Taarifa za uzinduzi wa kampeni za CHADEMA Igunga; Dr. Slaa aunguruma

Mkuu kumbe unabase kwenye historia? Uliza hata Mwanza 2005 hali ilikuwaje na sasa hali ikoje. Utapata jibu
WATANZANIA ni walewale jana leo na kesho. Mwanza kuna kitu serikali waliwakorofisha wamachinga.
 
Ukweli hapa igunga CCM ndie mshindi.Nimeshauri chama changu kisisimamishe mgombea kuondoa aibu inayokuja wapi,viongoz vichwa ngumu.Igunga nzima hata huyu diwan wa pekee CDM anatuhujumu kimyakimya kwa kumfagilia DALALA KAFUMU.Slaa dr wangu utajishushie sifa zako.
wewe mbona unajipendekeza sana kwa wanaume?chadema hakuna basha nenda hukohuko kwa magamba kama wanapiga hiyo kitu(masaburi)
kwa sababu kila ukichangia unajipendekeza wakati we ni kenge unalazimisha kuingia msafara wa mamba?
 
<br />
<br />
uchwara!!? Phd ya ukweli hyo waambie watu wa Phd feki e.g. Mkwele Udom & lyatonga. Hawajifunzi kutoka kwa Mkapa hataki phd za hisani

Iwe feki au ya kweli ila tuseme ukweli Dr. Slaa hajagawiwa PhD kama wengine tunaowafahamu wamekimbia umande hata Masters yenyewe wameshindwa kusoma
 
hahaha post ya mwanzo niliweka kusudi nikijua itapata reaction gani.natumai padri slaa alko anakenua meno kwa mabango nilopewa.VERY UNFUNNY
 
Ukweli hapa igunga CCM ndie mshindi.Nimeshauri chama changu kisisimamishe mgombea kuondoa aibu inayokuja wapi,viongoz vichwa ngumu.Igunga nzima hata huyu diwan wa pekee CDM anatuhujumu kimyakimya kwa kumfagilia DALALA KAFUMU.Slaa dr wangu utajishushie sifa zako.
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;Mkuu cdm ina madiwani<br />
wawili, ktk kata ya igunga mjin na kata ya kinungu a.
 
Igunga is nt a city.we gave u cities ili muendelee kuvimba vichwa wakati huo cc tunatesa vijijini. Akili kichwani rural and town nani mjanja hapo bwana kaka!
 
CCM , ni mbwa mtu. wanajifanya kondoo kumbe ndani kwao dog tu.

Igunga haikuwahi kuwa na gari la maji ya kuwasha, lakini kwa vile CCM wanataka ushindi si kwa sera bali kwa vitisho na dhuluma. Tayari wamepeleka gari la maji ya kuwasha huko igunga, na limekuwa likipitishwa mitaani ili kuwaogofya wananchi wasisimame katika haki. hali hii inatisha kabisa.

Ninachowaasa wananchi wa Igunga, wasiwe na shaka, wapige kura kwa utulivu ili CCM wakose sababu.

NAWACHUKIA CCM

Kama ingekuwa enzi za ujana wangu siku ya kura linge kuwa na pancha mataili yote bila wao kujuwa au engine inge-noki!
 
Tunawatakia mafanikio mame na damu ya Yesu iwafunike kipindi chote wapiganaji watakapokuwa hapo Igunga.


Kila mtu mwenye akili timamu na mwenye kuitakia mema nchi hii anajua pasipokumng'unya maneno kuwa CHADEMA ndicho chama BORA cha upinzani kuwahi kutokea Tanzania.


Kila mwenye nia njema na nchi hii hakika angetamani wanaigunga pia wajue hili na kufanya uamuzi wa busara siku ya kupiga kura. Lakini hatutashangaa pia kama bado wataendelea kuchagua magamba. Kwani watu hatubadiliki kwa wakati mmoja inachukua muda kubadilika kufikia kipimo cha kujitambua na kujiamini na kutenda kwa kutumia ubongo wako pasipo kushawishika kutokana na ugumu wa mazingira uliyonayo.

