Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Teh Teh, akikujua unalo..... Ngoja wadau wake tumpelekee nyepesi za JF....
Mimi huwa napenda attacks zake.... Haangalii mtu yoyote. Punch alizozirusha kwa February & Riz two ni za heavy weight kabisa.

Hilo sio jambo la kujivunia, maana hawa wote wanamsubili kwa hamu sana, yeye ametafuta umaarufu kwa kuwaadhilisha watu bila kujua anajichimbia kabuli mwenyewe.
 
Ila inauma, yani mtu wa karibu ndio amemnyakua baba Kenzo.
Of course kwa mange lazina aumie

Ila namsikitikia nyari....

Mwanaume hakatai kishimo aisew....tena Baadhi ya wanaume wanapoumizwa wanatafuta pa kutolea stress....akishatulia anasepa.

Ila wanawake hatujifunzi.....tunajiona tumekomesha mke....kumbe full kutumika... (ingawa utamu wamepata wote )
 
Of course kwa mange lazina aumie

Ila namsikitikia nyari....

Mwanaume hakatai kishimo aisew....tena Baadhi ya wanaume wanapoumizwa wanatafuta pa kutolea stress....akishatulia anasepa.

Ila wanawake hatujifunzi.....tunajiona tumekomesha mke....kumbe full kutumika... (ingawa utanu wanepata wote )
Hii ni dhahiri architect alipatikana kwenye danguro.
 
Mi namkubali Le mutuz tu anasemaga ukweli kakaa mbele miaka 30 lakini maisha aliyokua anaishi kule na hapa home ni tofauti hapa kama yupo Ulaya alichoka maisha ya kuigiza hotel anayokula hapa huko Marekani hawezi kuingia wabongo wengi wana maisha ya kuunga unga huko mbele ila wanaona aibu kurudi maana hawana lolote.
Miaka 30 ndio anagundua kuwa bora kurudi nyumbani? Ukichunguza unakuta hakurudi kwa kupenda ilimbidi. Nje kubaya, ila wengi wanamumunya maneno.
 
Nimkimbie wakati kapost mwenyewe mkuu?
Halafu baada ya kuona kaharibu akaifuta fastaaaa.
Aweke wazi tu,hakuna siri ya milele.
Moshi unafuka,karibuni patawaka moto.

Ukifuatilia utagundua wanaomsupport mange ni wale wageni kwenye hizi social media husani instagram. Lkn huyu mtu sidhani kama kichwa yake ipo vizuri, baya na la hatari zaidi ni ile hazina kubwa ya maadui aliyojitengenezea.
Kuna audio clip alizipost akiitukana selikali wakiwemo makamba, nape, kinana na jpm, yani ni hatari kwa mtu anayejielew
 
Ukifuatilia utagundua wanaomsupport mange ni wale wageni kwenye hizi social media husani instagram. Lkn huyu mtu sidhani kama kichwa yake ipo vizuri, baya na la hatari zaidi ni ile hazina kubwa ya maadui aliyojitengenezea.
Kuna audio clip alizipost akiitukana selikali wakiwemo makamba, nape, kinana na jpm, yani ni hatari kwa mtu anayejielew
Yule original ni changu anaigizaga ulady alafu anajisahau anarudi kule kule kwenye original.
 
Kuna siku alikuweka kwenye picha na akaandika "Babu yake Kenzo".
Wanajuana, dada wa Lemutuz Dr. Mwele ndiye alikuwa mama wa Hiari wa Mange, mie kinachonisikitisha ni inakuwaje Lemutuz anavyojielezea anaweza kujibizana na mtoto kama Mange, mpwae wa Hiari?
 
Kwakweli huwezi kujipanga urudi na US$ 500 mfukoni.
Muongo kama Mange tu huyo mdingi, Waarabu wa Pemba, nimeishi marekani miaka 4 tu na sikurudi na $500. Tazama posti ya chakula alipata network ya kurusha kwa mfanyakazi akakosa ya kurusha ye mwenyewe lkn location ikabaki alikokuwa, pia sifa karatu zikamfanya aingie kichwa kichwa kwa lembebeZ ambaye hamfahamu, kwakupenda mtelezo akachukuliwa na kuzungushwa na mtu tu, baada ya kurukwa ndio anarudi kupiga mayowe wanawake hawaeleweki, Liar Liar and Lies!
 
Back
Top Bottom