Tahadhari: Mlimani city eneo hatari kwa usalama wa raia

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
Ndugu watanzania leo nawaambia hii kitu inatokea lakini sasa hivi is too much,eneo la kibiashara la mlimani city ni hatari sana kwa wizi wa magari,side mirrors na vifaa vingine vya magari…..watu kibao wamelizwa hata sasa hivi ninavyopost kuna mtu analizwa……
Ukiacha mkoba,laptop au kitu kingine ndani umeliwa!!! Wale jamaa ni soo ukifika pale kuna watu wana ku monitor mmoja anakufuatilia kila hatua unapokuwa ndani ya malls akiwasiliana na wengine kwenye parking ambao kazi yao ni kuchukua wanachokitaka……watu wamelizwa mpaka magari…. Afu kuna vijamaa vinasimama jukwaani vinasema Tanzania amani tele…..kudadadeki amani gani watu sasa wakija na magari yao wanang’oa side mirrors na kuingia nazo ndani wakiogopa kulizwa?
Anyway ninachowaambia mkienda Mlimani city na motokaa zenu muwe makini……Hivi nani anahusika na ulinzi Mlimani city?
 
Ndugu watanzania leo nawaambia hii kitu inatokea lakini sasa hivi is too much,eneo la kibiashara la mlimani city ni hatari sana kwa wizi wa magari,side mirrors na vifaa vingine vya magari…..watu kibao wamelizwa hata sasa hivi ninavyopost kuna mtu analizwa……
Ukiacha mkoba,laptop au kitu kingine ndani umeliwa!!! Wale jamaa ni soo ukifika pale kuna watu wana ku monitor mmoja anakufuatilia kila hatua unapokuwa ndani ya malls akiwasiliana na wengine kwenye parking ambao kazi yao ni kuchukua wanachokitaka……watu wamelizwa mpaka magari…. Afu kuna vijamaa vinasimama jukwaani vinasema Tanzania amani tele…..kudadadeki amani gani watu sasa wakija na magari yao wanang’oa side mirrors na kuingia nazo ndani wakiogopa kulizwa?
Anyway ninachowaambia mkienda Mlimani city na motokaa zenu muwe makini……Hivi nani anahusika na ulinzi Mlimani city?
Yo Yo ni kweli kabisa pale mahali si salama hata kidogo.

Kingine mtu mwingine akiingia akishapewa ile kadi pale getini akipaki gari kadi anaiacha kwenye gari so hata mwizi akiiba gari ni rahisi kutoka nayo.

Halafu wale walinzi pal e pia wazembe mimi nilishawahikuingia na kadi pale nikajisahau nikapitiliza bila kusimama getini wakati natoka niliwaambia tu kuwa sikupewa kadi wakati naingia - wakanikubalia bila hata kucheck na wale wa upande wa pili nilikoingilia (na kama wanarekodigi)
 
na ngono kwenye eneo la parking jamani!!! kuna watu wanapaki magari,hawatoki,gari zinztikisika tuuuu...
 
menejiment imejisahau kabisa, mi nashauri ile kampuni ya ulinzi iwekwe nyingine, bila hivyo wataingia hasara kwa kukosa wateja, sikuhizi nikitaka kwenda pale napak gari mwenge kwa mshikaji then napanda daladala mpk mcity....mambo ya kuingia hasara kila siku siyawezi kabisaa.....bora ingekua imeandikwa park at ur own risk hapo tungekuwa makini lakini hawajaandika hivyo so mtu unakua unajiachia ukidhani kuwa gari lipo kwenye usalama kumbe sio...
 
na ngono kwenye eneo la parking jamani!!! kuna watu wanapaki magari,hawatoki,gari zinztikisika tuuuu...

Mkuu hiyo red imeimaliza kabisa "hang-over" ya jana!

Ni kweli Mlimani City kuna wizi wa magari na vifaa vya magari. Nimeshalizwa pale mara mbili - "side mirrors" na taa za mbele za gari - vijana wako "fast" ile mbaya na inaonekana wanashirikiana na watu "wenye uwezo" kufanya wizi huo. Kwa maana wanakuwa na gari iliyopaki tinted na full AC halafu wanawasiliana na mobile wakati wakifuatilia kukuliza!

Ni udhaifu wa vyombo vya Usalama na hii kampuni ya Ulinzi ndiyo hawa wezi wanatumia kuharibu "budget" za watu.
 
Lakini hapo si kuna ulinzi imara? Hao askari kazi yao nn? Wanauza sura tu?
Kuna kijamaa kama kipemba hivi white hicho balaa kitaalamu cha kupiga vitu vya escudo hapo hapo.
 
