Taarifa za uzinduzi wa kampeni za CHADEMA Igunga; Dr. Slaa aunguruma

Katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo, Dr. W. P. Slaa atazindua kampeni za chama chake mjini Igunga kesho kutwa, alhamisi kwenye mbio za kuwania ubunge wa jimbo hilo.

Source: Radio One.
mh haya mapambano mema ila asije kuwa kama mzito wa kigoma keshasahau wananchi anakla vya mafisadi tuuu
 
Hivi vyama ambavyo havina ruzuku yetu vinafanyaje kampeni? CHADEMA na CUF mmegawana tayari kura za upinzani. CCM itashinda kwa saana tu. Sio mbaya lakini. Nanyi mtaonyesha mpo.
 
CCM , ni mbwa mtu. wanajifanya kondoo kumbe ndani kwao dog tu.

Igunga haikuwahi kuwa na gari la maji ya kuwasha, lakini kwa vile CCM wanataka ushindi si kwa sera bali kwa vitisho na dhuluma. Tayari wamepeleka gari la maji ya kuwasha huko igunga, na limekuwa likipitishwa mitaani ili kuwaogofya wananchi wasisimame katika haki. hali hii inatisha kabisa.

Ninachowaasa wananchi wa Igunga, wasiwe na shaka, wapige kura kwa utulivu ili CCM wakose sababu.

NAWACHUKIA CCM
Ni mkakati wa kuchakachua matokeo, wanawatisha wananchi ili wasikeshe kulinda kura zao. Yaliyotokea Shinyanga yanaweza kujirudia Igunga.
 
@Natamani ningekuwepo Igunga wakati huu ili kuona mpambano wa: Wanyonyaji dhidi ya Wapigania haki, Vyombo vya dola dhidi ya Nguvu ya umma, Pesa dhidi ya Mungu, Propaganda dhidi ya Siasa safi, Dhuluma dhidi Haki,.... @Kuwepo kwa Dr. Slaa Igunga nafikiri Chama cha mapinduzi kitapata wakati mgumu sana, Serikali yote, Vyombo vyote vya dola, Makada wote maarufu wa CCM watahamia Igunga kujaribu kuzuia harakati zake. Sijui kama wataweza? @Wakati Chadema wanampeleka Dr.Slaa (Mtu anafahamika&kuaminiwa kuupinga ufisadi kwa nguvu zake zote), CCM wanatarajiwa kuwapeleka makada waajabu kabisa eg. Mkapa (Rais mstaafu fisadi), Msekwa (Spika mstaafu fisadi), Nape(Mnafiki&Mropokaji), Nchemba(Kada mchanga&mwoga), Rostam(Fisadi mkuu) nk. Just wait&watch the cinema...
 
ccm , ni mbwa mtu. Wanajifanya kondoo kumbe ndani kwao dog tu.

Igunga haikuwahi kuwa na gari la maji ya kuwasha, lakini kwa vile ccm wanataka ushindi si kwa sera bali kwa vitisho na dhuluma. Tayari wamepeleka gari la maji ya kuwasha huko igunga, na limekuwa likipitishwa mitaani ili kuwaogofya wananchi wasisimame katika haki. Hali hii inatisha kabisa.

Ninachowaasa wananchi wa igunga, wasiwe na shaka, wapige kura kwa utulivu ili ccm wakose sababu.

Nawachukia ccm
inamaana hiyo gari haikuwepo before?ushindi uko tayari kwa aliyepangwa na mungu kupitia akili za watu
 
@Natamani ningekuwepo Igunga wakati huu ili kuona mpambano wa: Wanyonyaji dhidi ya Wapigania haki, Vyombo vya dola dhidi ya Nguvu ya umma, Pesa dhidi ya Mungu, Propaganda dhidi ya Siasa safi, Dhuluma dhidi Haki,.... @Kuwepo kwa Dr. Slaa Igunga nafikiri Chama cha mapinduzi kitapata wakati mgumu sana, Serikali yote, Vyombo vyote vya dola, Makada wote maarufu wa CCM watahamia Igunga kujaribu kuzuia harakati zake. Sijui kama wataweza? @Wakati Chadema wanampeleka Dr.Slaa (Mtu anafahamika&kuaminiwa kuupinga ufisadi kwa nguvu zake zote), CCM wanatarajiwa kuwapeleka makada waajabu kabisa eg. Mkapa (Rais mstaafu fisadi), Msekwa (Spika mstaafu fisadi), Nape(Mnafiki&Mropokaji), Nchemba(Kada mchanga&mwoga), Rostam(Fisadi mkuu) nk. Just wait&watch the cinema...
Haya yanafahamika humu JF tu. Igunga na wapiga kura wake ni Dr Kafumu tu.
 
