Taarifa za uzinduzi wa kampeni za CHADEMA Igunga; Dr. Slaa aunguruma

Mkapa huwa anatumia neno moja tu linalowakilisha wapinzani, KOKOTO. Huyu mzee namkubali sana.
 
Mimi sioni sababu ya kuwataja JK na Mkapa kwenye uchaguzi wa Igunga kwani hamna mmoja wapo anaegombea huko. Mgombea ni mwingine kwa nini mashambulizi yaelekezwa kwa JK na Mkapa? That can be saved for a later time. Muda ukifika wana Igunga wata wapigia kura wagombea sasa waki poteza pumzi kwa watu ambao hata hawa gombei itakula kwao.
 
Unayoyasema yana mantiki lakini kikubwa kinabaki kuwa maamuzi watakayofanya watu wa Igunga kwenye sanduku siku ya uchaguzi. Ninachokihisi ni kwamba Mkapa sana sana ataponda upinzani(CDM) hasa akijua kuwa hakuna lolote serikali ya Vasco imelifanya la kujivunia maana pamoja na kuwa watu wanamsifia Rostam kuwa eti ameliendeleza jimbo sidhani kama hiyo ni kweli.
Lakini ikumbukwe pia kuwa Mkapa atafungua tu kampeni na kwa maana hiyo atazungumza siku hiyo moja tu. Sasa tusubiri pengine wana Igunga watabeba maneno yake hayo yanayohofiwa kwa sababu ya umakini na watakaa nayo vichwani hadi siku ya uchaguzi.
Tanzania hatuna vyombo vya habari bali tuna matarishi wa kubeba habari.
 
Hii thread iunganishwe na ile nyingine ambapo nimechangia jinsi ninavyomkubali Mkapa kwa kuwaita wapinzani KOKOTO. Hopefully mods will do the needful, won't they?
 
Sasa a loser Dr Slaa, anaandaa hayo makombora anajisumbua bure, hata hao mafisadi anaoangaika kuwataja wakipelekwa mahakamani Mabere Marando yupo watampa pesa then atawatetea.
A loser Dr Slaa, nadhani angetulizana tu ingekuwa bora kwake
 
Dr Slaa lazima uwe unaelewa mazingira ya kisiasa na wakati! Ndio maana umebaki na ushahidi wa Kagoda kwenye mkoba wako hadi msemakweli kaja kutoa ushahidi mwingine! Sasa Mgombea wa Igunga ni JK au Mkapa? Unamlipua JK au Mkapa halafu iweje? Kati ya Mkapa na Jk nani Mgombea wa jimbo la Igunga? Acha ushamba wako Dr wa Kiirak elewa mazingira ya kisiasa siku zote!
 
Sasa a loser Dr Slaa, anaandaa hayo makombora anajisumbua bure, hata hao mafisadi anaoangaika kuwataja wakipelekwa mahakamani Mabere Marando yupo watampa pesa then atawatetea.
A loser Dr Slaa, nadhani angetulizana tu ingekuwa bora kwake
Unajifurahisha mwenyewe ila ukweli unaujua moyoni mwako.Naheshimu mtu akiwa kazini najua uko kazini.
 
Mwambieni huyo babu Slaa akumbuke kwenda na pampers nasikia maduka ya Igunga hayana pampers ili asije kupata taabu na mtoto aliyezaa na mke wa watu.
 
Hii thread iunganishwe na ile nyingine ambapo nimechangia jinsi ninavyomkubali Mkapa kwa kuwaita wapinzani KOKOTO. Hopefully mods will do the needful, won't they?

punguza hasira kaka, ipo siku utatamani uingie kwenye sanduku la kura. subiri tuone mpambano wa kutafuta kura.
 
Hamna Mtanzania asiyemkubali Mkapa kwa mambo aliyotufanyia. Kikwete naye kafanya vizuri pia.
CCM still ipo juu. Hop itashinda kwa kishindo jimbo la Igunga
 
Ni sawa na kujisifia Eti! umejifunika blanket zito lisilopitisha baridi wakati lina kinyesi chenye harufu mbaya. Kipi nafuu kupigwa baridi ama kuogelea kinyesi na harufu. think outside the box. Hata Mkapa si msafi kwa tuhuma za ufisadi
 
Mkapa huyu huyu mwizi wa EPA na aliefanya Biashara akiwa ikulu au mnamuongelea Mkapa gani?
1. Deep Green Finance
2. Meremeta
3. Kagoda
4. Kiwila
Binadamu yoyote anaemuona Mmakonde huyu kwamba ana chembe ya akili basi lazima atakuwa anatumia tundu la kati kufikiri.
 
Mara baada ya C.C.M kumteua Rais mstaafu B.W Mkapa kuongoza kampeni za Igunga.Kumeibuka mjadala ktk vyombo vya habari na ktk jamii na hapa Igunga ndio kumetia fora.Wana Igunga wamekuwa wakimjadili kila wakati Mkapa kana kwamba yeye ndio anagombea.Wananchi hapa Igunga kila kilinge vijana kwa wazee wanamkubali mkapa kwa kusema amefanya makubwa ktk awamu yake ukilinganisha na awamu ya sasa.Kati ya viongozi waliotumwa na vyama vyao kuzindua kampeni Igunga ni kiongozi mmoja tu ambaye anamvuto naye ni Mkapa.Vyombo vya habari na hasa magazeti yamekuwa mstari wa mbele kumjengea umaarufu mtu huyu hivyo watu kuacha kujadili Slaa na seif na kumjadili Mkapa.Watu hapa Igunga wanashangazwa na ukimya wa Mkapa na kupelekea kuwa na hamu ya kuhudhuria kampeni za CCM ili wasikilize kauli yake juu ya wanaomchafua.Ukweli ni mchungu na mimi naumia ila CCM wamelamba karata ya turufu.Maana hata watu wa Nzega na Ulambo nasikia fununu hapa kuwa watahudhuria uzinduzi wa kampeni za CCM hiyo j'mosi lengo kumsikiliza Mkapa hasa ukizingatia umahiri wake wa kuzungumza na kujenga hoja.Wadau tuwe makini na hali ya vyombo vya habari kumpa umaarufu Mkapa na kupelekea chama chetu kutojadiliwa sana kwa watu wa kada zote.Huu ndio ukweli najua baadhi mtapinga ila vyombo vya habari vinatuharibia.