Ni kweli pale mahali hapafai kabisa kwa sasa. Ule ni mchezo wa walinzi wa pale mahali, wanakula na hawa wezi.
Kuna siku tumeenda pale sinema na jamaa yangu, ile kutoka tu baada ya kumaliza movie tunakuta milango ya gari (Escudo) iko wazi iko wazi ilihali tuliifunga. Jamaa walikuwa washang'oa swichi za kupandishia vioo katika gari, tunachoshukuru ni kwamba hatukuacha kitu mle garini, laptop tulikuwa nayo.
Kuanzia siku hiyo sidhani km nitathubutu kuegesha gari pale, ni bora ukaiacha mahali pengine ukalipia na kuikuta ikiwa salama kuliko kuiacha Mlimani City na kukuta imeibwa ama imenyofolewa baadhi ya vifaa vyake.
Ni eneo la ovyo sana.
 
Kuna kipindi nilikuwa naona walinzi kadhaa katikati ya maeneo ya maegesho, huu utaratibu umeisha? Au wizi huu hufanyika jioni/usiku zaidi?
 
Hiyo ya ngono hapana ila wizi upo na hili ni tatizo la kampuni hewa za ulinzi ambazo hazina hata ofice makaburu wako pale kutengeneza pesa tu swala la usalama halipo kabisa kichwani mwao,ni mahali pazuri ukilinganisaha na kwenda mjini,cha msingi walete camera za ulinzi pale ambazo zitamonitor matukio yote pale pia kutafuta kampuni nzuri ya ulinzi,
 
Jamani!. Ni leo tuu asubuhi jamaa yangu kaniambia jana wamelizwa lexus yao mpya hapo Mlimani City, wameingia tuu ndani, within no time, wametoka, gari halipo!.Kwenye huu wizi wa hili gari jana, kuna ama good news inakuja, ama bad news inakuja, nitawaupdate ikifika.Sasa wanapaharibu, mimi niliumizwa na kitu kidogo sana, fake na conterfeit perfums kwenye maduka ya hapo!. Nilichoka kabisa, tena duka lenyewe mpaka wana testers kuthibitisha genuinity, kumbe...
 
watz sisi ni wajinga nawza kusema kama menejiment ya lile eneo haliwezi kushughulukia ulinzi solution is very simple TUNASUSIA kwenda pale kunywa,kunua vitu etc! tenants wakikosa biashara watambana vizuri mwenye mali, but tutalalamikaaaa hadi mwisho,mimi siendi pale after kuilawiti RAV4 yangu! tuwe na sauti ya pamoja,tuwaacjie waenda kwa miguu wakafanye shopping pale!
 
Mie nilishaacha kwenda pale siku nyingi baada ya rafiki yangu kunijulisha kuhusu wizi huo. Sipendi kwenda maeneo yasiyo na usalama, kwani kufanya hivyo ni kujiongezea matatizo. Haya matatizo niliyonayo yatosha.
 
kuna siku niliponea chupu chupu kulizwa pale, mwanangu blanca ndo alinistua,
. baada ya kushuka tu jamaa wakaisogelea gari, yangu bahati nzuri kabla hatujaingia ndani mimi na mke wangu, tulikutana na ndugu yetu mmoja pale nje tukawa tunaongea, mwanangu alikuwa pale anaruka ruka na kucheza, basi akageuka nyuma na kuwaona jamaa tayari wamefungau mlango.ndo mtoto akanambia, baba nani yule anafungua mlango wa gari. ile kugeuka nikawaona jamaa nikarud spid sana pale nikmkuta na mlizi yupo akasema eti ulisahau kufunga mlango.nikamwambia wewe ni mwizi, na hawa kina nani alikwepo kijana ana asili ya kipemba hivi na mwenzie.niliondoka na sikuingia hata ndani kununua vitu.
 
Ngono kwenye magari zimezidi pale mlimani city,hili suala limekuwa tatizo hasa pembezoni karibu na barabara ya sam nujoma. Watu wanafanya short time pale kinoma. Ulinzi unabidi uimarishwe zaidi.
 
Ngono kwenye magari zimezidi pale mlimani city,hili suala limekuwa tatizo hasa pembezoni karibu na barabara ya sam nujoma. Watu wanafanya short time pale kinoma. Ulinzi unabidi uimarishwe zaidi.[/QUOTE]

Mimi silioni hili la ngono kama tatizo ambalo linahitaji immediate attention ya management, unless kama unasema kuna issue za ubakaji, kwani wanaofanya si wamekubaliana? . La msingi management ingeshughulikia tatizo la wizi, naamini pakiwa na nia ya kweli na dhati wizi utapungua kama si kwisha kabisa.

Siku ninazokwenda pale ikinilazimu, basi inanibidi kuzunguka na kuvizia parking za karibu na samaki samaki. Na ushauri mwingine never leave valuable zikionekana, kama una laptop na hutaki kutembea nayo, bora kabla ya kufika mlimani iweke kwenye buti.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom