Nakushukuru kwa kunifikishia ujumbe mapenzi siku zote hayatabiriki
"Hi my love Nitonye....
Najua nilikuacha katika kipindi kigumu ukanibembeleza sana nikakukatalia...
Ila nafsi imenisuta baada ya kuona nimekutendea mabaya sana mpenzi
Naahidi kukupenda kama nilivyokuwa nakupenda wakati wa mwanzo wa ndoa yetu
Simtaki tena Vin Diesel na sitomtaka kwanza keshafulia hata sabuni ya kuogea ananiomba hela kifupi keshakuwa mzigo kuliko ulivyokuwa wewe kabla sijakuacha"