Je, marehemu Dr. Malecela alikuwa na mahusiano gani na Mange Kimambi?

gim

Senior Member
Jan 28, 2022
131
239
Wakuu habari za muda huu.

Wakati wa nyuma kipindi cha hayati John Pombe, kulikua na vichwa viwili vilivyokua havikosi kuleteana maneno ya hapa na pale kwenye Instagram, yupo aliyempigania hayati na mwingine anaponda utawala wa hayati. Yupo Mange kimambi na mwenzake Le mutuzi mobimba, hawa watu wakiwekwa chumba kimoja mmoja lazima avuje damu.

Sasa kubwa nalotaka kujua ivi kuna uhusiano gani kati ya Mwanamama huyu Mange kimambi na familia ya kina Malecela, hasa kutokana na hili la kuondokewa kwa Dr malecela ndugu yake na Le mutuz.

Je, hawa watu wawili Le mutuz na Mange kimambi kipindi wanarushiana maneno walikua wanatuigizia hali ya kuwa wanafahamiana?

Ova.

Screenshot_20220211-123021~2.jpg
 
Ooh ko kulikua na undugu fulani kati ya mobimba na Dada wa taifa

Ndio ukweli, Mobimba na marehemu Dr. Ni mtu na dadaake, wakati Mange na Marehemu ni mtu na step mom (tena mom ambaye alihusika sana kumsaidia huyo dada wa insta)!

Ila Mange alinunua kesi, maana ali pair na ex wa mobimba aliyeko USA kumfanyia personal attack baharia, ila wanajuana vizuri tu!
 
Ndio ukweli, Mobimba na marehemu Dr. Ni mtu na dadaake, wakati Mange na Marehemu ni mtu na step mom (tena mom ambaye alihusika sana kumsaidia huyo dada wa insta)!

Ila Mange alinunua kesi, maana ali pair na ex wa mobimba aliyeko USA kumfanyia personal attack baharia, ila wanajuana vizuri tu!
Duh hii nchi bwana ni changamoto kweli yaani siri juu ya siri, ndo maana nkawa na mashaka na ugomvi wao
 
Baba yake Mwele na Le Mutuz amemuoa na anaishi na Mama yake Mange (Mama Kilango) wanatoka Upareni😀😀😁😁😁
Wewe acha kupotosha. Mwele alikuwa mwanamke wa Baba Mange, waliishi pamoja for more than a year Upanga. So Mwele ni mamaake wa kambo Mange na uhusiano wao umenoga sana kwa sababu Mange hakumpenda mamaake wa kambo wa nyumba kubwa (Mama wa kaka zake akina Anil na Kimambi) so seems alifurahi baba kuwa na mwanamke mwingine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom