Taarifa za uzinduzi wa kampeni za CHADEMA Igunga; Dr. Slaa aunguruma

Magwanda kama kawa, siasa za maji taka. Kumbe wanaenda Igunga kuongelea watu na si sera!
 
Wewe ambaye ujifurahishi ebu niambie Jeet Patel na Manji, wakili wao ni nani kama sio Mabere Marando, wewe ni CDM-Kata unafuata mkumbo tu huna unalolijua zaidi ya kuwa mateka wa CDM

Wewe si ni Ridhiwan kikwete , mtoto na zao la ufisadi endele kutetea huo ujinga wako maana kila siku unaongea pumba tu sijui hata hiyo degree ya sheria imekusaidia nini?
Vipi ile kesi dhidi ya dr wa ukweli na role model wangu mtiklila umezifikisha wapi?baada y KUTAJWA KUWA NA WEWE NI FISADI KAMA ALIVYO BABA YAKO
 
Mimi simkubali kabisa huyu mzee. Alifanya mazurimengi lakini aliharibu saana kuwapa bure wazungu madini yetu. Ni mtu hovyo sana...maana madini ndio ilikuwa sekta pekee ambayo ingeipandisha Tz kwenye level nyingine...leo tupiga miayo tu madini yanahamishwa kwa mikataba isiyo na tija...Mkapa ni laana ya nchi. Period!
<br />
<br />hatjmimi simkubali aliwauzia barrick butobela geita akawaruhusu wachimbe bulyanhulu kahama wakati vasco da gama akiwa waziri wa nishati. Na akamruhusu vasco da gama asahini mkataba bila kuusoma akirainia uwanja wa ndege
 
Magwanda kama kawa, siasa za maji taka. Kumbe wanaenda Igunga kuongelea watu na si sera!

Dada FF hii nchi ina sera nzuri sana ambazo nadhani hata peponi zinakubalika(kama unaamini kuna pepo). Sababu ya CHADEMA kuongelea watu ni kwa sababu watu hususani wa CCM ndio waliotufikisha hapa tulipo na wala siyo sera. Ukweli ni kuwa sera za CCM ni nzuri sana hata wengi humu wanazikubali tatizo la nchi yetu ni watu tuliowapa dhamana ya kutuongoza ambao wamegeuka mchwa wanaotutafuna mali na rasilimali zetu hadi wametuacha mifupa mitupu!
 
Dr Slaa na siasa za kuchafuana.

Je zitawasaidia nini wananchi wa Igunga? Je hayo ndio mahitaji ya wana Igunga?

Chadema someni alama za nyakati sio kukurupuka.
 
Mwita pamoja na Mkapa kuwaita wapinzani KOKOTO hata Gaddaf aliwaita waasi ni Panya lakini sasa anapata kitu roho yake inapenda!
 
Dr Slaa na siasa za kuchafuana.

Je zitawasaidia nini wananchi wa Igunga? Je hayo ndio mahitaji ya wana Igunga?

Chadema someni alama za nyakati sio kukurupuka.

Wewe una miss point hapa. Nchi hii tumefika hapa kwa sababu ya watu na si kwa sababu nyingine yeyote.
Kwa mtu anayefikiria vyema, kazi iliyopo mbele yetu si kueneza sera za chama bali ni kupambana kuiondoa CCM na watu wake ambao wametufikisha hapa tulipo leo tabani. Kwa taarifa yako swala la sera na ahadi tamu ni uongo mtupu wa wanasiasa. Hakuna sera mbaya hata zile za CCM zilizopo zikipata mtu mzuri wa kuzitekeleza zintosha kuipeleka nchi hii kuwa nchi ya maziwa na asali. Lakini je tujiulize ni nani wa kulaumiwa katika hili? Je ni sera au watekelezaji wa hizi sera?

Katu sisi wananchi hatuhitaji kushawishiwa kwa sera tamu zisizotekelezeka kama ambavyo imekuwa kawaida ya CCM.
Bila kuondoa wezi wote wa mali zetu hatuwezi kufaidika na hizi sera tamu zilizoko kwenye makaratasi.

CDM wakosahihi kuongelea vitu(Ufisadi) vinavyotufanya tuwe hapa tulipo. Itawasaidia nini watu wa Ingunga kuwaelezea sera tamu za CDM na mwisho wa siku wezi wa mali ya nchi hii wakaachwa waendelee kuifirisi nchi?

CCM wanawadanganya watu ili watulie wao waendelee kuifisadi hii nchi. Ni lazima watu wajuwe kinachofanywa na hawa wezi iliwaamue wenyewe kama wanawarudishia waendelee kula au wawaondoe!
 