WanaIgunga wakichagua magamba Kamwe haiwezi kuwa pigo kwa CDM bali ni pigo kwa watanzania wote wanaotaka Tanzania mpya na pengine itawatia hamasa zaidi chadema ili wakaze buti zaidi katika harakati za kuwaamsha watanzania.


Chadema mnapashwa kubaki na msimamo wenu wa kupamba na uovu hata kwenye hizi kampeni za Igunga. Uchaguzi wa Igunga liwe ni Jukwaa la kuwaamsha hawa ndugu hata kama hawatachagua cdm lakini baadaye watakumbuka mtakayowaambia.

Tumieni hii kam fursa pengine Igunga ndo itakuwa chanzo cha mabadiriko katika mkoa wa Tabora ambao bado uko usigizini.

Once again we wish you All the best!
 
Umekosea mkuu ni kama vichwa 1,000,000,00 vya akina ******


kichwa cha dr willbroad slaa ni vichwa mia 500 vya akina mkapa na wenzake.....kama kuna mtu anabisha subirini muone.........bravo dr wa ukweli.maana kuna jamaa anaitwa dr wakati hata gpa yake ya bachelor inasheki...................
 
WAKATI pazia la kampeni za uchaguzi katika jimbo la Igunga, mkoani Tabora linafunguliwa leo, homa ya uchaguzi huo imepamba moto kwa wafuasi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Chama cha Wananchi (CUF), kutunishiana misuli kwa kutaka kutwangana makonde.

Maneno makali na lugha chafu, zilisikika kutoka kwa wafuasi wa vyama hivyo wakati wakiwasindikiza wagombea wao walipokuwa wakirejesha fomu za kuomba kuteuliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kugombea kiti hicho.

Jeshi la Polisi wilayani hapa, lililazimika kufanya mazungumzo na wagombea wa vyama vyote pamoja na viongozi wao kusisitiza umuhimu wa kufanya kampeni za amani na utulivu.
Wagombea katika uchaguzi huo unaovuta hisia za Watanzania wengi na vyama vyao kwenye mabano ni Dk. Peter Kafumu (CCM), Joseph Kashindye (CHADEMA), Leopold Mahona (CUF), Hassan Ramadhan, (Chausta), Hemed Ramadhan (UPDP), John Maguma (SAU), Stevin Makingi (AFP) na Saidi Makeni (DP).
Katika hekaheka za kurejesha fomu hizo kabla ya muda uliowekwa kisheria wa saa 10 jioni kumalizika, misafara ya wafuasi wa vyama hivyo iliingiliana na kusababisha tafrani kubwa.
Hata hivyo wakati wafuasi wa CCM wakikwaruzana na wenzao wa CHADEMA na CUF, mgombea wao, Dk. Peter Kafumu, alirejesha fomu yake mapema kimyakimya.
CHADEMA inayopewa nafasi kubwa kushinda kiti hicho kilichoachwa wazi na Rostam Aziz (CCM), ilikuwa ikiongoza maandamano kuanzia ofisi zake za wilaya kuelekea katika ofisi ya msimamizi wa uchaguzi, lakini ghafla msafara wa maandamano yake uliopambwa na bendera, pikipiki, baskeli na magari, uliingiliwa na kukatizwa na wafuasi wa CUF, hali iliyosababisha wafuasi wa vyama hivyo kuanza kutunishiana misuli na kutaka kupigana.

Mgombea wa CHADEMA, Kashindye, aliwasilisha fomu yake kwa msimamizi wa uchaguzi saa saba mchana, wakati huo mgombea wa CUF, Leopold Mahona, naye akisubiri nje na wafuasi wake ili kuingia kukabidhi fomu yake.

