Taarifa za uzinduzi wa kampeni za CHADEMA Igunga; Dr. Slaa aunguruma

Sio laana peke yake yaani mtakua mmetudisapoint sana watanzania kwa sababu hii ndo nafasi pekee ya kuiwajibisha serikali ya ccm, inawezekana 2010 tulichagua kwa kufuata mkumbo au uoga au kutojua au ahadi au kuhongwa nk. mambo ni mengi, kitu cha kujiuliza? kwa nini tusijifunze kutokana na makosa? namaanisha tulikosea kuichagua ccm,hilo sio kosa kwa nini turudie kosa tena? hata waswahili wanasema "kufanya kosa sio kosa ila kurudia kosa" mkichagua ccm mtakua mmerudia kosa na hapo hatutawasamehe, kwa hiyo please msirudie kosa, wote mnajua yaliyotokea na yanayoendelea kutokea ndani ya hii nchi, sina haja ya kuyataja yote kwani ni mengi ila tujikumbushe kidogo yaliyotokea baada ya ccm kuingia madarakani na hii hata mwaka haujaisha,mi nilifikiri watajifunza lakini wapi wote sisi ni mashahidi, walianza na
1. Malipo ya Dowans, wote mnakumbuka yaliyotokea
2. Wakaja akina Kombani na Werema kuhusu katiba,mnakumbuka walivyokuwa wanaongea
3. Ukaja muswada wa katiba, wote mnakumbuka pia ulivyokua mbovu
4. Ukaja mgao wa umeme, dah ndo balaa tupu mpaka sasa unaendelea
5. Kuna kupanda kwa gharama za maisha, hiki ni kilio cha kila mtu na hakuna walichofanya kututoa huko
Hivi karibuni pia mnakumbuka yaliyotokea
6. Wakati umeme bado ishu,likaingia la mafuta
7. Hatujasahau la mafuta mara akina Jairo hao
8. Hatujakaa vizuri suala la sukari limerudi tena
Haya ni kwa ufupi, tunajijua kua sisi ni waoga sana, hatuwezi hata kulalamika achilia mbali kuandamana kwa kisingizio kwamba tunadumisha amani,ok fine sasa hata hili la kutumia sanduku la kura nalo linatushinda? please tubadilike, kura yako ina thamani na inaweza kubadilisha hii hali, ifike wakati turelate umasikini wetu na uchaguzi wa viongozi tunaoufanya, hapo ndipo kura zitakapotuisaidia.
 
Pamoja na Tambo nyingi kwa Viongozi wa Chadema kwa kurusha makombora kwa CCM hakuna alie thubutu kugusa suala la Kagodaa kwenye uzinduzi wa kampeni Igunga. Hakugusia hata kidogo kashfa ya Kagoda!

Watalamu wa mambo ya siasa wanasema Chadema hawana ushahidi juu ya Kagoda kama Ushahidi wa Msema kweli! Imekua vigumu kwa CDM kuongelea Kagoda tofauti na hapo nyuma kwani suala la Kagoda kwa sasa halitakiwi porojo za kisiasa kinachotakiwa ni Ushidi uwe kama ule wa Msemakweli au Zaidi!

Suala la Kagoda linaipunguzia Chadema kuaminiwa kwani hawana ukweli wake.
 
Raha jipe mwenyewe hapo ulipo mkuu ila ndio hivo kiboko cha MAFISADI nchini ametua Igunga kwa kazi moja tu Ukombozi; nakwambiaa patachimbika pale kwa Mfalme wko Rostam Aziz.
 
John Marwa;Pamoja na Tambo nyingi kwa Viongozi wa Chadema kwa kurusha makombora kwa CCM hakuna alie thubutu kugusa suala la Kagodaa kwenye uzinduzi wa kampeni Igunga. Hakugusia hata kidogo kashfa ya Kagoda!

Watalamu wa mambo ya siasa wanasema Chadema hawana ushahidi juu ya Kagoda kama Ushahidi wa Msema kweli! Imekua vigumu kwa CDM kuongelea Kagoda tofauti na hapo nyuma kwani suala la Kagoda kwa sasa halitakiwi porojo za kisiasa kinachotakiwa ni Ushidi uwe kama ule wa Msemakweli

Yeye Msemakweli siku anafanya press conference yake alisema hivi; ninanukuu "...sijawahi kuwa mwana ccm na nitakufa nikiwa sio mwanaccm, mimi ni CHADEMA tangu 1999" mwisho wa kunukuu. Kwa hiyo utaona alichosema Msemakweli ndicho ambacho Chadema wangesema. Sasa unataka waseme nini tena?
 
Pamoja na Tambo nyingi kwa Viongozi wa Chadema kwa kurusha makombora kwa CCM hakuna alie thubutu kugusa suala la Kagodaa kwenye uzinduzi wa kampeni Igunga. Hakugusia hata kidogo kashfa ya Kagoda!

Watalamu wa mambo ya siasa wanasema Chadema hawana ushahidi juu ya Kagoda kama Ushahidi wa Msema kweli! Imekua vigumu kwa CDM kuongelea Kagoda tofauti na hapo nyuma kwani suala la Kagoda kwa sasa halitakiwi porojo za kisiasa kinachotakiwa ni Ushidi uwe kama ule wa Msemakweli au Zaidi!

Suala la Kagoda linaipunguzia Chadema kuaminiwa kwani hawana ukweli wake.

