Tafadhali isomwe na wanaume tu - inawahusu zaidi

mwanaume anaehesabia hela kwenye wallet sio kabisa..
mwanaume wa ukweli anaweka wallet mezani anakwambia hesabu za matumizi baibi wangu au anakupa card yake ukatoe kiasi chako cha matumizi ....
nyie mnaombwa vocha tu mnalia huku mtafika kweli?


Heheheheeeee!!!!!

Yaani nyie pochi zenu mzifiche ndaniaya sidiria isipokuwa sisi tuweke WAllet juu ya meza!!!!!

Hatari hiyo



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Ni defensive mechanism pia. Mie nimejiwekea std kama ni ngono shurti tukakutane dubai, kama una maongezi na mie any 5* hotel will do na ni dinner hapo. Inapunguza candidates na ushawishi. Mwanaume anajitambulisha kwa majukumu atii!
Tatizo siyo kwenda DUBAI tatizo kitakachonipeleka huko kinathamani hiyo?(value for money)
 
mwanamme bahili ....mimi never..
raha ya kuwa na mwanaume ni awe anajua kukucare bwana ....
mimi hata kama nina hela mwanaume anependa kunisaidia i realy appreciate him ..huyo ndo mwanaume..
sio mtu una mwanaume unataka kwenda saluni huna hela hadi uzunguke kwa mashosti wote mjini kukopa..kwanza huyo mwanaume wako si ataaibika jamani?
wanaume acheni ubahili na uchoyo ,ni dhambi kwanza..


Aikka Smile naona umemaliza kazi.Mwanaume kukea bana...Usione vyapendeza vimegharamiwa bwana.
 

Heheheheeeee!!!!!

Yaani nyie pochi zenu mzifiche ndaniaya sidiria isipokuwa sisi tuweke WAllet juu ya meza!!!!!

Hatari hiyo



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Tena wao mnapokutana huwa hawaweki hata senti kwa pochi, hata akitaka kupiga simu anatumia simu yako!
 
Dubai tunaenda kuandaa MoU tu, kwani mie kujipeleka dubai aliambiwa siwezi? Ndo tutakubaliana anataka nini na wazazi anakuja kuwaona lini. Busu la kwanza anapewa siku ya mahari,mie wa kizamani kukuzidi atii!
Tatizo siyo kwenda DUBAI tatizo kitakachonipeleka huko kinathamani hiyo?(value for money)
 
mwanaume anayehonga hana vina vya kutosha

That says u, unaweza kua na vina ila hutaki kupigishana kelele kuokoa nguvu na muda unampa chake na wewe unapewa mzigo unalala mbele, kama uwezo wako wa kuhomnga ni vocha ya 500 honga ulichonacho wako wengine uwezo ni laki nao pia wanatoa walichonacho.
 
HAPENDWI MTU HAPPA YAPENDWA POCHI LOL..... haaa wrong comment kumbe wanaume tu... sory mleta uzi!
 
A man has to take care of his family financially, so unatakiwa uonyeshe tabia hiyo toka mwanzo
Ndugu zangu hapa jamvini naamini mko wazima kabisa! Kuna tabia ya kina dada ambayo inanichosha mno ya INVOICE. Nadhani kwa vijana wengi wa mjini hiyo term "INVOICE" imekuwa maarufu sana. Ukimtokea binti pengine siku hiyo hiyo unaombwa laki, mara nitumie vocha yaani ni kero tupu.

Nanyi ndugu zangu hapa jamvini yanawakuta hayo? Maana mabinti wamekuwa wasaka hela kwa style hiyo. Manake Binti kwa siku moja huenda anakusanya hela kwa watu hata wanne.
 
Kasomeni Law of Marriage Act ya Tanzania, ndio mjue wajibu unaowakabili kwa familia zenu, chezea sheria wewe!, utajuta kuwa Mwanaume!, anza mapema kupractise but kwa Wanawake ambao una uhakika nao kidogo, usije ukawa unashika mapembe, hela hizi, but hata si sometimes tunawapa cash jamani!
 
hawa ndio wanaopataga ukimwi kwa kupenda vitu chee!sh**zi!Unahongwa na una**ngwa na virus juu!

kwani si kuna protection? Halafu umetumia neno chungu, hani**ngi, tuna**ngana. Na ujue mwanaume sio kuvaa sarawili babu, uanaume ni kuwa responsible.
 
Back
Top Bottom