FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,375
na wale walinzi huwa wanafanya kazi gani ??
hapalipi.....
heri yako pia....u can PM me kama una mengine mazuri mazuri
Sio mlimani city pekee. Hata hapa Ubungo Plaza huyo kijana wa kipemba na kundi lake walianza kuiba site mirrors na magari ya watu. Bahati nzuri Ulinzi wa hapa ukawashtukia na kuweka ulinzi mkali. Mpaka leo tatizo hilo limekwisha kabisa. Tatizo la mlimani city ni la walinzi kushirikiana na wezi. Huyo kijana wa kipemba ni hatari sana. Infact ni wa kupiga risasi ya mguu awe kilema.
Kugawa na kukusanya kadi za parkingna wale walinzi huwa wanafanya kazi gani ??
... Wale jamaa ni soo ukifika pale kuna watu wana ku monitor mmoja anakufuatilia kila hatua unapokuwa ndani ya malls akiwasiliana na wengine kwenye parking ambao kazi yao ni kuchukua wanachokitaka...
Bila shaka wewe ni mmoja wa hao wanaomonitor kujua kama mwenye gari ameshatoka au la!!na ngono kwenye eneo la parking jamani!!! kuna watu wanapaki magari,hawatoki,gari zinztikisika tuuuu...
Haya mambo yapo dunia nzima na wewe sio tunadramatize bongo kila kitu mazee.... Paris mpaka sandwich wanaikomba ukiwa kwenye pikipiki
Huko Paris nako waarabu na weusi wamejazana ndo wanaoleta tabia za kishenziHaya mambo yapo dunia nzima na wewe sio tunadramatize bongo kila kitu mazee.... Paris mpaka sandwich wanaikomba ukiwa kwenye pikipiki
Niko eneo la mlimani city wakubwa nafikiri nikitoka hapa nitakuja na habari nzuri sana nipeni muda kidogo niperuzi
Ndugu watanzania leo nawaambia hii kitu inatokea lakini sasa hivi is too much,eneo la kibiashara la mlimani city ni hatari sana kwa wizi wa magari,side mirrors na vifaa vingine vya magari ..watu kibao wamelizwa hata sasa hivi ninavyopost kuna mtu analizwa
Ukiacha mkoba,laptop au kitu kingine ndani umeliwa!!! Wale jamaa ni soo ukifika pale kuna watu wana ku monitor mmoja anakufuatilia kila hatua unapokuwa ndani ya malls akiwasiliana na wengine kwenye parking ambao kazi yao ni kuchukua wanachokitaka watu wamelizwa mpaka magari . Afu kuna vijamaa vinasimama jukwaani vinasema Tanzania amani tele ..kudadadeki amani gani watu sasa wakija na magari yao wanangoa side mirrors na kuingia nazo ndani wakiogopa kulizwa?
Anyway ninachowaambia mkienda Mlimani city na motokaa zenu muwe makini Hivi nani anahusika na ulinzi Mlimani city?
Mimi nilikatazwa kuingia nazo kwenye ndege pale Kuala Lumpur, and they were tossed, aaaargh!! Sitawasahau wale jamaa wa KLIA.... if you want a genuine perfume agiza rafiki anayesafiri nje ya nchi!!! Au kama umebahatika kusafiri nunua za kutosha, haziharibiki wakuu. My better half and I have perfumes and cosmetics we can use for the next five years!!!! Sinunui Tanzania, na zikimalizika kabla sijasafiri basi natuma rafiki, period!
DO NOT PACK in your luggage or carry on board the following materials: FIREWORKS Signal flares, sparklers or other explosives FLAMMABLE LIQUIDS OR SOLIDS Fuel, paints, lighter refills, matches HOUSEHOLD ITEMS Drain cleaners and solvents PRESSURE CONTAINERS Spray cans, butane fuel, scuba tanks, propane tanks, Carbon dioxide cartridges, self-inflating rafts, Aerosols: Polishes, waxes, degreasers, cleaners, etc. * Corrosives: Acids, cleaners, wet cell batteries, etc. * Flammables: Paints, thinners, lighter fluid, liquid reservoir lighters, cleaners, adhesives, camp stoves or portable gas equipment with fuel, etc.
Sio mlimani city pekee. Hata hapa Ubungo Plaza huyo kijana wa kipemba na kundi lake walianza kuiba site mirrors na magari ya watu. Bahati nzuri Ulinzi wa hapa ukawashtukia na kuweka ulinzi mkali. Mpaka leo tatizo hilo limekwisha kabisa. Tatizo la mlimani city ni la walinzi kushirikiana na wezi. Huyo kijana wa kipemba ni hatari sana. Infact ni wa kupiga risasi ya mguu awe kilema.