King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,823
- 24,787
Weeh bro hukupaswa kusoma hapa!
Ila ukipigwa mizinga sepa, manake lazma unayeyushwa tu, sawa?
Ila ukipigwa mizinga sepa, manake lazma unayeyushwa tu, sawa?
Really?
Really?
na wanawake wenye akili huwa hawaombi hela ..huwa wanaombwa kupokea hela... hope umenielewa...Ha..ha..ha..I know how to burn cash especially if the lady is worth it.Ila mwanamke akiwa na maongezi ya hela kila tukikutana huyo hana akili na hanifai.What if i get into a depression atakuwa nami huyo?
Na wale wanawake ambao hela yake yooote yake na yangu yooote yake hana mchango kwenye maisha.Life aint always a walk in a park.
Weeh bro hukupaswa kusoma hapa!
Ila ukipigwa mizinga sepa, manake lazma unayeyushwa tu, sawa?
mwanaume anayehonga hana vina vya kutosha
Smile mie ndio hapo ninaposhindwa kuwaelewa hawa viumbe jamani......wakiombwa wanavuta midomo,maneno hayawaishi midomoni. Sasa kwa wengine tusioweza kuomba mbona mnashindwa hata kutoa wenye kwa upendo tu?na hasa ukijua huyu mtu ana majukumu na anajitahidi kufanya kila kitu mwenyewe bila kukuomba yani unashindwa kusema hata chukua hii sh kumi itakusaidia???!!!!! sijui mkoje!!!!!!!!!!mwanamme bahili ....mimi never..
raha ya kuwa na mwanaume ni awe anajua kukucare bwana ....
mimi hata kama nina hela mwanaume anependa kunisaidia i realy appreciate him ..huyo ndo mwanaume..
sio mtu una mwanaume unataka kwenda saluni huna hela hadi uzunguke kwa mashosti wote mjini kukopa..kwanza huyo mwanaume wako si ataaibika jamani?
wanaume acheni ubahili na uchoyo ,ni dhambi kwanza..
hao wanaokataa kutoa sio wanaume wa ukweliSmile mie ndio hapo ninaposhindwa kuwaelewa hawa viumbe jamani......wakiombwa wanavuta midomo,maneno hayawaishi midomoni. Sasa kwa wengine tusioweza kuomba mbona mnashindwa hata kutoa wenye kwa upendo tu?na hasa ukijua huyu mtu ana majukumu na anajitahidi kufanya kila kitu mwenyewe bila kukuomba yani unashindwa kusema hata chukua hii sh kumi itakusaidia???!!!!! sijui mkoje!!!!!!!!!!
Saizi yenu mnapopata wanaowaomba omba maana mmezidi ubahili
mwanaume anaehesabia hela kwenye wallet sio kabisa..
mwanaume wa ukweli anaweka wallet mezani anakwambia hesabu za matumizi baibi wangu au anakupa card yake ukatoe kiasi chako cha matumizi ....
nyie mnaombwa vocha tu mnalia huku mtafika kweli?
hao wanaokataa kutoa sio wanaume wa ukweli
sasa kama ana shida amuombe nani?[/QUOT
Some times wanakera bana Utafikiri wana undugu na matonya wa dodoma.
Ahhhhh wapi!!! Haipo hiyo! Labda katoka kuuza ng'ombe wake usukumani!mwanaume anaehesabia hela kwenye wallet sio kabisa..
mwanaume wa ukweli anaweka wallet mezani anakwambia hesabu za matumizi baibi wangu au anakupa card yake ukatoe kiasi chako cha matumizi ....
nyie mnaombwa vocha tu mnalia huku mtafika kweli?
Kaka huyo unatupia kule fasta pasipo kuremba!Mi kuna mmoja alionomba laki hivi majuzi nikamwambia nina fifty tu kwa muda ule akasema 'acha ubahili mchaga wewe' akagoma kukutana na mimi kwa kusingizia ameitwa na supervisor wake. Ni hatari!
Hapa nimepita tu!Kama wewe ndio mnaishia kubanduliwa mande. Defensive Mechanism ya kitu gani bwana, kama hutaki mwanamke mwenye akili na heshima yake atasema tu SITAKI lkn sio kuniambia 5* Hotel. Utakutana na wafanyabiashara wenye akili mbivu watakupa hivyo unavyotaka halafu kufidia hela yao unapigwa mande mbele na tigo.
Kuomba omba hela ni uchangudoa, na ndio maana mnalalamika kuwa wanaume wanawachezea na kuwaacha. Ukitaka kudharaulika na mwanaume, we muombe hela mwanzoni, atajua ndio zako kuomba hela kwa hiyo umeshahongwa sana na kubanduliwa, kwa hiyo na yeye atambandua na kuacha uendelee na uchangudoa wako.