Elli
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 55,609
- 86,300
Una sema kweli?
Kweli nakuambia, Martin ndio dume Martina/e ni jike....au ndio zile enzi za kuchukua majina tu ili ukasome ...
Una sema kweli?
Slaa ana shughuli nyingi anashughulikia ya CDM na ya CCM next time kama una ombi kama hili mpelekee mapema aorodheshe kwenye list yake.Huyo slaa angeanza kutaja mafisadi waliyomo ndani ya chama chake! Hii kukimbilia kujitia anajua sana mambo ya CCM ni kutafuta ujiko usio na mshiko!
bonge la juha, mijitu mingine bwanaIkiwa tunangoja ccm watimize ahadi yao ili sisi wananchi tuone nani fisadi, wavukazane ndani ya chama tutoke kwenye kucha ya mafisadi. dk slaa huyo kutochanganya.
Hana uvumilivu, subira hili linatufanya tuanze kuamini uwezo wake wa kuongozataifa kubwa tz likawa salama. kauli ya Msajili wa vyama vya siasa kuhusu dk slaa inaanza kuonekana
hekima ni kitu muhimu, subira ni muhimu pia.
hekima ni kitu muhimu
nchi hii inatakiwa majeshi ya YESU yesu yaingilie kati kwakuwa yeye ndiye amirijeshi mkuu wa maamirijeshi wote. akiingilia migogolo yote na ufisadi wote hautakuwapo!
Na kama Kikwete si mvumilivu na mwenye hekima basi Tangu aingie madarakani Tanzania isingekuwepo,na dkt Slaa kwa matusi yake angekuwa Segerea.Kama Dr. Slaa angekuwa mwehu kama hao CCM si Tz ingekuwa kama Ivory Coast. BTW navutiwa kujua ni kitu gani hasa unatumia (drink/inhale) kiasi cha kuwa bogus namna hii?
Mtajitahidi sana kubadilisha mada ila watu wanawashti vilevile.nchi hii inatakiwa majeshi ya YESU yesu yaingilie kati kwakuwa yeye ndiye amirijeshi mkuu wa maamirijeshi wote. akiingilia migogolo yote na ufisadi wote hautakuwapo!
Ikiwa tunangoja ccm watimize ahadi yao ili sisi wananchi tuone nani fisadi, wavukazane ndani ya chama tutoke kwenye kucha ya mafisadi. dk slaa huyo kutochanganya.
Hana uvumilivu, subira hili linatufanya tuanze kuamini uwezo wake wa kuongozataifa kubwa tz likawa salama. kauli ya Msajili wa vyama vya siasa kuhusu dk slaa inaanza kuonekana
hekima ni kitu muhimu, subira ni muhimu pia.
nchi hii inatakiwa majeshi ya YESU yesu yaingilie kati kwakuwa yeye ndiye amirijeshi mkuu wa maamirijeshi wote. akiingilia migogolo yote na ufisadi wote hautakuwapo!
Huyo slaa angeanza kutaja mafisadi waliyomo ndani ya chama chake! Hii kukimbilia kujitia anajua sana mambo ya CCM ni kutafuta ujiko usio na mshiko!