Hivi vyama ambavyo havina ruzuku yetu vinafanyaje kampeni? CHADEMA na CUF mmegawana tayari kura za upinzani. CCM itashinda kwa saana tu. Sio mbaya lakini. Nanyi mtaonyesha mpo.
Kwa hiyo ubungo,mwanza,mbeya,Arusha ,Musoma na kwingine waliko wabunge wa CDM CCM na CUF hawakuwepo mbona tunapakana matope kweupe yaani kwa nini usiseme CCM na CUF wameshashindwa tayari au CCM na Chadema wameshashindwa tayari acha demokrasia ichukue mkondo wake ,tusirudi nyuma tuendelee tujichuje mpaka vibaki vyama vyenye nguvu hata vikiwa vitatu vitano inafaa vilevile lakini sio kudhani CCM ndio alfa na omega cha
 
Mkoa wa Tabora kama ilivyo kwa mikoa ya Mtwara, Ruvuma, Tanga na Morogoro hauwambii kitu mbali na CCM wakakuelewa. Ili kukabiliana na ukweli huu, nguvu ya pamoja ya upinzani inahitajika. CHADEMA wameandamana nchi nzima. Hatujaona kitu au badiliko lolote la maana ambalo pengine lingewavutia wapiga kura wa Igunga. Na kwa akili zao zilivyo nyingi watakwenda kuhubiri ANBEN ya Mkapa utadhani ndiye anagombea ubunge kule!
CUF wao sasa ni sehemu ya CCM kama ilvyokuwa Afro Shiraz Party kwa TANU! Huhitaji akili ya Marehemu Sheikh Yahya kumjua mshindi!
 
<font size="3"><b>Kichwa cha Dr Willbroad Slaa ni vichwa mia 500 vya akina Mkapa na wenzake.....kama kuna mtu anabisha subirini muone.........Bravo Dr wa ukweli.Maana kuna jamaa anaitwa Dr wakati hata GPA yake ya Bachelor inasheki...................</b></font>

haaah haah mkuu hv huyu alipiga Gpa ngapi vile, eti ni mchumi halafu alisema hajui kwa nn Tz ni masikini.
 
Mkoa wa Tabora kama ilivyo kwa mikoa ya Mtwara, Ruvuma, Tanga na Morogoro hauwambii kitu mbali na CCM wakakuelewa. Ili kukabiliana na ukweli huu, nguvu ya pamoja ya upinzani inahitajika. CHADEMA wameandamana nchi nzima. Hatujaona kitu au badiliko lolote la maana ambalo pengine lingewavutia wapiga kura wa Igunga. Na kwa akili zao zilivyo nyingi watakwenda kuhubiri ANBEN ya Mkapa utadhani ndiye anagombea ubunge kule!
CUF wao sasa ni sehemu ya CCM kama ilvyokuwa Afro Shiraz Party kwa TANU! Huhitaji akili ya Marehemu Sheikh Yahya kumjua mshindi!

Wilcard hizo ni consipiracy theory eti watu wa Igunga hawasikii kwa CCM,yaani kwa maelezo yako wale ni mateja wa CCM,basi tungoje kipienga cha mwisho lakini sitanunua hadithi yako hii kwa wakati huu,mambo yanaenda yakibadilika
 
Wildcard naona unajitahidi sana kuwasemea wana-Igunga. Hongera.
Vipi mkuu nasikia mkulu alihongwa sarawili na kawoshi na waarabu wakati akiwa waziri wa mambo ya nje, ni kweli?
 
Bigirita ndugu yangu,
Hayo ya sarawili na kawoshi yana thread zake humu tayari. Zisome tu upate ukweli na uelimike pia. Nawafahamu wanaIgunga. Nimeishi kule miaka ya nyuma kidogo.
 
Mkuu kumbe unabase kwenye historia? Uliza hata Mwanza 2005 hali ilikuwaje na sasa hali ikoje. Utapata jibu
 
Back
Top Bottom