Baada ya kukabidhi fumo yake, Kashindye alisema yuko tayari katika mapambano ya kusaka kura na kuwapa matumaini wananchi wa Igunga kwamba endapo watampa ridhaa, atafanya mambo makubwa kwa kutoa kipaumbele kwenye sekta ya elimu, miundombinu, kilimo na mambo mengine ya miradi ya maendeleo.
Kwa upande wake Mahona, alisema chama chake kinajiaandaa kusaka kura kwa wananchi na kuwaelimisha jinsi gani kimeandaa kuboresha maisha ya wananchi wa Igunga.
Lakini wakati huohuo, viongozi wa vyama hivyo kwa nyakati tofauti walikuwa wakiendelea kurushiana maneno ambapo kila mmoja alimshtumu mwenzake kuhusika katika kuwachochea wafuasi wake wafanye vurugu.
Mkurugenzi wa Sera na Utafiti wa CHADEMA, Waitara Mwikabwe, alisema CUF iliingilia msafara wao, jambo alilodai kwamba lingeweza kusababisha kutoweka kwa amani katika shughuli hizo.
Aliwaasa wafuasi wa CHADEMA kuwa wastaarabu katika mchakato huo, akisema wao wamekuja Igunga kuchukua kiti hicho.
Kwa upande wake, Katibu wa Vijana wa CUF, Mohamed Babu, aliishutumu CHADEMA kuwa ilivamia maandamano yao.
“Sisi tumetumia hekima kubwa sana kwa kuwastahi hawa mabwana, tungeamua tungezichapa kwanza ndipo tupeane heshima lakini kwa kuzingatia busara tumeacha.”

CCM kwa upande wake, ilitumia staili ya aina yake ambapo mgombea wake alifika katika ofisi za msimamizi saa tano asubuhi akiwa amesindikizwa na viongozi wa chama wilaya, mkoa na taifa, ikiwa kimya.

Sababu ya kufanya hivyo, ilitajwa kuwa ni kutokana na kuomboleza msiba wa mtoto Peter Zakaria, aliyepoteza maisha kwa ajali ya gari aina ya fuso wakati wa maandamano ya kumsindikiza Dk. Kafumu kuchukua fomu.
Dk. Kafumu alijinasibu kuwa kipaumbele chake kitakuwa upatikaji wa maji kwa kuchimba mabwawa, kuboresha miundombinu hasa daraja la Mbutu, kuboresha elimu ya sekondari na kilimo cha pamba.

Mratibu wa kampeni wa CCM, Mwigulu Nchema, alisema chama hicho kinategemea ushindi mkubwa wa kishindo, huku akiwaomba wananchi kujitokeza kwa wingi kwenye uzinduzi wa kampeni za kumnadi mgombea wao Septemba 10.

Kampeni za uchaguzi huo zinatarajiwa kuanza rasmi leo huku muda wa kuwawekea pingamizi wagombea ukimalizika leo saa 10 jioni. Msimamizi wa Uchaguzi, Protace Magayane, alisema wagombea nane walioteuliwa kuwania kiti hicho.
Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Willibrod Slaa, atazindua kampeni za mgombea wao kesho, wakati kesho kutwa Rais mstaafu Benjamini Mkapa, akitarajiwa kuzindua kampeni za CCM na CUF itazindua kampeni zake Septemba 13.

Akizungumza na gazeti hili, Dk. Slaa alisema wameandaa makombora zaidi ya 100 kuisambaratisha CCM na serikali yake ambayo alirejea wito wake wa mara kwa mara kuwa imeshindwa kuongoza na kusababisha maisha kuwa magumu kwa Watanzania.

Alisema amefurahi kwamba kampeni za CCM zinafunguliwa na Mkapa kwani CHADEMA imemwandalia makombora yake ya ufisadi alioufanya wakati akiwa Rais kabla ya Rais Jakaya Kikwete kurithi kiti chake.



h.sep3.gif
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom