Tafadhali isomwe na wanaume tu - inawahusu zaidi

mwanamme bahili ....mimi never..
raha ya kuwa na mwanaume ni awe anajua kukucare bwana ....
mimi hata kama nina hela mwanaume anependa kunisaidia i realy appreciate him ..huyo ndo mwanaume..
sio mtu una mwanaume unataka kwenda saluni huna hela hadi uzunguke kwa mashosti wote mjini kukopa..kwanza huyo mwanaume wako si ataaibika jamani?
wanaume acheni ubahili na uchoyo ,ni dhambi kwanza..
 
Hata kama jina lisingekuwepo ningejua tu haya ni maneno ya kimwana Smile.
 
Last edited by a moderator:
Hata kama jina lisingekuwepo ningejua tu haya ni maneno ya kimwana Smile.
mwanaume anaehesabia hela kwenye wallet sio kabisa..
mwanaume wa ukweli anaweka wallet mezani anakwambia hesabu za matumizi baibi wangu au anakupa card yake ukatoe kiasi chako cha matumizi ....
nyie mnaombwa vocha tu mnalia huku mtafika kweli?
 
jaman sasa mnadhani tunapendeza kwa kuuza pumba eeh,hizo hizo hela zenu za mizinga ndo zinazowafanya mtutaman et!
 
Kwani huwa unakabwa kutowa pesa au unatowa kwa hiyari yako? mambo mengine ni nonsense binti hana kibaruwa wala biashara yeyote na Familia yake haina uwezo wewe unategemea pesa amuombe nani?
 
Sasa usipoombwa wewe utaombaje? unataka ukimaliza ku DO ndo umpe sh 5000 kama wale wa jolly club.
 
Ni defensive mechanism pia. Mie nimejiwekea std kama ni ngono shurti tukakutane dubai, kama una maongezi na mie any 5* hotel will do na ni dinner hapo. Inapunguza candidates na ushawishi. Mwanaume anajitambulisha kwa majukumu atii!
 
kama wanatuona wanaume atm si wanataka usawa au usawa kwao tu? na watupe au kama vp tufanye maandano kupinga kufanywa invoice kufaid tunafaid wote hela ntoe mimi huo si unyanyasaji? watu wa haki za binadamu mpo?
 
Ni defensive mechanism pia. Mie nimejiwekea std kama ni ngono shurti tukakutane dubai, kama una maongezi na mie any 5* hotel will do na ni dinner hapo. Inapunguza candidates na ushawishi. Mwanaume anajitambulisha kwa majukumu atii!

Lahaula lakwata.
 
Really?
 
Ndugu zangu hapa jamvini naamini mko wazima kabisa! Kuna tabia ya kina dada ambayo inanichosha mno ya INVOICE. Nadhani kwa vijana wengi wa mjini hiyo term "INVOICE" imekuwa maarufu sana. Ukimtokea binti pengine siku hiyo hiyo unaombwa laki, mara nitumie vocha yaani ni kero tupu.

Nanyi ndugu zangu hapa jamvini yanawakuta hayo? Maana mabinti wamekuwa wasaka hela kwa style hiyo. Manake Binti kwa siku moja huenda anakusanya hela kwa watu hata wanne.

Mi kuna mmoja alionomba laki hivi majuzi nikamwambia nina fifty tu kwa muda ule akasema 'acha ubahili mchaga wewe' akagoma kukutana na mimi kwa kusingizia ameitwa na supervisor wake. Ni hatari!
 
Ndugu zangu hapa jamvini naamini mko wazima kabisa! Kuna tabia ya kina dada ambayo inanichosha mno ya INVOICE. Nadhani kwa vijana wengi wa mjini hiyo term "INVOICE" imekuwa maarufu sana. Ukimtokea binti pengine siku hiyo hiyo unaombwa laki, mara nitumie vocha yaani ni kero tupu.

Nanyi ndugu zangu hapa jamvini yanawakuta hayo? Maana mabinti wamekuwa wasaka hela kwa style hiyo. Manake Binti kwa siku moja huenda anakusanya hela kwa watu hata wanne.

We unaenda kutongoza na kagari ka kuazima, suruali ya dukani na shati la vifungo vya dhahabu kama muimba kwaya usiombwe hela. Badilika, demu lzm akuelewe kuwa wewe ni msolopa ganzi. Tabia ya kujishaua na kujifanya unazo ndio maana unafanywa ATM.
 
mwanaume anaehesabia hela kwenye wallet sio kabisa..
mwanaume wa ukweli anaweka wallet mezani anakwambia hesabu za matumizi baibi wangu au anakupa card yake ukatoe kiasi chako cha matumizi ....
nyie mnaombwa vocha tu mnalia huku mtafika kweli?

Ha..ha..ha..I know how to burn cash especially if the lady is worth it.Ila mwanamke akiwa na maongezi ya hela kila tukikutana huyo hana akili na hanifai.What if i get into a depression atakuwa nami huyo?
Na wale wanawake ambao hela yake yooote yake na yangu yooote yake hana mchango kwenye maisha.Life aint always a walk in a park.
 
Ni defensive mechanism pia. Mie nimejiwekea std kama ni ngono shurti tukakutane dubai, kama una maongezi na mie any 5* hotel will do na ni dinner hapo. Inapunguza candidates na ushawishi. Mwanaume anajitambulisha kwa majukumu atii!

Kama wewe ndio mnaishia kubanduliwa mande. Defensive Mechanism ya kitu gani bwana, kama hutaki mwanamke mwenye akili na heshima yake atasema tu SITAKI lkn sio kuniambia 5* Hotel. Utakutana na wafanyabiashara wenye akili mbivu watakupa hivyo unavyotaka halafu kufidia hela yao unapigwa mande mbele na tigo.

Kuomba omba hela ni uchangudoa, na ndio maana mnalalamika kuwa wanaume wanawachezea na kuwaacha. Ukitaka kudharaulika na mwanaume, we muombe hela mwanzoni, atajua ndio zako kuomba hela kwa hiyo umeshahongwa sana na kubanduliwa, kwa hiyo na yeye atambandua na kuacha uendelee na uchangudoa wako.
 
Don't try this at home if u aint me, hehehe!
Povu litawatoka! Mnatokea watu na advertise kibaao! Hakuna cha mande wala nini, sijaongelea holiday eeh, Brazil. Na ntakapowala mande wao ndo wataamini dunia hadaa ulimwengu shujaa!
Kama wewe ndio mnaishia kubanduliwa mande. Defensive Mechanism ya kitu gani bwana, kama hutaki mwanamke mwenye akili na heshima yake atasema tu SITAKI lkn sio kuniambia 5* Hotel. Utakutana na wafanyabiashara wenye akili mbivu watakupa hivyo unavyotaka halafu kufidia hela yao unapigwa mande mbele na tigo.

Kuomba omba hela ni uchangudoa, na ndio maana mnalalamika kuwa wanaume wanawachezea na kuwaacha. Ukitaka kudharaulika na mwanaume, we muombe hela mwanzoni, atajua ndio zako kuomba hela kwa hiyo umeshahongwa sana na kubanduliwa, kwa hiyo na yeye atambandua na kuacha uendelee na uchangudoa wako.
 
Kama wewe ndio mnaishia kubanduliwa mande. Defensive Mechanism ya kitu gani bwana, kama hutaki mwanamke mwenye akili na heshima yake atasema tu SITAKI lkn sio kuniambia 5* Hotel. Utakutana na wafanyabiashara wenye akili mbivu watakupa hivyo unavyotaka halafu kufidia hela yao unapigwa mande mbele na tigo.

Kuomba omba hela ni uchangudoa, na ndio maana mnalalamika kuwa wanaume wanawachezea na kuwaacha. Ukitaka kudharaulika na mwanaume, we muombe hela mwanzoni, atajua ndio zako kuomba hela kwa hiyo umeshahongwa sana na kubanduliwa, kwa hiyo na yeye atambandua na kuacha uendelee na uchangudoa wako.

Affanaaleik...................
 
Back
Top Bottom