Sweetylady rudi mama tumlee mtoto wetu

Heheheh mke mwenza chezeiya mimi wewe......kuhusu hiyo ofa ngoja tumsubiri shemeji Bishanga aje atuchagulie manake yeye ndio kaizunguka sana hii dunia.....tunashukuru kwa ofa mke mwe.....wenye wivu wajinyonge!

wala msikonde,ngoja niwafanyie booking ya five nights full board mkale fungate jipya uswiss kwenye mji unaitwa st gallen,ni pazuri sana na kipindi hiki baridi haijawa kali.mkifika zurich chukueni treni na mkifika main station st gallen (wenyewe wanaita gare) chukueni taxi hadi hotel ibis,gharama zote juu yangu,ngoja nikawakatie na tiketi business clas swiss air (inaondoka dar usiku asubuhi umefika).
ps: si vibaya mkipeanana mimba ya pili.
 
upo?? nimekumith! lol!

23_33_7.gif

Najivunia sana kuwa na shemeji kama wewe lol!
 
My wife ameshajua janja yao huwa wanasubiri mimi nimesafiri ndio wanajifanya kujipenyeza. Huyo Platzoom hana lolote ataishia kupiga chabo tu

Honey nakuhakikishia kuwa sasa hivi sidanganyiki tena......yaliyopita si ndwele tugange yajayo darling!

Watakaa sana hao wapiga chabo!
 
Back
Top Bottom