anazo zitoa juu ya CCM na move zao ndipo CCM watajua Tambwe si mwenzao anaganga njaa na kutumia kivuli cha CCM kujitajirisha.

Tambwe anaongoza kwa kuwapa wapinzani siri za CCM na woa wanalia lia siri za Chama nk .
Tambwe anakiri yuko pale kwa njaa zake na si CCM
Anasema CCM haibebeki na anasema ana enjoy kupigiwa magoti na mawaziri wakimtaka awasaidie kusema uongo majukwaani
Tambwe huyu jamani naye anajibu hoja za watu walio soma?
Tambwe aliye forge vyeti akaja akanyimwa kugombea Ubunge Temeke enzi za NCCR?

Na hao UD nao kweli wanaweza kuwa kama mzee wa kikofia Makwaia. Kama anadhani mwanakijiji na kigazeti threat kwa amani ya Tanzania CCM waende mahakamani.
 
mwanakijiji usihofu!ujumbe unawafikia kama ulivyokusudiwa,ndo maana wanarespond!KAZA BUTI MKULU!CHECHE INASOMWA HADI NA KINA TAMBWE,NDO MAANA WANAROPOKA KWENYE MEDIA ZINAZOISHIA MAGOMENI
 
Mwishoni nimepasikia mwenyewe maana aliweka simu kwenye Tv nikasikia akihitimisha kwa namna hiyo!
.

Muosha uoshwa.

Mwana kijiji amekuwa akiwashambulia sana wana jf kwa majina tofauti humu ndani.

wacha na yeye achafuliwe.
 
Back
Top Bottom