Tambwe Hizza amshambulia Mwanakijiji

Duh, nimekosa mengi......kwi kwi kwi

Mkuu Mwanakijiji kumbe ulishatia timu Trinidad & Tobago, aisee wee si wa kawaida
 
Duuh, Usemi wa Mudhihiri ulikuwa sahihi...Kuna majoka ya mdimu mengi tu.Hurindima mara baada ya maneno yasiowataja majina kuzungumzwa maana wanaona wanaguswa moja kwa moja
 
bwa ha ha ha ha ha pepeta pepeta tehe tehe tehe hujakosea mashori wanawapenda sana kwa sababu
-ni wahongaji wazuri
-hawana game ya kuchosha.....1 tu lishaanza kukoroma

1237530062_komba6.jpg
usijeshangaa akawa prezidaa
 
Duuh hii kali aisee kumbe mwanakijiji ni babu mwa 1953 haha haha

Pia ni Mzaliwa wa Iringa! Huyu Mwanakijiji anayemzungumza mwanachama Maro ni MKJJ mwingine! Nafikiri si nia yetu kumjua Mwanakijiji ni nani...Tunapenda maandishi yake....Lakini sifa ulizomwagiwa naziogopa!! Mzee unatisha!!
 
eti masuala ya "whoo haaa" (milio ya wafaya karate a.k.a makarateka) au "kiai" ilimshida mzee mzima hahahahaha
 
He looks like a heart attack waiting to happen. Yeye na kaka'ke kapteni hapo pembeni. So what exactly is his position ndani ya CCM? I have to keep up with these fisadis in the making.

Position ya Tambwe katika CCM ni "Ukasuku". Tambwe mwenye elimu ya STD VII (Darasa la saba) anatumiwa na CCM kulopoka kwani hata akikosea watu watasema jamaa hajaenda shule. CCM imejaa wajanja watu wanaona credibility zao zitashuka kwa kuongea Nonsense ndiyo maana wanamtupia Tambwe makombo ili awe msemaji uongo wao.

Tambwe Hiza msela aliyekuwa mtu wa kijiweni kabla ya kuuza uchaguzi wa Temeke kwa CCM yeye akiwa mgombea wa CUF, leo hii analumbana na wasomi?, kweli CCM ni Scavenger kila mzoga inapitia tu.
 
usijeshangaa akawa prezidaa

Kwa bongo hakuna lisilo wezekana. CCM hata wakimsimamisha "Nyau" watamtangaza kashinda uchaguzi. Cha kuomba ni CCM wasimsimamizhe maana kwao uchaguzi unaisha pale wanapopata mgombea wa Chama chao, kinachofuata ni Kiini macho cha kuwahadaa wananchi kwa kangaroo election chini ya Kangaroo tume ya uchaguzi
 
Nakuomba Mzee Mwanakijiji usikate tamaa kwa haya maneno ya kijinga ya hiza. Mjinga hiza anasema jarida la cheche za fikra lina hatarisha amani, je, watu waliokufa kutokana na sumu kule North Mara, hiyo ni kujenga amani??

Je, mapigano ya tarime ambayo ni mradi wa CCM ndo kujenga amani?
Je, watu walidhulumiwa kule buzwagi na wengine wazikwa wakiwa hai kahama ndo kujenga amni?

Mwanakijiji, wewe endelea kutusaidia kufichua uozo na kuuweka hadharani kwa njia hii tutafika. Nasi hapa bongo tunajitahidi lakini hatuna pa kupumlia make mafisadi wamejaaevery corner.
Wanaopigana Tarime wameshiba hao,kwani mwenye njaa hana uwezo wa kurusha hata teke sembuse nchale!
 
Mi tambwe huwa namuana kama wachekeshaji wengine wa michezo ya kuigiza, sijawahi kumsikia ameongea kitu chenye point hata mara moja. kwanza anavyoimba ngonjera mpaka mi nahisi si riski yule.
 
Duu hii ni "Heavy". Mbona MMKJ amekua mkimya sana. Not like you MMKJ, au unatayarisha "Dossier" kwaajili ya huyu Tambwe.

Ukimya wako una send mixed messages..... !
 
Hivi huyu Tambwe Hiza ni nani jamani? sio yule ambaye tunamfananisha na ...............yaani mara leo kwa mwanaume huyu kesho kwa mwanaume mwingine...halafu kazi yake ni ya majungu tu eti propaganda......hana jipya huyo.......anaganga njaa. MWANAKIJIJI YUKO JUU....................
 
tehehe hehe kwa kwa kwa.....huyo Tambwe ndio kama Nyau waliozungumzwa hapo juu...ili mradi anazungumzia chama basi anaonekana anafaa. WATANZANIA NDIO TUTAKAOAMUA NA SIO PESA ZA WATU WASIOJIAMINI.
 
Back
Top Bottom