jjs2017
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 2,023
- 4,213
Kwa uchungu sana,
Kweli wanawake kwa mabinti wanatuambia tutafute hela , ila amini na waambieni wanaume wenzangu ukifika umri wa miaka 30+ utajua hujui yani hutopata mwanamke wa kuendana na umri wako hatakidogo pale unapo hitaji sasa kuoa serious na kuwa na mke wako wa maisha
Amini na waambieni kila binti mbichi utakae mpenda utakuta mmepishana miaka kuanzia 10, 15, 16, 17 na wengine 18 ,20 au zaidi . Yaani mpenzi wako anakua anakaribia nusu ya umri wako na hiyo ni kweli kabisa na hapa ndipo kujioa sasa, binti mbichi lakini mwanaume unakuta unamvi mpaka kwenye kidevu
Na ukitaka mnae endana umri kidogo wa mpishano wa miaka 4, 5, au 7 amini na waambia mtakuta ni single mother, feminist au mwanaharakati na kamwe huyo hutoweza mtawala
Sasa ni kweli wanatuambia tutafute hela ila angalieni msije mkajioa wenyewe ,
Naandika hivi maana mimi hii ndio inayo nikuta sasa yani kila binti mpishano wa umri sii chini ya miaka 10 ,15, 17 mpaka wanauliza sasa niwe nakusalimia au nikupaje salamu . Inabidi umwambie tuu vyovyote utakavyo ona kikubwa utii na kujielewa..
Mwenye kusikia na asikie na huu ni kwa wale wanaotaka kuoa na siyo kuzalisha na kutoa hela ya matumizi , maana kuzalisha unazalisha yeyote tuu ila kwenye kuoa ndio mtihani. Ndugu zangu Wanawake ni hawa hawa wote wanafanana isipokua tuu wanazidiana ujinga / maarifa tafuta yule utakae wezana nae hatakidogo tuu na hayo ndio maisha ,
Sasa shauri yetu
Wewe endelea kukaza tuu fuvu na kujifanya unatafuta hela na kula mitungi huku ukijifariji maisha ya usingle ni bata