Kwani chadema ni Polisi
 
Hivi pesa zilizoibiwa na Kagoda na wengineo ni pesa za Chadema au ni pesa za Watanzania? Inaelekea unashabikia huo wizi uliofanyika. Je wewe ni mmojawapo wa walioiba pesa hizo? Mimi kwa maoni yangu, wizi wote wa mali ya umma upingwe vikali na kila mzalendo Mtanzania licha ya kujali itikadi au chama. Kama utashabikia kwa ukosekanaji wa ushahidi wa wizi huo, hupaswi kuitwa mzalendo na ni aibu kubwa kwa chama chochote kile ambacho wewe ni mwanachama au unakishabikia. Ingekuwa mimi ni wewe, nisingediriki kuandika hayo uliyoyaandika humu kwenye kadamnasi ya Watanzania. Tuweke Tanzania kwanza!
 
Pamoja na Tambo nyingi kwa Viongozi wa Chadema kwa kurusha makombora kwa CCM hakuna alie thubutu kugusa suala la Kagodaa kwenye uzinduzi wa kampeni Igunga. Hakugusia hata kidogo kashfa ya Kagoda!

Watalamu wa mambo ya siasa wanasema Chadema hawana ushahidi juu ya Kagoda kama Ushahidi wa Msema kweli! Imekua vigumu kwa CDM kuongelea Kagoda tofauti na hapo nyuma kwani suala la Kagoda kwa sasa halitakiwi porojo za kisiasa kinachotakiwa ni Ushidi uwe kama ule wa Msemakweli au Zaidi!

Suala la Kagoda linaipunguzia Chadema kuaminiwa kwani hawana ukweli wake.
Magamba wao walishauzungumzia ufisadi upi kama si kuukingia kifua siku zote?
 
Sasa kama hawana ushahidi wa Kagoda watapata wapi ajenda za kuongea mikutanoni. Maana hawa jamaa ajenda yao kubwa ni ufisadi........ufisadi.........ufisadi. Sasa sijui hata hawajui kama kuna mambo mengine ya kuongelea kama barabara, maji, umeme, shule, hospitali...........
 
<br />
<br />
Hiyo ndiyo ajenda kuu kwamaana bila ufisadi, maji, umeme, hospitali na yoooote yanayofanana na hayo yasingekuwa bidhaa adimu

Ufisadi ulizaa richmond, ufisadi ulileta citywater , ufisadi mpaka kwenye vocha za pembejeo, mwe! Acha msemwe Mr English
 
Kumbe huyu ndo anasimamia ugawaji wa madini yetu bure kwa wazungu sio? Umetupa ajenda.......

Jamani naombeni na mimi mniunganishe kwa Nnape nipate angalau kidogo kwenye huo mkato wa Internet campaign, jamani nisaidieni nimalizie kibanda changu naona nyie wenzengu mnakula kimya kimya siyo vizuri hivyo
 
walioiba kwa ajiri ya kuzitumia kwenye uchagu ndo wanapata kigugumizi.tunataka mwenyekiti wenu akane hii kitu.ia
 
Nakusalimu mwanaigunga, ccm wakupe hela ule uwape scani ya kitambulisho. tar 2.10.2011 kura yako kwa kashindye
 
Ushauri wangu wa bure kwa Chadema ni kuwa wawe na timu ya strategy (mipango) na focus yao kubwa iwe kuwaleta akina mama kwenye mapambano, Mandela aliwahi kusema kuwa ukiona akina mama wanaanza kuingia kwenye mapambano ujue ushindi uko karibu. Nawashauri wabunge wa kike na viongozi wanawake wa Chadema wasipoteze muda kwenye majukwaa wawatafute akina mama kwenye maeneo yao ili kuwaleta, wafanye hivyo chini kwa chini na wakifanikiwa nasema kamwe hakuna atakaye waweza
 
Pamoja na Tambo nyingi kwa Viongozi wa Chadema kwa kurusha makombora kwa CCM hakuna alie thubutu kugusa suala la Kagodaa kwenye uzinduzi wa kampeni Igunga. Hakugusia hata kidogo kashfa ya Kagoda!

Watalamu wa mambo ya siasa wanasema Chadema hawana ushahidi juu ya Kagoda kama Ushahidi wa Msema kweli! Imekua vigumu kwa CDM kuongelea Kagoda tofauti na hapo nyuma kwani suala la Kagoda kwa sasa halitakiwi porojo za kisiasa kinachotakiwa ni Ushidi uwe kama ule wa Msemakweli au Zaidi!
Suala la Kagoda linaipunguzia Chadema kuaminiwa kwani hawana ukweli wake.
kama hawana ukweli au ushahidi wake huoni kuwa ni busara kutozungumzia suala hilo kuliko kuropoka kama unavotaka wewe unaetumia MASABURI kutoa hoja zako!? nadhani kutokana na hoja yako kwa mtu mwenye busara atakuwa ame-prove kuwa CDM wapo makini na hawasemi jambo bila kuwa na evidence!
 
Ndugu ucje kimbia humu jamvini,kampeni mwisho tarehe moja october je unajua wataongea nini kesho?na kesho yake?jaribu kutumia japo 10% ya akili yako kufikiri.
 
\

Mgombea wa CCM ni PHD holder na Kamishna wa Madini

Mgombea wa CDM ana dipoma ya ualimu ya kuunga na mwalimu wa primary mstaafu

Mgombea wa CUF ni Form Four ya Zamani na Dalali wa Mchele katika mashine za kusaga za mabrush hapa Igunga opposite na NMB

Wakazi wa Igunga wameshasema HAWANGANYIKI, LULU IKO CCM!

Hatuhitaji PHd Bungeni, tunahitaji mtu mwenye uwezo wa kuwawakilisha wananchi na kutatua kero zao! Mbona Steven Ngonyani (Prof. majimarefu yule mganga wa kienyeji yupo bungeni na magamba yake?)
 
Back
Top Bottom