muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 13,447
- 10,009
Maisha ya kuigiza shida sana..
W. J. Malecela nimesikiliza interview yako kidogoo na diva clouds Fm aiseee una sauti very sexy hatareeeee. Naomba clip ya interview nzima plz
Kazi kweli kweli;
We mzee mbona unakuwa na akili za kitoto kwa umri wako sio sawa kushindana na kujibishana na wanawake kwenye mitandao unatuaibisha wanaume,juz kuna habari ilisambaa kwamba unaiba picha za vyakula harafu unapost kujifanya ndio vyakula anavyokula sio poa acha kufake maishaView attachment 372939hiyo picha ulipost kujifanya umekula huo msosi kumbe uliiba walivyo kushtukia ukafuta fasta hiyo picha ukaamua kupost kuomba msamaha picha hii hapaView attachment 372941harafu kumbe unabinti mkubwa tu sasa anapoona baba yake anabishana na wanake na kuiba picha za vyakula mitandaoni unafikiri wanajisikiaje watakuwa wanakuzalau.
kasema yule mbebi marha sio wako eti
eti yeye ndo anakufaa
kibibi kichawi galula eti le mutuz kinakufaa?
Wasikuangaishe hao akili ndogo! Just do your things- Kuna mambo ya wanawake huwezi kuwaelewa zaidi ya kuwaachia wenyewe, nimefika Karatu mgeni simjui mtu kabisa huyo mbebezzz akwa wa kwanza kunifuata Hotelini na kunichukua mjini mpaka kwenye project zake na kila mahali akiniendesha mwenyewe kwa gari lake, na mpaka kuanza kumpost ni maridhio yake mwenyewe na mengine yote mpaka kunipa picha zake za Private ambazo hana Instagram. Then ni yeye huyo huyo aliyekwenda kunibadilikia and then akaanza kunipigia simu analia so ni vigumu sana kuwaelewa wabebezzz sometimes.
le Mutuz Nation
- Kuna mambo ya wanawake huwezi kuwaelewa zaidi ya kuwaachia wenyewe, nimefika Karatu mgeni simjui mtu kabisa huyo mbebezzz akwa wa kwanza kunifuata Hotelini na kunichukua mjini mpaka kwenye project zake na kila mahali akiniendesha mwenyewe kwa gari lake, na mpaka kuanza kumpost ni maridhio yake mwenyewe na mengine yote mpaka kunipa picha zake za Private ambazo hana Instagram. Then ni yeye huyo huyo aliyekwenda kunibadilikia and then akaanza kunipigia simu analia so ni vigumu sana kuwaelewa wabebezzz sometimes.
le Mutuz Nation
Wanawake wenyewe hawawaelewi wanawake.sie wanaume ndo tutawaelewa?.Ila umaarufu ni mzigo mgumu sana kuubeba,aheri nyie wenye mioyo- Kuna mambo ya wanawake huwezi kuwaelewa zaidi ya kuwaachia wenyewe, nimefika Karatu mgeni simjui mtu kabisa huyo mbebezzz akwa wa kwanza kunifuata Hotelini na kunichukua mjini mpaka kwenye project zake na kila mahali akiniendesha mwenyewe kwa gari lake, na mpaka kuanza kumpost ni maridhio yake mwenyewe na mengine yote mpaka kunipa picha zake za Private ambazo hana Instagram. Then ni yeye huyo huyo aliyekwenda kunibadilikia and then akaanza kunipigia simu analia so ni vigumu sana kuwaelewa wabebezzz sometimes.
le Mutuz Nation
Wanawake wenyewe hawawaelewi wanawake.sie wanaume ndo tutawaelewa?.Ila umaarufu ni mzigo mgumu sana kuubeba,aheri nyie wenye mioyo
Le mutuz tunakukubali sana,tatizo ni yaani wewe na exposure yako yote unamuona Magufuli can do no wrong? una betray principles zako just for the sake ya kum please mtu anaye shikilia shoka-ukitegemea indirectly or directly tonge litaangukia kwako-this is so sad- Kuna mambo ya wanawake huwezi kuwaelewa zaidi ya kuwaachia wenyewe, nimefika Karatu mgeni simjui mtu kabisa huyo mbebezzz akwa wa kwanza kunifuata Hotelini akasema yeye ni my Instagram super fan na kunichukua mjini mpaka kwenye project zake na kila mahali akiniendesha mwenyewe kwa gari lake, na mpaka kuanza kumpost ni maridhio yake mwenyewe na mengine yote mpaka kunipa picha zake za Private ambazo hana Instagram. Then ni yeye huyo huyo aliyekwenda kunibadilikia and then akaanza kunipigia simu analia so ni vigumu sana kuwaelewa wabebezzz sometimes.
le Mutuz Nation
Le mutuz tunakukubali sana,tatizo ni yaani wewe na exposure yako yote unamuona Magufuli can do no wrong? una betray principles zako just for the sake ya kum please mtu anaye shikilia shoka-ukitegemea indirectly or directly tonge litaangukia kwako-this is so sad
Sawa huvunji sharia,but to make ends zikutane,una lick a--es.Back then,ulikuwa a man of principles,nadhani aliyekuroga kapotea na ndege ya air malaysia- Mimi ninamiliki kampuni ya Social Media ambayo hata Rais uwe wewe sikuhitaji maana biashara yangu haina anything to do na Rais aliyeko madarakani au Chama ninchokiamini, so take back maneno yako aimini unachotaka na niache niamini ninachotaka mradi sivunji Sheria za jamhuri. Next time jitahidi kupangilia hoja sema ninavunja Sheria za Jamhuri kwa kuamini ninachoamini.
le Mutuz
Acha kuleta mbwembwe nilikuwa najua watu wanavyoandika kwamba unaishi kidananda wanakusingizia kumbe kweli unaiba picha za vyakula harafu unapost kwamba umekula huoni kama unajiaibisha- natafuta mfanyakazi kwenye kampuni yangu please tuma maombi ok, tuma maombi kwenye willymalec@gmail.com please maana mtumzima mwenye kazi na maisha hawezi kuhangaika kuandika ujinga ujinga kama huu mitandaoni!!
le Mutuz Nation
Acha kuleta mbwembwe nilikuwa najua watu wanavyoandika kwamba unaishi kidananda wanakusingizia kumbe kweli unaiba picha za vyakula harafu unapost kwamba umekula huoni kama unajiaibishaView attachment 374526View attachment 374527harafu kumbe unabinti mkubwa tu sijui anavyoona unawashika viuno mabiti wa umri wake sijui uwa anakuchukuliaje?View attachment 374528
Hawa wanajuana sana. No comment.