Fuso ya kusomba watu ndio iliyogonga mtoto!?
 
Hamna Mtanzania asiyemkubali Mkapa kwa mambo aliyotufanyia. Kikwete naye kafanya vizuri pia.
CCM still ipo juu. Hop itashinda kwa kishindo jimbo la Igunga

Mimi simkubali kabisa huyu mzee. Alifanya mazurimengi lakini aliharibu saana kuwapa bure wazungu madini yetu. Ni mtu hovyo sana...maana madini ndio ilikuwa sekta pekee ambayo ingeipandisha Tz kwenye level nyingine...leo tupiga miayo tu madini yanahamishwa kwa mikataba isiyo na tija...Mkapa ni laana ya nchi. Period!
 
@Mkapa amekwenda Igunga kujiaibisha na kuivua nguo CCM, na kama angejua kwamba anatumiwa kama Political shield ya utawala wa JK (yaani watu wamjadili&Kumchafua Mkapa hivyo kuiepusha mijadala kuhusiana na Utawala mbovu wa Kikwete), nadhani asingekwenda. @Swali kwanini JK akuchukua jukumu hilo yeye mwenyewe? JK ni mwenyekiti CCM, kipenzi cha watu!! Mtaji wa CCM kwenye uchaguzi, anamvuto kwa jamii!! Kwa nini amesita kubeba jukumu hilo kwenye uchaguzi muhimu kama huu, au anapima maji/upepo kwanza kuona mambo yataendaje halafu baadaye aende? @Mashaka makubwa watu walionayo juu ya uwezo wa Mkapa kwenye kampeni ni haya: 1/Poor political legitimacy (Kashfa za utawala wake ni nyingi & kubwa na anaogopa sana kuzijibu hadharani) 2/POOR political tolerance (Hapendi kukosolewa hadharani, anapenda matumizi ya nguvu zaidi) 3/KIASILI hakuwahi kuwa na mvuto wa kisiasa (He has never been a political icon) 4/Ni mzito sana kujenga hoja zenye mvuto au kubomoa hoja makini za mpinzani wake (Alijaribu kwenye uchaguzi mdogo Temeke 1997, na kupelekea CCM kushindwa vibaya sana). Je huko ataweza? Lets wait & watch the Cinema...
 
Dr Slaa lazima uwe unaelewa mazingira ya kisiasa na wakati! Ndio maana umebaki na ushahidi wa Kagoda kwenye mkoba wako hadi msemakweli kaja kutoa ushahidi mwingine! Sasa Mgombea wa Igunga ni JK au Mkapa? Unamlipua JK au Mkapa halafu iweje? Kati ya Mkapa na Jk nani Mgombea wa jimbo la Igunga? Acha ushamba wako Dr wa Kiirak elewa mazingira ya kisiasa siku zote!

Ndugu yangu hujui unalosema, nahisi na wewe ni vuvuzela kama alivyo nape ambaye hata hajui nini maana ja siasa ya ujamaa na kujitegemea ya chamam chake na uchafu wa azimio la zanzibar, wote hali yenu moja.

Jua hili lakini: Kukaa na ushahidi wa Kagoda ndani ya begi hakukumanisha kukubaliana na kila kitu, research ilikuwa inaendelea ili kujiridhisha exhaustively kwa hakuna pointi ilioachwa. Sasa kama huyo Msemakweli wenu alikuwa na ushahidi basi ni kwa nini sasa anapingwa na kuhojiwa na polisi hadi masaa manne bila kufikia mwisho? Ndio ujue hana alijualo na yeye kama ulivyo wewe.

Hapo Igunga, tutafumua maovu ya Mkapa na serikali yake, tutawaambia watanzania jinsi Kiwira ilivyotapeliwa na huyo chinene wenu, nyumba za serikali kugawanywa, na vipi igunga iwe kame na nyuma ilhali ipo eneo zuri na lenye kila sababu ya kuwa na mendeleo, igunga ni mkia kwa kilimo na elimu ni hadithi kwao, sasa tutawauliza hao watu wa igunga kwa nini Mkapa hakuwaona kipindi yupo madarakani na kawaona sasa ili kuwapigia magoti.

Lakini pia tutahoji uhalali wa kutumia fedha zaidi ya milioni 400 katika kampeni. Hivi wewe huoni kila mtu maarufu wa CCM sasa anakuja huko? Kaa ukijua mfa maji hutapatapa, na kwa taarifa yako tushabaini mpango wenu wa kupima upepo ili mjue nini CDM inajipanda nacho, na hawa tunawala tu yaone yalivyo mazumbukuku, sasa wewe unapata nini na ujinga wako? Utabaki hivyohivyo na ulofa wako...
 
Back
Top Bottom