Sweetylady rudi mama tumlee mtoto wetu

Nakushukuru kwa kunifikishia ujumbe mapenzi siku zote hayatabiriki
"Hi my love Nitonye....
Najua nilikuacha katika kipindi kigumu ukanibembeleza sana nikakukatalia...
Ila nafsi imenisuta baada ya kuona nimekutendea mabaya sana mpenzi
Naahidi kukupenda kama nilivyokuwa nakupenda wakati wa mwanzo wa ndoa yetu
Simtaki tena Vin Diesel na sitomtaka kwanza keshafulia hata sabuni ya kuogea ananiomba hela kifupi keshakuwa mzigo kuliko ulivyokuwa wewe kabla sijakuacha"
nitonye.jpg

Mi sina neno naona sweetlady kaamua kukuweka karibu kabisa
 
sweetlady hebu njoo huku unieleze ile mipango yetu imefikia wapi (yu wara am sayin')

hebu waache wenzio walee mtoto wao!anahahahhahahha tabia za fisi unafikiri ni nzuri?ulijua nitonye kasusa enh?aanze tu kususa chezeya nguvu ya mahaba kwa kutumia ushairi weye!!!!lol.
 
Last edited by a moderator:
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom