Tahadhari: Mlimani city eneo hatari kwa usalama wa raia

Nimesoma posts zote, naona tatizo ni kubwa pale. Sasa basi, naamini hapa jamvini kuna waandishi wa habari na news reporter, kwa nini tusipate issue na evidence pale pale mlimani city ikachukuliwa live na kurushwa luningani na magazetini? Kuna mtu amenieleza leo kuwa kuna jamaa aliibiwa gari pale mchana kweupe na pengine si incidence ya kwaza. We need to air out mambo haya na vyombo vya habari tunavitegemea sana. Please, media do the needful.

Binafsi sijawahi kununua kitu chochote mlimani city!!! Usishangae na kuniona mbahili au mshamba!! La hasha, nina my specific shops ni town and Kariakoo!!! Na kuna mtu ameuziwa perfume fake pale, pole sana, if you want a genuine perfume agiza rafiki anayesafiri nje ya nchi!!! Au kama umebahatika kusafiri nunua za kutosha, haziharibiki wakuu. My better half and I have perfumes and cosmetics we can use for the next five years!!!! Sinunui Tanzania, na zikimalizika kabla sijasafiri basi natuma rafiki, period!
 
Nasikia lile jengo lenyewe ndo lianmilikiwa na makaburu sina uhakika lakini mwenye data aconfirm
 
Sio mlimani city pekee. Hata hapa Ubungo Plaza huyo kijana wa kipemba na kundi lake walianza kuiba site mirrors na magari ya watu. Bahati nzuri Ulinzi wa hapa ukawashtukia na kuweka ulinzi mkali. Mpaka leo tatizo hilo limekwisha kabisa. Tatizo la mlimani city ni la walinzi kushirikiana na wezi. Huyo kijana wa kipemba ni hatari sana. Infact ni wa kupiga risasi ya mguu awe kilema.
 
Sio mlimani city pekee. Hata hapa Ubungo Plaza huyo kijana wa kipemba na kundi lake walianza kuiba site mirrors na magari ya watu. Bahati nzuri Ulinzi wa hapa ukawashtukia na kuweka ulinzi mkali. Mpaka leo tatizo hilo limekwisha kabisa. Tatizo la mlimani city ni la walinzi kushirikiana na wezi. Huyo kijana wa kipemba ni hatari sana. Infact ni wa kupiga risasi ya mguu awe kilema.

Anaitwa nani huyo?
Hakamatiki?
 
... Wale jamaa ni soo ukifika pale kuna watu wana ku monitor mmoja anakufuatilia kila hatua unapokuwa ndani ya malls akiwasiliana na wengine kwenye parking ambao kazi yao ni kuchukua wanachokitaka...
na ngono kwenye eneo la parking jamani!!! kuna watu wanapaki magari,hawatoki,gari zinztikisika tuuuu...
Bila shaka wewe ni mmoja wa hao wanaomonitor kujua kama mwenye gari ameshatoka au la!!
 
lile eneo limekua la vibaka na hao walinzi sijui wanafanya kazi gani pale?
 
Haya mambo yapo dunia nzima na wewe sio tunadramatize bongo kila kitu mazee.... Paris mpaka sandwich wanaikomba ukiwa kwenye pikipiki

DUH basi Paris nako kuna vituko!!where i live no one breaks your house to take a TV,no one steals your Laptop in a subway or car or public bus,and certainly no one grabs your phone while you talk on the phone!
and no one will ever steal anything from your car outside a MALL parking lot with guards!!
kuna vitu vinaitwa Public security,CCTV etc..,kuna some dangerous streets but those are extremely few..,

life ya bongo don't need dramatizing it's a drama itself
 
Haya mambo yapo dunia nzima na wewe sio tunadramatize bongo kila kitu mazee.... Paris mpaka sandwich wanaikomba ukiwa kwenye pikipiki
Huko Paris nako waarabu na weusi wamejazana ndo wanaoleta tabia za kishenzi
 
Niko eneo la mlimani city wakubwa nafikiri nikitoka hapa nitakuja na habari nzuri sana nipeni muda kidogo niperuzi
 
Niko eneo la mlimani city wakubwa nafikiri nikitoka hapa nitakuja na habari nzuri sana nipeni muda kidogo niperuzi

Kama umeenda na gari jaribu kuliacha kwenye parking kisha utatupa dataz.
 
Ndugu watanzania leo nawaambia hii kitu inatokea lakini sasa hivi is too much,eneo la kibiashara la mlimani city ni hatari sana kwa wizi wa magari,side mirrors na vifaa vingine vya magari…..watu kibao wamelizwa hata sasa hivi ninavyopost kuna mtu analizwa……
Ukiacha mkoba,laptop au kitu kingine ndani umeliwa!!! Wale jamaa ni soo ukifika pale kuna watu wana ku monitor mmoja anakufuatilia kila hatua unapokuwa ndani ya malls akiwasiliana na wengine kwenye parking ambao kazi yao ni kuchukua wanachokitaka……watu wamelizwa mpaka magari…. Afu kuna vijamaa vinasimama jukwaani vinasema Tanzania amani tele…..kudadadeki amani gani watu sasa wakija na magari yao wanang’oa side mirrors na kuingia nazo ndani wakiogopa kulizwa?
Anyway ninachowaambia mkienda Mlimani city na motokaa zenu muwe makini……Hivi nani anahusika na ulinzi Mlimani city?

Sehemu gani hivi sasa ni safe hapa Tanzania kwa hivi leo. Mjini mpaka kijijini, pwani mpaka bara. Hii yote inatokana na tofauti ya vipato kati yetu, wakati wengine hawana hata hela wengine tunalalamika kuhusu magari na side mirror. Wengine hawana hela ya dawa sisi tunalalamika kuhusu kuvinjari na kunywa bia pale samaki samaki.

All in all it is a reflection of insecurity in the whole country which has been caused by the unfair distribution of the national resources. In order to alleviate this the national cake should be shared equally or at least proportionally.
 
ukweli ni kwamba hata walinzi wa milangoni pia wanahusika ni genge kubwa la wizi linawahusu hadi walinzi wa magetini, who can blame them kwa salary ya 120,000/=? siendi na gari pale hata siku moja na hata gari lako likiwa na lock modern vipi hawa jamaa ni extreme professional watafungua tu, uongozi wa mlimani city should do smthn about this
 
... if you want a genuine perfume agiza rafiki anayesafiri nje ya nchi!!! Au kama umebahatika kusafiri nunua za kutosha, haziharibiki wakuu. My better half and I have perfumes and cosmetics we can use for the next five years!!!! Sinunui Tanzania, na zikimalizika kabla sijasafiri basi natuma rafiki, period!
Mimi nilikatazwa kuingia nazo kwenye ndege pale Kuala Lumpur, and they were tossed, aaaargh!! Sitawasahau wale jamaa wa KLIA.
DO NOT PACK in your luggage or carry on board the following materials: FIREWORKS Signal flares, sparklers or other explosives FLAMMABLE LIQUIDS OR SOLIDS Fuel, paints, lighter refills, matches HOUSEHOLD ITEMS Drain cleaners and solvents PRESSURE CONTAINERS Spray cans, butane fuel, scuba tanks, propane tanks, Carbon dioxide cartridges, self-inflating rafts, Aerosols: Polishes, waxes, degreasers, cleaners, etc. * Corrosives: Acids, cleaners, wet cell batteries, etc. * Flammables: Paints, thinners, lighter fluid, liquid reservoir lighters, cleaners, adhesives, camp stoves or portable gas equipment with fuel, etc.
 