Siipendi CCM lakini pia sidhani siasa za sasa zinatakiwa zi-focus kwenye makombora tu, tunahitaji way forward nzuri na si makombora kama tupo baghdad
 
Makada wa CCM tafadharini sana tunaomba mtujuze kama Bendi za TOT, Twanga, Tip top connection, TMK, Diamond, Malow, Barnaba, Chid Beenz nk. kama watakuwepo kwenye kampeni za CCM Igunga. Maana huko Igunga wanapendwa ile mbaya na kila mtu!! Huenda ikasaidia kuvutia watu waje wenyewe kwenye mikutano ya kampeni kuliko kuwabeba kwenye malori kutoka mbali. Wale vijana wanajua kuimba ile mbaya & wanajua kuelezea sera za CCM vizuri nafikiri kuliko hata baadhi ya makada maarufu wa chama wanavyofanya. Tafadharini sana tunaomba mtujuze mapema ili watu wajiandae mapema kuwapokea!!!
 
Kwa kweli hii ni dhihaka kubwa sana inayofanywa na CCM kuleta usanii katika maisha ya watu. Kipindi cha kampeni si kipindi cha Usanii ni muda wa watu kukaa chini na kutafakali nini cha kufanya ili kutoka tulipo kwenda mbele zaidi
 
Ndugu wana jamvi, huku Igunga hali ni tete kwa CDM, wamebaki kiutafuta watu vijiweni ili wajaze mkutano wao wa ufunguzi. Mgombea wao hana mvuto kwa wapiga kura, DR. Kafumu ushindani mdogo utatoka kwa mgombea wa CUF, lakini CDM mambo ni mazito, SERA zenu za kutamka POSHO hamtaki huku USIKU mkizichukua hazina tija kwa wapiga kura wa Igunga. Dr. Kafumu ni tunu kwa Igunga na kiashirio cha maendeleo ya IGUNGA.

Nipo hapa Igunga madukani muda huu, CDM kwisha kazi pamoja na matangazo ya magari juu ya ufunguzi wao leo, mwitikio ni mdogo sana! Poleni wana CDM Igunga na Arusha sehemu mbili tofauti, Huku Igunga hakuna vijana wa kuleta fujo ambao huwa wanajaza maandamano yenu na mikutano.
 
Mbinu hii uliyoamua kuitumia ili kufifisha harakati za ukombozi jimboni Igunga imepitwa na wakati.....Naamini unauwezo wa kufikiri na kupata mbinu mahsusi!HII IME FAIL...
 
Ifike kipindi tushindane kwa hoja na mantiki tuache kuvuruga amani klwa kutumia msuli.Naombea kampeni ziwe za kistaarabu uchaguzi uwe wa amani na yule atakayechaguliwa na wana Igunga ahishimiwe maana waswahili wanasema SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU.
 
Wakuu mlioko jimboni Igunga tafadhali mtujuze yanayoendelea huko!Uzinduzi ukoje?
 
Jamani wakazi wa igunga pamoja na vitongoji vyake 2naomba mtujuze yanayoendelea huko igunga kwa mana leo chadema tunaanza kazi ya kuchukua jimbo la igunga! Na hatimaye taifa!
 
Ndugu wana jamvi, huku Igunga hali ni tete kwa CDM, wamebaki kiutafuta watu vijiweni ili wajaze mkutano wao wa ufunguzi. Mgombea wao hana mvuto kwa wapiga kura, DR. Kafumu ushindani mdogo utatoka kwa mgombea wa CUF, lakini CDM mambo ni mazito, SERA zenu za kutamka POSHO hamtaki huku USIKU mkizichukua hazina tija kwa wapiga kura wa Igunga. Dr. Kafumu ni tunu kwa Igunga na kiashirio cha maendeleo ya IGUNGA.

Nipo hapa Igunga madukani muda huu, CDM kwisha kazi pamoja na matangazo ya magari juu ya ufunguzi wao leo, mwitikio ni mdogo sana! Poleni wana CDM Igunga na Arusha sehemu mbili tofauti, Huku Igunga hakuna vijana wa kuleta fujo ambao huwa wanajaza maandamano yenu na mikutano.
mwenzako kwenye picha,then naunga mkono hoja 100 asilimia
 
watu wa vijiweni kura zao haziesabiki au?
utaishia wagongwa wenzio ambao magamba yamewajaa na kuziba nyuso zao mapaka wanashindwa kuona!
 
Back
Top Bottom