Wanawake tusitirini sisi wanaume wenu mkuyenge ukikataa kusimama kuwanyandua, hili pigo hata na sisi linatuuma sana

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,946
5,855
WanaJF

Kunamuda tamaa inakua juu sana, mtoto wa kike anakupa utamu na mkuyenge unasusa kutuna kwa lengo la kuzagamua, ndugu wanawake na wakisha jua mwamba mkuyenge umekususia anajifanya ndiyo kwanza amezidiwa utasikia niwekee ni wekee bana au chomeka huku akiushika kinamna kwa style ya kujiwekea ila hali bado imegoma.

Ndugu hiyo aibu utakayo toka nayo hapo itabidi tuu uvumilie kiume au uhonge hela za kutosha kumnyamazisha mrembo. Wengine wanafikia kuwanunulia wanawake magari makali na kuwajengea ili tuu wasiadhirike.

Ndugu zangu ombeni hii hali isije ikakukuta utajutia sana , yani lazima akili ikae hovyo kidogo, shauri yenu nyie msile, msiache mawazo na kufanya mazoezi mtajutia siku moja.

WANAWAKE TUSITIRINI WANAUME ZENU , TUBEBEENI HAYA MIOYONI MWENU HAIJALISHI TUNAWASEMA VIBAYA , TUVUMILIENI TUU MAANA NYIE NI WAVUMILIVU NDIYO MAANA MKAPEWA MIMBA NASIYO SISI
 
Hakika boss well said
 
Pole Sana chief...
 
Ndugu zangu wanawake!

Tuwasitiri waume zetu wanaposhindwa kulima shamba, kama tulivyokubaliana kwenye kikao chetu..
Mlifanya vyema sana kukubaliana, hongereni na Muishi maisha marefu. Tusameheni pia sisi wanaume ni vile tuu tunastress za kuogopa kusaidiwa majukumu, akili inasaka hela mpaka tunajisahau wenyewe .

Tusitirini sana na Mungu awabariki.
 
Ikigoma kusimama acha endelea na mambo mengine. Si zipo tu hizo ukitaka saa yoyote unapata? Yaani uhonge sababu mwili haupo sawa kwa tendo? Hiyo pesa ntapeleka kwa prof Jay foundation ikasaidie matatizo ya figo. Ikigoma naacha na wala sioni shida, tutafanya baadae au kesho.
 
Mwanamke muelewa atakutunzia heshima yako akijua ni tatizo unapitia na unaweza kurekebisha.Wanaume hili tatizo ni kubwa sana .mtindo wa maisha ndio unaotumaliza kuanzia aina za kazi, vyakula na mwili kutokuwa active. Suluhisho ni kufanya mazoezi, kula matunda hasa ndizi na tikiti, tumia vitunguu swaumu na Tangawizi, asali etc. Mambo yatachemka.punguzeni pombe, sigara, chips,etc.
 
WanaJF

Kunamuda tamaa inakua juu sana, mtoto wa kike anakupa utamu na mkuyenge unasusa kutuna kwa lengo la kuzagamua, ndugu wanawake na wakisha jua mwamba mkuyenge umekususia anajifanya ndiyo kwanza amezidiwa utasikia niwekee ni wekee bana au chomeka huku akiushika kinamna kwa style ya kujiwekea ila hali bado imegoma.

Ndugu hiyo aibu utakayo toka nayo hapo itabidi tuu uvumilie kiume au uhonge hela za kutosha kumnyamazisha mrembo. Wengine wanafikia kuwanunulia wanawake magari makali na kuwajengea ili tuu wasiadhirike.

Ndugu zangu ombeni hii hali isije ikakukuta utajutia sana , yani lazima akili ikae hovyo kidogo, shauri yenu nyie msile, msiache mawazo na kufanya mazoezi mtajutia siku moja.

WANAWAKE TUSITIRINI WANAUME ZENU , TUBEBEENI HAYA MIOYONI MWENU HAIJALISHI TUNAWASEMA VIBAYA , TUVUMILIENI TUU MAANA NYIE NI WAVUMILIVU NDIYO MAANA MKAPEWA MIMBA NASIYO SISI
Tiba ni bora kuliko kinga

Wanaume tujitahidi kupunguza ulafi wa hovyo hasa vyakula vya mafuta na wanga (processed)

Ni kweli hatuwezi kuepuka ila tuna uwezo wa kupunguza kwa kiwango kikubwa

Tujitahidi kula vya asili, matunda, mbogamboga hasa vyenye kuboost mfumo wa mzunguko wa damu, homoni na fahamu

Tujitahidi kufanya mazoezi, kupunguza stress, kupunguza uzito, kunywa maji kwa wastani

Haya yote yanasaidia pia kujiweka mbali na magonjwa kama kisukari, presha, tezi dume nk ambayo hupelekea kupungua/kuondoka kwa nguvu za kiume
 
Mwanamke muelewa atakutunzia heshima yako akijua ni tatizo unapitia na unaweza kurekebisha.Wanaume hili tatizo ni kubwa sana .mtindo wa maisha ndio unaotumaliza kuanzia aina za kazi, vyakula na mwili kutokuwa active. Suluhisho ni kufanya mazoezi, kula matunda hasa ndizi na tikiti, tumia vitunguu swaumu na Tangawizi, asali etc. Mambo yatachemka.punguzeni pombe, sigara, chips,etc.
Kuna wakati mwili unakataa tu labda sababu ya uchovu, njaa, mawazo, fikra za magonjwa ya zinaa au hata mwanamke hajakuvutia, unakuta wala huna tatizo.
 
WanaJF

Kunamuda tamaa inakua juu sana, mtoto wa kike anakupa utamu na mkuyenge unasusa kutuna kwa lengo la kuzagamua, ndugu wanawake na wakisha jua mwamba mkuyenge umekususia anajifanya ndiyo kwanza amezidiwa utasikia niwekee ni wekee bana au chomeka huku akiushika kinamna kwa style ya kujiwekea ila hali bado imegoma.

Ndugu hiyo aibu utakayo toka nayo hapo itabidi tuu uvumilie kiume au uhonge hela za kutosha kumnyamazisha mrembo. Wengine wanafikia kuwanunulia wanawake magari makali na kuwajengea ili tuu wasiadhirike.

Ndugu zangu ombeni hii hali isije ikakukuta utajutia sana , yani lazima akili ikae hovyo kidogo, shauri yenu nyie msile, msiache mawazo na kufanya mazoezi mtajutia siku moja.

WANAWAKE TUSITIRINI WANAUME ZENU , TUBEBEENI HAYA MIOYONI MWENU HAIJALISHI TUNAWASEMA VIBAYA , TUVUMILIENI TUU MAANA NYIE NI WAVUMILIVU NDIYO MAANA MKAPEWA MIMBA NASIYO SISI
Utakuwa ni mgonjwa wewe! Katafute tiba! Yaani toto limejianika kama lilivyozaliwa, mkuyenye unaachaje kusimama?
 
Back
Top Bottom