Sio mlimani city pekee. Hata hapa Ubungo Plaza huyo kijana wa kipemba na kundi lake walianza kuiba site mirrors na magari ya watu. Bahati nzuri Ulinzi wa hapa ukawashtukia na kuweka ulinzi mkali. Mpaka leo tatizo hilo limekwisha kabisa. Tatizo la mlimani city ni la walinzi kushirikiana na wezi. Huyo kijana wa kipemba ni hatari sana. Infact ni wa kupiga risasi ya mguu awe kilema.

Mimi binafsi ninalilaumu jeshi la polisi kwa asilimia nyingi due to the following reasons:

Kumekuwa na wizi wa power windows, na vifaa mbali mbali vya magari and vimekuwa vikipelekwa maeneo yanayofahamika kabisa i.e. gerezani, mnadani, Buguruni and some places in Mwenge. Na jeshi la polisi limekuwa likishirikiana sana na hawa jamaa wanaoiba hivi vitu as kwa jinsi walivyo na comfo ya kuviuza peupe. Yaani utaibiwa vioo vya pembeni leo asubuhi, then mchana utavikuta gerezani vinauzwa kwenye maduka ya "used spares" and ukitoka hapo bila hata kushtuka, ukaenda polisi, mkirudi pale gerezani hamvikuti. Au hata kama ukiwa na information kuwa hv vitu vitakuwa gerezani, ukaenda then ukawashtukia halafu ukajifanya unapanic, kama ni wind screen hawakawii kuimwaga chini. Hawa wezi wamekuwa na kiburi, confidence ya ajabu katika nchi ambayo inasemekana kuwa na ulinzi wa jeshi la polisi. Si ajabu itafikia kipindi ukiibiwa vifaa vya gari ukaenda polisi kutoa taarifa, na kuambiwa, nenda gerezani/mnadani/buguruni utavikuta. Yaani tumekuwa tukinunua vifaa vyetu wenyewe and jeshi la polisi limekuwa likikaa kimya. Kova amekuwa akipiga tararira za wizi wa silaha na kusahau kuwa kuna wizi mwingine ambao umekuwa kama ka-falme ka kujitegemea. Hili limechangia sana kukua kwa wizi wa vifaa vya magari and no wonder hata kwa huu wizi wa magari.

Kwa miaka ya nyuma, ilikuwa ukiibiwa gari, linapelekwa Nairobi, au mkoa mwingine and mtu ulikuwa una nguvu ya kuanza kusaka gari ukitigemea kulikuta somewhere. Lakini siku hizi baada ya kuingozeka kwa maduka ya used spares, yaani ukiibiwa gari, after 2-3hours, ukawa hujaliona, yaani wewe nenda tu polisi, kaombe police report, and then uende moja kwa moja kwa Insurer, manake litakuwa limeshachinjwa siku nyingi na vifaa vimetawanywa hapa mjini.

Pia kuna soko jipya la vifaa vya wizi, ambalo nasikia liko Dodoma, and linafahamika hata na jeshi la polisi, but sioni any measures.

Kwa ufupi nashindwa kuelewa kuwa hawa kina Kova, Said Mwema, Wabunge, Mawaziri, Rais na wengineo, ni kwamba wanasubiria mpaka magari yao yaibiwe vifaa au..? (Kitu ambacho kwa hali ya kawaida ni ngumu). Then ndio tutegemee kusikia statement kuhusiana na huu "WIZI WA KIBABE"...???

Huyu jamaa wa kipemba naye, nimesikia sana wananchi wakimuongelea, but I doubt kama jeshi la polisi linamfuatilia. Mimi kwa wakati mwingine nimeanza kuhisi kuwa huu wizi wa vifaa vya magari na magari yenyewe unahusisha wakuu wa jeshi la polisi kwa kiasi kikubwa sana na ndio maana hata hatua kali hazichukuliwi.

Haya maduka ya used spares ni lazima yachunguzwe sana, and pia watu kama mpemba and wezi wa vifaa vya magari wafuatiliwe, and I tell you wizi wa magari na power windows utapungua sana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom